Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,765
Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!

Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!

Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
 
wadau tupeane uzoefu kidogo ,nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari,huyu dada ni msukuma wa lunzewe, yupo chuo cha mkwawa iringa mwaka wa mwisho! Tatizo linakuja usiku hapokei cm kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka,akipata tatizo la pesa anapiga cm hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi cm hapokei! Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma mkwawa nisiendelee kupigwa!
Ulishapigwa mke, mchumba, mpenzi hasomeshwi. Na hautamuoa na ukimuoa utaumia sana Msukuma mwanamke akisaliti ana saliti mazima, ushaliwa
 
Huyo sio mchumba. Huyo ni muwekazaji. Na wewe ndio biashara yenyewe. Akihitaji faida ya biashara yake anakutafuta.

Asipopokea siku nyingine basi elewa yupo kwenye kufuatilia biashara zake nyingine. Kawaida kuna biashara huwa zina faida zaidi na hizo ndizo wawekezaji hupenda kutumia muda mwingi nazo.
 
Kuna mwana anaua third year pale nikupe no yake?,,

Sikia mzee wasichana wengi wa chuo, wanampenzi wa chuo na pia wanampenzi wa nyumbani, kwahiyo saizi probably ni zamu ya huyo wa chuo we subiri arudi na huna namna utafanya kuzuia hilo labda ukawe lecture pale,,nimesema PROBABLY ila chance ni 80%

Ushauri
Iwe safari yake Bado(kama first au second year) au ndio mwaka wa mwisho wae amua kumsubiri, nimesema AMUA kumsubiri,Yani vumilia yote haya kwasabab wakiendaga chuo wanakuwaga na wenge sana ila wakimaliza ndo akili inawakaa kichwani

Lakini kumsubiri kwako kunaweza kusizae matunda maana uko uko chuo akampata wenyewe wanaitaga soulmate, wake afu mwamba ikala kwako

Kwahy kama umeamua kuamini kwamba one day one time mambo yatakuwa yesi, fresh we believe mungu atakusaidia ila jiandae Kwa lolote chuo ni kiwanda cha uzinzi
 
wadau tupeane uzoefu kidogo ,nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari,huyu dada ni msukuma wa lunzewe, yupo chuo cha mkwawa iringa mwaka wa mwisho! Tatizo linakuja usiku hapokei cm kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka,akipata tatizo la pesa anapiga cm hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi cm hapokei! Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma mkwawa nisiendelee kupigwa!
Njoo inbox unipe jina mkuu nina mtu yupo Mkwawa hapohapo tena mwaka wa mwisho same nawewe ni mchumba wangu ila hana hizo shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom