chimbo

Chimbo is a town in, and the seat of Chimbo Canton, Bolívar Province in Ecuador. The closest cities to Chimbo are Guaranda and San Miguel. Chimbo was once known as Benalcazar because the Spanish conquistador Sebastián de Belalcázar stayed there for several days before departing to Quito to fight the colonizers.
The town is sometimes referred to as La Olla or 'The Pot' due to the surrounding geography.

View More On Wikipedia.org
  1. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Chimbo la spare OG Tanzania kwa magari Mjapan yasiyo Toyota

    Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo. Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine. Nimeanzisha uzi huu tupeane tarifa ni wapi (maduka yapi) kwa TZ Dar/Mwz/Arusha/Mbeya mtu anaweza...
  2. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa wanao nunua spare za magari mzigo chimbo bei chee , CV joint za magari yote

    Obs Company tupo kwenye wiki ya CV JOINT Karibuni wote wana JF wanaopenda kununa spare za magari kwe bei ya Jumla , Mzigo wa CV joints umeishaingia Dukani karibuni dukani kwetu mjipatie Spare za Magari kwa bei ya jumla sawa kama bure Spare zetu za magari ni Mpya kabisa na imara kwa matumizi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chimbo la kupata vifaa vya simu- Kariakoo

    Wadau, Natafuta machimbo ya kupata vifaa vya simu kwa bei ya jumla kwa kariakoo, vifaa navyotaka: Covers Earphones Chargers Protectors Batteries LCDs Msaada wenu wadau
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Leo nakupa chimbo wewe kijana uliyechapwa na maisha. Nenda sehemu hii utakuja kufanikiwa

    Habari ndugu zangu! Lengo la Uzi huu si kujisifu, na wala hauna maudhui ya kukashifu harakati za vijana. Usiangalie lugha iliyotumika. Umeomba kazi mara nyingi umekosa? Umezunguka mahali pengi nchini kufanya ujasiriamali bila mafanikio? Umekosa elimu ya kukuwezesha kuingia kwenye soko la ajira...
  5. Kelela

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Chimbo la Vyombo vya Nyumbani (JUMLA)

    Habari za leo wadau! Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu. Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini. Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo. Natanguliza shukurani.
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Belo za pochi za mitumba ya kike kwa jumla zinapatikana wapi?

    Mwenye kujua tafadhali, nahitaji kujua chimbo hizo kwa hapa bongo zinapatikana wapi?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Makonda na Ndugai wako chimbo gani?

    Viongozi waandamizi hawa katika Mihimili ya Utendaji na Bunge id est Makonda na Ndugai wako Oldonyo gani kusikoweza kufika mkono wa serikali? Tundu alikwepa Mahakama hadi Wakili akajiondoa na hadi Mahakama ikafuta shauri je, Makonda naye anaweza kufanikiwa kukwepa Mahakama kwa njia hiyo ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la vitambaa vya kushona

    Habari za muda huu, Naomba Kwa anayejua machimbo ha vitambaa Kwa bei nzuri ya Jumla na vijora! Vitambaa nataka nikauze nje ya mji na huwa Mita inakuwa 3,000 na 3,500 naomba anayejua wanapouza Kwa Jumla hapa dar na bei nzuri.
  9. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda bia za bure njooni niwape chimbo uzi huu unawahusu

    Habari wadau..! Hii dunia unaambiwa ukistaajabu ya Mussa utayaona ya filauni. Wakati pale Africable Kurasini Mivinjeni kuna mwamba kajitolea anatoa msosi bure na ana zaidi ya mwaka watu wanapiga msosi. Kuna mwanangu kanipa info kwamba kuna mwamba yeye kafungua bar yake anatoa bia za bure ...
  10. Airmanula

    JamiiForums Tanzania Chimbo la bidhaa za Mobile Accessories kwa bei ya jumla

    Business as Usual! Msaada wa haraka unahitajika kupata connection kwa hapa bongo Dar wanapouza bidhaa za jumla za simu kama *Screen Protectors *Cover za simu *Power Banks *USB Cables / Charges *Chaja za simu *Memory Cards Aluta kontinua!
  11. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Anayejua chimbo la hizi bidhaa kwa Dodoma

    Kwema wapambanaji? Napenda anayefahamu mahali wanapozalisha hizi ice cream cone biscuit pekee na kuziuza kwa bei ya jumla kwa hapa Dodoma Mjini. Nitafurahi kama nitapata msaada .
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nipo Babati Nahitaji Chimbo za Starehe.

    Waswahili wanasema Fuja Mali Kufa Kwaja, Kama kawaida Santana leo nimetua Babati Manyara, Nasikia Huku Kuna totoz za Laana. Wazoefu nitonyeni Chimbo za Starehe zenye watoto safi wa Kimbulu. Ova!
  13. theChinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la nguo za watoto za mtumba Jijini Dar

    Hello ladies and gentlemen... Anaefahamu chimbo zuri hapa Dar, wanapouza nguo za watoto nyepesi yaani (lightbaby) grade one kutoka Canada na UK anijuze. Ukinijuza na bei itakuwa poa. Nawasilisha. Pia soma: Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar...
  14. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

    Naomba kwa wanao fahamu chimbo la mtumba Grade A kwa Dar es Salaam, za uhakika sio wale wanaochakachua pia bei iwe nzuri sana. belly ziwe za suruali Cadet, Shati, Rubber na sandals. Karibuni
  15. I

    JamiiForums Tanzania Chimbo la spea za Jumla za pikipiki

    Naomba kujuzwa chimbo la spea za pikipiki za jumla
  16. T

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu: Chimbo la ubuyu ule unaouzwa Kariakoo

    Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA. Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla. So...
Back
Top Bottom