Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 636
- 570
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
03 Septemba 2024 — Ziara ya China na ushiriki FOCAC
Tarehe 03 Septemba 2024, Rais Dr.Samia Suluhu Hassan aliwasili Beijing, China, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa FOCAC (China–Africa Cooperation).
▪︎ Hili ni tukio muhimu kwa kumbukumbu ya diplomasia na ushirikiano wa Tanzania na China.