china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani CPC inaweza kuiongoza nchi ya China yenye idadi kubwa kabisa ya watu na kuiendeleza kuwa ya pili duniani kiuchumi?

    Wakati Chama cha Kikomunisti cha China CPC kinajiandaa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake 23 Julai 1921, kumekuwa na mambo mengi yanayofuatiliwa. Je ni vipi chama hicho kilichoanzishwa kikiwa na wanachama 50 tu, kimekuwa chama kikubwa cha kisiasa duniani na kufanikiwa kuiongoza nchi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa kwa baadhi ya safari za ndege mkoani Guangzhou hakutaathiri usafirishaji wa bidhaa nje ya China

    Hivi karibuni kulikuwa na habari kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi, inayosema usafirishaji nje wa bidhaa kutoka China uko kwenye hatihati, na makontena yamekwama kwenye bandari za mkoa wa Guangdong (Shekou, Chiwan na Nansha) kutokana changamoto ya virusi vya Corona...
  3. M

    JamiiForums Tanzania The Guardian ya IPP Media imenunuliwa na China?

    Nikiangalia leo tovuti ya The Guardian hapa THE GUARDIAN | IPPMEDIA ninakuta vichvya vya habari vifuatavyo kwenye ukurasa mmoja : CPC's-great-practice-offers-inspirations-says-turkish-party-leader" CPC’s 100-year history is a heroic legend: Turkey’s Patriotic Party...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Uturuki yapokea dozi Milioni 5 za Chanjo ya Sinovac kutoka China

    Uturuki imepokea Dozi Milioni 5 za Chanjo ya Sinovac inayotengezwa China huku Rais wa Taifa hilo, Tayyip Erdogan, akielezea matumaini ya kuinuka tena kwa Sekta ya Utalii Sekta hiyo imekumbwa na mdororo kutokana na vizuizi katika safari za kimataifa lakini inaweza kuimarika ikiwa kasi ya Chanjo...
  7. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Kim Jong-Un akiri Korea Kaskazini inakabiliwa na njaa

    Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-Un amekiri nchi yake kukabiliwa na baa la njaa, akisema hali ya uhaba wa chakula inazidi kuwa mbaya wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani kufuatia majaribio ya silaha za nyuklia...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufutiwa kesi ya Uhujumu Uchumi, Raia wa China watoka Nduki mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi sita wa kampuni ya meli ya Sinota Shipping Company waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na ndege mmoja aina ya tausi. Washtakiwa hao ambao wote ni raia wa China ni Jin Erhao...
  9. L

    JamiiForums Tanzania “Tukio la kutoroka kwa tembo” la China latoa njia ya kufikiria jinsi ya kulinda wanyamapori na kuondoa mizozo na binadamu

    Nchi nyingi hasa za Afrika zimebarikiwa kuwa na hazina kubwa ya wanyama pori ambao wanachukuliwa kama kivutio cha watalii lakini pia wanatumika kama chanzo cha kuiingizia nchi mapato yanayotokana na utalii, na pesa zinazopatikana zinatumika kuleta maendeleo ya nchi. Mwezi Mei mwaka jana...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Kaunda na mchango wake kwenye ukombozi wa Afrika, na uhusiano kati ya China na Afrika

    Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu kumewafanya watu wengi wakumbuke mchango wake katika ukombozi wa eneo la kusini mwa Afrika, na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Kaunda na mchango wake kwenye ukombozi wa Afrika, na uhusiano kati ya China na Afrika

    Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu kumewafanya watu wengi wakumbuke mchango wake katika ukombozi wa eneo la kusini mwa Afrika, na...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa pande nyingi unaotetewa na China unahakikisha Afrika inapata haki katika sekta ya afya

    Tarehe 17, Juni mwaka 2020, mkutano wa kilele wa mshikamano dhidi ya COVID-19 kati ya China na Afrika ulifanyika, ambapo rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la “kujenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika sekta ya afya kati ya China na Afrika”. Katika mwaka mmoja uliopita, China imekuwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba China iko kinyume na mwelekeo?

    Juhudi za China ndani ya jamii ya kimataifa haziwezi kupingwa, lakini lengo la nchi za Magharibi kutaka kuongoza dunia linadai kuwa, China, kama nchi yenye ushawishi mkubwa isiyo ya magharibi, ni kitu cha kigeni. Ikiwa ni mfumo tofauti kabisa wa kisiasa, China, kuanzia karne ya 19, imekuwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kulinda na kudumisha utamaduni wake usioonekana

    Leo tarehe 14 Juni ya mwaka huu ni Sikukuu ya mbio za mashua ya Dragon au sikukuu ya mbio za mashua ya joka, ambayo ni sikukuu ya jadi ya China. Sikukuu hii ambayo imewekwa kwenye orodha ya urithi wa utamaduni usioonekana ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO, si...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za magharibi hazipaswi kuusemea vibaya ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya habari

    Katika miaka ya hivi karibuni suala la ushirikiano kwenye sekta ya habari kati ya China na Afrika limekuwa likifuatiliwa na nchi za magharibi, na kuongezeka kwa uwepo wa China kwenye sekta ya habari barani Afrika kunachukuliwa kama ni uingiliaji wa China kwenye himaya ya habari ya vyombo vya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la uchumi wa China katika nusu ya kwanza ya mwaka 2021 laleta matumaini ya kufufuka kwa uchumi wa dunia

    Takwimu zilizotolewa mwanzoni mwa wiki hii na Idara ya forodha ya China zinaonyesha kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu hadi kufikia mwezi Mei, uchumi wa China uliendelea kupata ongezeko, ambapo uuzaji bidhaa kwa nchi za nje ulikuwa na ongezeko la asilimia 30.1, na uagizaji wa bidhaa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Magharibi tayari yameiona nguvu ya China

    Mataifa ya Magharibi yamo kwenye mfumo wa ushindani na China. Changamoto za ulimwengu zinawalazimisha kuwa washirika zaidi kama Kongamano la Usalama la Munich inavyojaribu kutafuta uwiano wenye manufaa kwa pande zote. Wakati umechaguliwa vyema: Rais Joe Biden wa Marekani anaanza ziara yake...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China: Mitihani ya kuingia chuo kikuu yabadilisha na kuamua maisha ya baadaye ya wanafunzi

    Hivi sasa wanafunzi wengi wapo katika kipindi muhimu sana hususan wale wanaomaliza masomo yao ya sekondari ya juu na ambao wanajiandaa kujiunga na taasisi za elimu ya juu au vyuo vikuu ili kuanza masomo yao katika kozi tofauti. Kuna wale ambao wanafurahia kumaliza hatua moja na kukaribisha hatua...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China yalegeza sera ya uzazi wa mpango na kuruhusu wanandoa kuwa na watoto watatu

    Hivi karibuni, China ililegeza zaidi sera yake ya uzazi wa mpango, na kutangaza kuunga mkono wanandoa wanaopenda kupata mtoto wa tatu. China ni nchi inayoongoza duniani kwa idadi kubwa ya watu, lakini pia ni nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya wazee. Matokeo ya Sensa ya saba ya watu nchini...
Back
Top Bottom