china

  1. JamiiForums Tanzania Unahitaji mitambo? Heavy Industrial equipment in Agriculture, Construction, Mining and Industries. Karibu tuwasiliane 0754247000. Ubungo Dar es salaam

    Habari ya wakati huu. Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi. 1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp 2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T) 3. Generators ( 17kva - 550kva ) 4. Wheel loaders ( 3T & 5T) 5. Excavators...
  2. JamiiForums Tanzania Unatafuta Mitambo ya Ujenzi kutoka China? Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuepuka Utapeli

    Salamu zenu, wenzangu. Ninauliza swali: Ni njia gani bora ya kupata vifaa vya ujenzi kama mitambo ya kuchimba na mitambo ya kupakia kutoka China bila kuingia kwenye udanganyifu? Kuna kituo cha biashara cha kimataifa cha mitambo ya ujenzi nchini China ambacho kinalenga kurahisisha mchakato wa...
  3. JamiiForums Tanzania China inatekeleza sera ya kidiplomasia ya Mkahawa wa Dragoni?

    Gazeti la The Economist la Uingereza hivi karibuni lilitoa ripoti kuhusu filamu ya China ‘Karibu kwenye Mkahawa wa Dragoni’, ikisema China inatekeleza sera ya kidiplomasia ya Mkahawa wa Dragoni, maana yake ni kwamba China inazingatia zaidi mambo ya kiuchumi na maisha ya watu. Ukweli ni...
  4. JamiiForums Tanzania My 6 Dream Sedans kutoka Japan, USA na China!

    Kila mtu ana mapenzi yake, me napenda sana sedans. Kusema kweli hizi hapa ndio list ya sedans ninazozipenda. 1. Honda Accord 2023 au Insight 2022 (Japanese) Hizi ndio cheaper option. Mil 20-40 pamoja na TRA unaweza kupata. Sema Accord iyo expensive. Hybrid, New Technology, Reliable...
  5. JamiiForums Tanzania HONGERA SANA URUSI,HONGERA SANA IRAN,HONGERA SANA N.KOREA,HONGERA SANA CHINA.

    Mmawia tena nimeibuka mshindi pamoja na wale tuliokuwa/ tunao endelea kukubali sana Urusi dhidi ya USA. Mwanzoni kabisa mwa Vita kati ya Urus na chawa wa USA nchi ya Ukraine nilisema au tulisema kuwa kwenye hii Vita Urus watatoka kidedea. Leo hii tumeshuhudia kuwa Urusi kaibuka mshindi kwani...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Komesha Ushabiki maandazi na uchawa: Ukweli Kuhusu China, Marekani, na Ndoto za Kujitegemea

    Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu. 1. Kwa nini Marekani...
  7. JamiiForums Tanzania MSITAPELIWE NA HII KAMPUN INAJITA RICHMOTORS MIKOCHEN AMA AGUZA NASI CHINA MADADA NIKICHOKIONA NIMEWAONEA HURUMA HAWANA OFISI UTALIZWA

    ANGALIZO AGUZA=AGIZA NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA NILICHOKIONA NILIUMIA SANA NILIKUTA MADADA WAWILI WANALIA.MMOJA AMESAZA MAVUMBI VIBAYA SANA BAADA YA MDA NA KUHOJI HAYA NDIO...
  8. JamiiForums Tanzania China yaanzisha utaratibu wa kuwasherehekea wanasayansi kwenye mbao za matangazo

    Wakati watawala wetu wanahangaika na kina Pipitida, Mwijaku na Dotto Magari Wachina wao wameuamua kuwatrendisha wanasayansi ili kuwahamasisha watoto na vijana wao kujikita kwenye Sayansi zaidi.
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia China Kilele cha FOCAC

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 03 Septemba 2024 — Ziara ya China na ushiriki FOCAC Tarehe 03 Septemba 2024, Rais Dr.Samia Suluhu Hassan aliwasili Beijing, China, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa FOCAC (China–Africa Cooperation). ▪︎ Hili ni tukio muhimu kwa kumbukumbu...
  10. JamiiForums Tanzania Umeme wa jua wazidi umeme wa makaa ya mawe nchini China

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Mamlaka ya Nishati ya Kitaifa ya China zinaonesha kuwa, uwezo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua nchini China umefikia kilowati bilioni 1.286, ukizidi uwezo wa kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe kwa mara ya kwanza, na kuwa chanzo kikubwa zaidi cha umeme...
  11. JamiiForums Tanzania CCP ya China, ingekaliwa na watu wajinga wàjinga Vilaza, China ingekua kama Tanzania ya Leo !!.

    Unakuta Kuna Jamaa CCM akiongea, anasema 'Sisi tuko kama Wachina". Pumbafu kabisa, Hivi ukiitazama Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu yà CCM Kuna mwenye Akili pale? Mtu ambaye anaweza kuleta Maono yake na yakafanyika kweli??. Kamati imejaa watu mbumbumbu, Et Chatanda ?? Wasira, Samia, Kawaida... ...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara: Ubalozi wa China umesema hakuna vikwazo vya kisera kwa Watanzania wanaoomba visa za China

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAOMBI YA VISA ZA CHINA KWA RAIA WA TΑΝΖΑΝΙΑ Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania zimeendelea kutoa taarifa za mara kwa mara kwa umma kuhusu mchakato wa maombi ya visa za...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  14. JamiiForums Tanzania China yaanza kutumia roboti kuongoza magari barabarani

    China imeanza majaribio ya kutumia roboti kwa ajili ya shughuli za barabarani ikiwa ni pamoja na kuongoza magari. Hata hivyo roboti hao hawana mamlaka ya kumkamata mtu pale anapokosea au kukiuka sheria. Maroboti hayo yamepelekwa hasa kwenye makutano yenye shughuli nyingi ya barabara katika jiji...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi wa China wapata umaarufu tena kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii

    Video ya afisa wa polisi maalum wa China akiwasaidia watalii kupiga picha hivi karibuni imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii. Jambo hili lilitokea wakati wa Sikukuu ya Kitaifa ya China mwaka jana. Wakati huo, Uwanja wa Agosti 1 huko Nanchang ulikuwa umejaa watu, na afisa mmoja wa...
  16. JamiiForums Tanzania Walokole Wazindua Brand Mpya za Magari yao ya Umeme kushindana na Elon Musk na BYD

    Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na viwanda. Magari hayo yamewasilishwa kupitia njia rasmi za huduma hiyo, huku baadhi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Futuhi ya vyakula China! Wanapika mpaka mawe

    Chakula cha mawe" nchini China ni chakula cha kitamaduni kinachoitwa Suodiu (嗦丢), ambapo mawe madogo ya mtoni yanakaangwa na viungo kisha unanyonya ladha yake na kuyatema bila kuyameza. Chakula hiki kimepewa jina la utani kama "chakula kigumu zaidi duniani" kwa maana halisi ya neno kuliko...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa kusafirisha vifurushi kutoka China

    Ndugu zangu habari yenu, Ninahitaji msaada wa kampuni isiyo na longo longo ya kusafirisha parcels kutoka China, Lengo ni kununua bidhaa toka Pinduoduo. Nahitaji inayo kubali kusafirisha parcel ndogo ndogo.
  20. JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya teknolojia ya AI ya China vyapingwa na mashirika ya Marekani

    Baadhi ya wanasiasa wa Marekani hivi karibuni walidai kuwekea vikwazo dhidi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) ya China, lakini wamekumbana na upinzani mkali kwanza kutoka kwa makampuni mapya karibu 200 ya Silicon Valley nchini humo, yakishirikiana na makampuni makubwa yakiwemo Meta, Nvidia, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…