chuo

  1. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza nafasi 221 za ajira katika kada mbalimbali

    Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia utumishi kimetangaza nafasi 221 za ajira. Watu mbalimbali wanatakiwa kujaza nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Tutorial Assistants, assistant lecturers, lecturers, technicians, transcribers n.k katika fani mbalimbali. Wenye sifa nafasi hii. Hivi lilikuwa ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwa wanafunzi wa chuo cha DIT

    Chuo cha DIT inabidi wajitathimini kwa changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wao hususani katika mambo ya IT. System yao ya matokeo ya wanafuzi haipo stable kabisa, yaani unaweza ukakuta matokeo yanabadilika badilika , kwa kweli wajitathimini kwa hili .
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kujengewa Chuo na Wachina wafundishe Ukommunist kwa Vyama Tawala - China’s political party school in Africa

    Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili? Hivi position ya Afrika kujitawala yenyewe bado ipo? China’s political party...
  4. sanalii

    JamiiForums Tanzania Miezi 6 baada ya kumaliza chuo ni moja ya vipindi vigumu sana

    Wengi wetu tumepitia, wanapitia na watapitia, Kuna wanaoshtuka mapema na kuanza kutafuta connection kabla ya kumaliza, kuna wale wanashtuka wako nyumbani wakiwa na begi la nguo na laptop kama hajaijza alipomaliza UE, sasa kama unakaa kwa ndugu ndo kabisa, hata mapenzi nayo yanashake, ile title...
  5. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza chuo afanye nini awe Tajiri

    Habari.. Mimi ni kijana ninafanya kazi kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12. Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi kwa kijana anaweza kufanya na kuingiza Faida kubwa na akasahau issue za kuajiriwa...
  6. Anganjwiri92

    JamiiForums Tanzania Short course chuo cha Bandari

    Habari wapendwa! Naombwa kujuzwa ndugu zangu, Mimi ni mtumishi wa umma yaani ni afisa mtendaji kijiji, nina diploma ya maendelo ya jamii lengo langu nisome short course pale chuo cha Bandari kwa lengo kile cheti kinisaidie kutoka halmashauri kwenda kule tpa vp hili jambo linawezekana? Na ipi...
  7. Hajto

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

    Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza, juzi tarehe 10 Juni, 2022 UTUMISHI wametangaza ajira Chuo cha Ushirika Moshi, Je, kwenye barua address unatumia ile ya wao UTUMISHI ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya Msaada wenu tafadhali
  8. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Nimesoma HGE nisome Degree gani?

    Nimesoma HGE kozi gani inanifaa pale SUA au ARDHI
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kujiajiri kwa vijana baada ya chuo

    Habari zenu JamiiForums. Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji mawazo mbali mbali ya kujiajiri kwa vijana waliomaliza chuo, wa kike na kiume, naimani uzi huu utasaidia wengi, kwahiyo sitegemei masuala ya una ujuzi gani, kama wewe una idea ya juzi wowote leta utasaidia mtu. Naomba...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Excellent ni cha ovyo sana. Vijana mnaotaka kusoma Clinical Medicine hapo, msiende

    Hiki chuo cha excellent kwanza hata usipo-apply unashangaa umetumiwa meseji kwamba umechaguliwa hapo wakati hata ku-apply huku apply. Hiki chuo ukiingia kusoma hakuna kuhama ukiomba uhamisho kwanza wanakukatalia kisha wanakufutia usajili kwamba hawakutambui hivyo unaanza upya kabisa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Chuo gani (cha ndani au nje) ambacho unaweza kusoma masters online na cheti kikatambuliwa Tanzania?

    Kuna siku napataga muda mwingi wa free baada ya kumaliza mambo yangu. Ningependa nichukue mda huu kujiendeleza kimasomo kwa kusoma degree ya pili yaani masters ila iwe kwa njia ya mtandao. Je, kuna wenye uzoefu na suala hili wanishauri ni chuo gani kinachotoa huduma hii. Na kama kikiwa cha nje...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha baba wa taifa katika mjadala Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam 26 Mei, 2022

    Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya, Dr. Ng’wanza Kamata katika mahojiano na Mohamed Said (out of sight) kuhusu Mwalimu Nyerere wakati wa utafiti wa kitabu chake.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Mo Dewji atunukiwa Ph.D ya heshima ktk Chuo Kikuu cha Georgetown

    21 May 2022 Mohammed Dewji to Graduates: Recognize the Power in Community Two decades ago when Mohammed Dewji (B’98) crossed the stage at Georgetown University’s commencement ceremony, he asked himself an important question – ‘is the world ready for me?’ In many ways, the answer was yes...
  14. nyboma

    JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni pesa, wikiendi iliyopita binti wa chuo alichonifanyia kwa hotel Dar itabaki kuwa sehemu pendwa ya starehe

    Kwa ufupi kila nikisikia ile nyimbo ya kijana Diamond aliyoimba na Zuchu, mbo..00 inasimama ghafla. Vijana tafuteni pesa ili uzeeni mfurahie maisha, ni wewe kuchagua leo uwe na amina, mke wa khalfani n.K
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ina maana kocha Mbwana Makata haruhusiwi kufundisha hata timu ya shule au chuo?

    Eti wakuu, TFF wanamiliki mpira wote wa miguu nchini? Maana huyu kapewa adhabu ya kutojihusisha na mpira wa miguu nchini kwa miaka mitano. Inamaana hata shule au chuo haruhusiwi kufanya ukocha?
  16. Kylen stone

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kwenda Chuo cha Ufundi Arusha, naomba muongozo

    Habari zenu wakuu, Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi. Napiga simu haipokelewi. Nilikuwa naomba msaada wenu
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Binti yangu amepangiwa Chuo na huku alishaanza masomo ya Pre-Form 5

    Habari wakuu, Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private Kule...
  18. magelei

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kubadili chuo kwenda Advance

    Habarini ndugu, Mdogo wangu alipata division 3 ya 21. CIV=C GEO=C BIO=C CHEM=C MATH=D HIST =D PHY=F KISW=B ENG=D kwenye machaguo alijaza comb ya CBG tu lkn amechaguliwa chuo coz ya ICT chuo cha CBE ILALA DAR nayeye anapenda kwenda advance afanye nini aweze kubadili kutoka chuo kwenda advance...
  19. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba

    Ninawasalimu wadau wote mliomu humu ndani. Wadau ninaomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu maana kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho. Kwa anayefahamu kuhusu kozi zinazotelewa hapo chuoni ili nione kama zina tija ili...
  20. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kubadili chuo kwenda Advance?

    Habari zenu wakuu! Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school...
Back
Top Bottom