Usafirishaji wa televisheni kutoka China unagharimu kiasi gani?

chifu450

Member
Apr 11, 2018
20
5
Habari wana JF

Naomba kujuzwa Kwayoyote anaefahamu gharama za usafirishaji wa TV kwa njia ya Meli inagharimu kiasi gani mpaka hapa Kwetu.
 
Aisee ma mm nataka kujua. Kuna Bonge la tv nimeliona huko china ni shidaaa
Ngoja wajuzi waje mkuu watupe mwanga niliofia kuagiza Tv sababu unaweza kununua TV bei ndogo ukasafirisha bei kubwa so nataka niangalie usafiri ili kujua kama kuna faida ya kuagiza au kununua hapa
 
Ngoja wajuzi waje mkuu watupe mwanga niliofia kuagiza Tv sababu unaweza kununua TV bei ndogo ukasafirisha bei kubwa so nataka niangalie usafiri ili kujua kama kuna faida ya kuagiza au kununua hapa
Nunulia hapa hapa
 
Usije kusafirisha moja gharama ni kubwa tafuta mtu consignee anayeimport tz hapa mizigo upige nae collabo maana mzigo wako kama loose cargo happ gharama itapungua
 
Ningepata sababu ingekua vzri kwa mfano TV china original samsung,konka ,Lg ni 250k 4k hyo inch 32 na ni smart kwa nini nisitafute njia nzuri ya gharama nafuu kuileta hapa nikaitumia
Jaribu kuwatafuta silent ocean
 
waone wanao safirisha mizigo kutoka china awtakuletea wako round about ya zamani ya kariko pale benjamin mkapa
 
Usafiri wa TV wanachaji kulingana na ukubwa wake (inches) mfano TV ya inches 75 usafiri ni dollars 300-350
 
Bila kusahau na kodi utakazotakiwa kulipa. Baada ya TV yako kufika itakuwa kubwa,
Kuna list ya kodi mbili tatu

Bora uchukue hapa hapa..
 
Back
Top Bottom