chuo

  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Bodaboda atoswa na kisha baadaye kupindua meza baada ya kusomesha mchumba toka O'level hadi Chuo Kikuu

    Hello, Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani. Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level hadi chuo ahadi ni kumuoa baada ya kuhitimu chuo. Baada ya kuhitimu chuo mrembo wa kirangi kapata...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Wahitimu 3% pekee ndio wamefaulu kwenda Chuo Kikuu

    Asilimia hiyo ni wastani wa wahitimu ambao wamepata alama nzuri zinazowawezesha kuendelea na masomo ya Chuo Kikuu. Waziri wa Elimu wa Ethiopia, Berhanu Nega amedai matokeo hayo ni ya kushtua, ambapo inaaminika migogoro na vita vya ndani ya Nchi ni moja ya sababu, huku Wanafunzi 12,000 ikidaiwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Profesa wa Chuo Kikuu Oxford amshauri Rais Samia kuhusu miradi aliyoianzisha Hayati Magufuli kwa pupa

    Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake Magufuli alipoingia madarakani alianzisha...
  4. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Afisa Mikopo Chuo cha Mbeya University of Science and Technology (MUST) wapeni vijana stahiki yao (boom)

    Habari wakuu, poleni na mjukumu, Nimekuja kwenu na malalamiko na humu JF Kuna watu wa aina mbalimbali ambao wanaweza saidia watoto wetu. Ofisi ya Mikopo chuo cha MUST mpaka sasa haijawaingizia baadhi wanafunzi wa mwaka wa kwanza pesa ya kujikimu (boom), pesa ambayo watoto wamesign mwezi wa...
  5. McCollum

    JamiiForums Tanzania Alimsomesha chuo, baada ya kumaliza masomo ndugu wakadai hana uwezo wa kuishi nae

    Habari za Jumapili? Naomba niende moja kwa mona kwenye mada, hiko hivi, kuna kijana ambaye ametokea mkoa mmoja huko Kanda ya Kaskazini, huyu hakuwa na wazazi wote wawili kwani walifariki kipindi alipokuwa mdogo sana. Kwa kipindi kirefu cha Elimu yake alikuwa akiishi na bibi upande wa mama...
  6. Slowly

    JamiiForums Tanzania To be honest Architecture wa jengo la Chuo cha maji nimemkubali

    Nimeona design nyingi ya miradi ya serikali hasa majengo , ni ya hovyo hovyo na ya kitoto , design inapelekea jengo kuwa Baya na baada ya miaka miwili ya kupigwa jua jengo linaanza kupoteza mvuto. Ni tofaut Kwa Hili jengo la idara ya maji lililopo karbu na chuo cha maji ubungo , design yake ya...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Popote mlipo wazazi, walezi, ndugu na jamii walindeni, saidieni mabinti wa vyuo

    Wasalaam!! Nichukue fursa hii kuwaasa wanajamii, wazazi, walezi na ndugu wenye mabinti vyuo vikuu (Degree), vya kati (Diploma) na vya chini (Certificates) lindeni mabinti zenu, jitoleeni kwa hali na mali na pia, wapeni usia na elimu ya maisha, ugumu wa maisha, na elimu ya kujitambua. Hali ni...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu yeyote ambaye amesoma chuo tofauti na UDOM amewahi kuitwa interview za UDOM?

    Habari zenu maboss zangu. Naomba kuuliza jamani. Hivi kuna mtu yeyote ambaye amesoma chuo tofauti na UDOM amewahi kuitwa interview za UDOM?
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mrembo wa chuo leo kakubali kwa matunzo ya laki moja kwa mwezi

    Hivi hii nchi ni hali ya uchumi ni tete au pesa yetu imepanda thamani, nilimtongoza binti mmoja ana 28 yrs yupo Chuo cha Mipango Dodoma, kimasihara tu nikamuomba namba maeneo ya NBC Benki nilikuwa natokea chako ni chako, nikamwambia wewe mrembo, njoo pls nikampaisha mbona mrembo sana ila sijui...
  10. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Nauliza kama kuna chuo kinafanya Admission ya NTA Level 4 ya Community Development mwezi March?

    Habari wanandugu, Naulizia kama kuna Chuo kinachofanya Admission mwezi MARCH au miezi yoyote ya mwanzoni wa Mwaka kwa kozi ya Community Development kwa NTA Level 4.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Taliban kuzuia Wanawake kusoma Chuo Kikuu

    Marekani imeeleza kuwa kutakuwa na gharama ikiwa hakutakuwa na mabadiliko kuhusu maamuzi hayo yanayofanywa Nchini Afghanistan. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema Serikali ya Taliban haitaweza kuboresha uhusiano na mataifa mengine Duniani ikiwa itaendelea kuwanyima...
  12. Bzero

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Ni kozi gani ya kusoma chuo ili kujua mambo ya graphics design na motion?

    Nahitaji kujua kozi inayohusiana na graphics designing na motion graphics chuon, ni course ipi naweza kwenda kuisoma kwa wanaofaham?!
  13. official__pius

    JamiiForums Tanzania Je, naruhusiwa kuhama chuo?

    Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudia mtihani wa o level nikiwa nipo chuo

    NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje. Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili

    Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili. Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala yake ni muhimu kuongeza vigezo hivyo katika mapitio ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa huna haja ya Kuwasumbua Watafiti wa Chuo cha Michezo Malya, bali tatizo ni hili...

    Nimekusikia Clouds Tv na Radio Leo ukikitaka Chuo cha Michezo cha Serikali nchini cha Malya kufanya Tafiti kujua kwani Tanzania haiendelei Kisoka. Nami MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nakuambia kuwa huna haja ya Kuwasumbua na Kuwasubiria...
  17. alex001

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Elimu ya chuo kikuu

    Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti...
  18. KASHAMBURITA

    JamiiForums Tanzania Naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za Polisi?

    Habari zenu wakuu naomba kuuliza naweza kutumia transript ya chuo katika kuapply ajira za upolisi zilitoka 2022 Note nimemaliza chuo mwaka huu kwaiyo vyeti bado
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

    Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho! Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu...
  20. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
Back
Top Bottom