chimbo

Chimbo is a town in, and the seat of Chimbo Canton, Bolívar Province in Ecuador. The closest cities to Chimbo are Guaranda and San Miguel. Chimbo was once known as Benalcazar because the Spanish conquistador Sebastián de Belalcázar stayed there for several days before departing to Quito to fight the colonizers.
The town is sometimes referred to as La Olla or 'The Pot' due to the surrounding geography.

View More On Wikipedia.org
  1. nipo online

    JamiiForums Tanzania Makambako na Dodoma wapi chimbo sahihi la kubeba mzigo wa nguo za mitumba?

    Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
  2. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la maua bandia na chimbo la pazia kwa mchina kariakoo!

    i
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Chimbo gani unalolijua linalokueka mjini

    Pata mchongo wa machimbo ya bei chee hapa Chimbo la viatu kariakoo Mtaa wa congo na skukuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku Ruvuma

    Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
  5. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la sahani za mifupa! Kariakoo Livingstone n Aggrey

    Yesss! Kama ada yangu wazee sina nongwa ila cha ajabu Lamomy ana nongwa na mm! Sio kes... Kuna sahan nzito kali tu za mifupa kwa wafanyabiashara. Duka la mchina liko kariakok aggrey na livingstone. Hesabu ya boksi ni pisi 72, na bei ya mjumuisho pia inaainishwa. Kwa bei ya mchina kila pis ni...
  6. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

    Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa Size kuanzia 32 mpaka 43 Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina...
  7. Mzee Kimamingo

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaopenda Kitonga, hili chimbo liko wapi?

    Hili chimbo huko Mjini lipo pande zipi?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Chimbo la angle/trunk za chuma za kujengea dari pamoja na gypsum

    Wakuu naomba mwenye kujua bei za vile vyuma vinavyotumika kujengea dari. Huwa zinatumika pamoja na gypsum. Majina ya mafundi wanaziita angle au channel au trunk. Naomba kujua duka na bei zake.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Azizi Ki tukitolewa kazi unayo, tafuta chimbo la kujificha kabisa!!

    Haiwezekani historia ya kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwa timu kutoka taifa hili ipo mlangoni kwetu kabisa halafu wewe unapata nafasi ya wazi unataka kujing'arisha binafsi kwa kufunga goli la video.....mnaita sijui 'payenka' wenyewe. Inakera sana kwani tungekuwa mbele kwa goli moja saa...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Chimbo jipya la Madini laibuka Songea, Mnakaribishwa.

    RUVUMA. Huko wilayani namtumbo kuna Kijiji wananchi wamegundua madini, hali ilivyo ninkila mtu anajaribu bahati yake hali iliyopelekea kwa gafla maisha kubadirika. Usafiri kwenda eneo hilo umekuwa mgumu na wa garama, ukisema uchukue bodaboda wanachaji nauli kubwa. Kwa sasa magari hayawezi...
  11. MaylaGladson

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Hello, Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000. Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000. Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Design mbalimbali za Masofa mazuri sana ya kuvutia

    Katika uzi huu tutaweza kuona design mbalimbali za masofa ya kuvutia. Endapo utaipenda design hiyo kwa matumizi ya nyumbani utaweza kujichukulia mwenyewe na kuitafuta dukani au ukampatia fundi wako akakutengenezea.
  13. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Chimbo gani naweza kupata bodi za gari ndogo kama Runx na IST?

    Wakulungwa, gari yangu bodi yake imechoka sana. Ni chimbo gani naweza pata bodi iliyokatika hali nzuri, na bei gani? Gari ni RUNX.
  14. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
  15. integraltracking

    JamiiForums Tanzania Chimbo la mabati na pvc bei mchina bila mtu kati

    Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani). Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid). Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na...
  16. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kwa Dar wapi kuna Chimbo la magari kali kwa bei chee

    Life kama linaanza kuwa sawa kwa upande wangu. Hivyo nahitaji niwe na kagari kamoja hivi ka kwenda nako harusini. Je kwa Dar wapi naweza pata gari kali kwa bei Chee. Budget yangu ni kama 5mil mpaka 7mil. Nb* USED pia sitaki iSt
  17. Spartacus boy

    JamiiForums Tanzania Chimbo la simu za blackberry Dar es Salaam

    Naulizia ni wapi kwa dares salaam au kwa mkoa wa Iringa ni wapi naweza pata BlackBerry zile simu za kizamani. Ahsante
  18. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la dawa za jumla

    Habarini members, Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either Kariakoo au popote pale! Natanguliza shukurani
  19. A

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Nguo za Awali mtoto mchanga

    Mwenye kujua chimbo kko la bei nzuri nguo za awali za mtoto mchanga naomba unielekeze
  20. Candela

    JamiiForums Tanzania Anaejua chimbo la gym tiles zile za kupanga anipe mchoro

    Guys nimewekeza katika gym nataka kuifanya ya kisasa, natafuta sehemu wanauza bidhaa tajwa hapo juu.
Back
Top Bottom