china

  1. JamiiForums Tanzania Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

    Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa mtandao wa 5G Afrika ni ishara ya uongozi wa China duniani kwenye enzi mpya

    Mwaka 2015, China ilitangaza kuwa itaongeza maendeleo ya dijitali kuwa sehemu ya miradi ya Ukanda Mmoja na njia moja. Hii ni njia moja ya kutosheleza mahitaji yanayoongezeka ya mtandao wa kasi ambao unategemewa na mamilioni ya biashara kila siku hasa kwenye nchi zinazoendelea. Tayari China...
  3. JamiiForums Tanzania 26 Job Opportunities At China Civil Engineering Construction Company, April 2021

    Discipline: Architecture 1. Position Title: Architecture Designer 2 Posts Location of Work: Mwanza or Shinyanga Requirement for Experience: 3 years experience in Architecture relevant work as minimum Discipline: Electrical 2. Position Title: Power supply Designer 2 Posts Location of Work...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ripoti hii ya CAG, ingekuwa nchi kama China kuna watu wangenyongwa

    Na Thadei Ole Mushi. Someni Ripoti ya CAG, Kuna madudu mengi mno mengine yanatia kinyaa kabisa. Ukurasa wa 70 wa Ripoti hiyo unazungumzia issue ya Kucheleweshwa ujenzi wa kiwanda Cha Pamba kule Simiyu. Naomba kuinukuu hiyo Ripoti neno kwa neno: "Mnamo tarehe 11 Novemba 2016 Ofisi ya Mkuu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hydroelectric power is still very important in the world especially in China read here

    Let me show this chart below before starting my explaination. The chart is showing us that hydroelectric power generation in China is the second after Coal. Hydroelectricity is currently China's largest renewable energy source and the second overall after coal.[47] China's installed hydro...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? Ni kwa jinsi gani ‘kijiji cha kwanza cha China katika kupambana na umaskini’ kilivyofanikiwa?

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? ------Ni kwa jinsi gani ‘kijiji cha kwanza cha China katika kupambana na umaskini’ kilivyofanikiwa? Na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? ------mama mkulima wa China aondokana na umaskini kwa kutengeneza fagio la mabua ya mtama Na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa China”...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini?

    Je, siri ya China kupunguza umaskini ni nini? -------usawa wa kijinsia katika elimu ni muhimu kufanya umaskini ‘kutorithiwa’. na Hassan Zhou Ofisi ya habari ya Baraza la Serikali la China hivi karibuni ilitangaza waraka uitwao “Kupunguza Umaskini: Uzoefu na Mchango wa China”. Waraka huo...
  9. JamiiForums Tanzania Makampuni 49 ya Tanzania yaruhusiwa kuuza maharage soya China

    Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China. Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa televisheni kutoka China unagharimu kiasi gani?

    Habari wana JF Naomba kujuzwa Kwayoyote anaefahamu gharama za usafirishaji wa TV kwa njia ya Meli inagharimu kiasi gani mpaka hapa Kwetu.
  11. JamiiForums Tanzania WHO, China zatoa ripoti kuhusu chanzo cha Corona

    Ripoti ya pamoja ya shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara. Ripoti ya pamoja ya utafiti wa shirika la afya duniani WHO na China...
  12. JamiiForums Tanzania Baaba ya Meli ya Evergreen kukwama Suez Canal pia lori la Evergreen lakwama China

    Jana usiku nlikuwa napitia taarifa kadhaa wa kadhaa mtandaoni, nikakutana na taarifa moja kwambe meli kubwa ya Evergreen iliyokwama pale Suez Canal imeanza kuelea, nikapitia habari kadhaa nipo nikakutana na hivi vitaharifa vya watu ambavyo watu huviwekea mhemko wa hisia tofauti. Coincidence...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Naomba tufahamishe njia mnazotumia kutuma mizigo kutoka China kuja hapa Tanzania

    Habari za leo wakuu, Naomba leo tujadiri mambo ya msingi sana, mambo ya biashara. Ni njia zipi mnazotumia kutuma mizigo ya biashara kutoka China kuja hapa Tanzania. Mfano mzigo wa nguo, simu au mzigo mwingine wowote wa baishara mnatumia njia zipi kutuma. Njia ambazo ni haraka, za bei rahisi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe) Ushauri. Mh Seleman Jafo jipange...
  15. JamiiForums Tanzania Makampuni makubwa ya EV China

    Kwenye masuala ya Technology China inakimbia kwa kasi ya mwanga. Yafuatayo ni makampuni makubwa ya Electric Vehicles in China 1. Xpeng 2. NIO Haya ndio makampuni makubwa yanayotengeneza EV nchini China na yanamilkiwa na wachina wenyewe. Xpeng Hii kampuni inatengeneza magari:- Wapo SUV G3...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani awaomba NATO kuungana dhidi ya China

    Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken ameufungua mkutano na washirika wa jumuiya ya kujihami ya NATO kwa kuwaomba wanachama wenzake kushirikiana nayo dhidi ya kitisho cha China. Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken jana ametoa hotuba ya ufunguzi katika siku ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Marekani yaiwekea vikwazo China

    Marekani imetangaza vikwazo vipya dhidi ya maafsaa wawili wa China kwa kile inachodai ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya waislam wa Uyghur, Xinjiang. Marekani ilishirikiana na Umoja wa Ulaya, Canada na Uingereza kwenye vikwazo ivyo. Vikwazo ivyo viliwalenga Wang Juzheng na Chen...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ‘haiwezi kukabidhi bandari’ kwa China kama njia ya kulipa deni la SGR

    bbcCopyright: bbc Waziri wa Afya nchini Kenya Ukur Yatani amekanusha taarifa kuwa nchi hiyo iko katika hatari ya kupoteza bandari yake kubwa kwa China ikiwa itashindwa kulipa deni lake kwa nchi hiyo, ambalo pesa zake zimetumika kwa ujenzi wa reli mpya. Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 472...
  19. JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia ripoti ya chimbuko la Corona inayotarajiwa kutolewa wiki hii

    Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa wiki hii. Ujumbe huo uliwasili Wuhan mwezi Januari kufanya uchunguzi kwa muda wa mwezi mmoja katika...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China to seize Mombasa port

    China could seize Mombasa port over Sh364bn SGR loan Auditor reveals Kenya Ports Authority assets are attached as security for China Exim Bank loan. In Summary KPA is referred to as the borrower, contrary to details that KPA’s only obligation was to facilitate or rather guarantee minimum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…