chimbo

Chimbo is a town in, and the seat of Chimbo Canton, Bolívar Province in Ecuador. The closest cities to Chimbo are Guaranda and San Miguel. Chimbo was once known as Benalcazar because the Spanish conquistador Sebastián de Belalcázar stayed there for several days before departing to Quito to fight the colonizers.
The town is sometimes referred to as La Olla or 'The Pot' due to the surrounding geography.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Wap ni chimbo la TV bei nafuu Mwanza

    Naomba kujua chimbo la TV nzur ,smart ambazo bei NI nafuu
  2. iMart Discounts Kariakoo

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Jezi za Jumla za Ulaya, Delivery Popote Ulipo

    Wadau wa JamiiForums! ⚽️ Karibu Kariakoo! Tumeleta jezi za timu za Ulaya (Arsenal, Liverpool, Man United, n.k.) kwa bei za jumla! Hii ni fursa kwa kila mtu kupata jezi za timu pendwa kwa bei nafuu. Tunatuma mikoani na nchi jirani kama Congo, Zambia, na Malawi! Bei ya jezi moja ni TZS 15,000 tu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Chimbo la wachina wauza Mabalo ya Mtumba

    Habari zenu ndigu.zangu Kuna yoyote anaefahamu iwapo kuna chimbo la hawa wachina ambao wanauza mabalo ya mitumba kwa jumla ukiachana na wamatumbi wenzetu ilala?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nipeni chimbo la spear za pikipiki, sitaki kwenda china

    Nataka kuanzisha duka la spear za pikipiki,Bajaj hapa jombe na mbeya . Ila sina muda wa kusafiri kwenda china so nataka niwe naagiza spear hapa hapa Tanzania , wapi napata chimbo la spea kwa Bei kitonga , mikoa ya huku nimestudy mbeya na jombe, iringa wote wanagiza spear dar ila wanafanya...
  5. Madam Ritha Massawe

    JamiiForums Tanzania CHIMBO LA VIFARANGA TANZANIA

    🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
  6. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Naomba Chimbo la wauzaji Movies zilizotafsiriwa Online

    Well, Habari wakuu, Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo. Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana. Natamani nipate chimbo zuri iwe group au hata Dj mwenyewe directly awe ananiuzia jumla. Huwa...
  7. jangala22

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla Kariakoo

    Habari za majukumu wanajamvi Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla k.koo anisaidie mawasiliano yao.mimi napatikana mwanza.
  8. mr.general

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu

    Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu kwa bei ya jumla,kwa ajili ya biashara yangu. Nisaidieni kunijuzwa chimbo wanalouza charger za simu. Shukrani
  9. A

    JamiiForums Tanzania Chimbo jipya la kilimo cha mahindi msimu huu

    Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi. Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa na hakijulikani kihivo. Kwa atakae hitaji kujuzwa anipm nimpe maelezo ajipambanie. Nitakupa location...
  10. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la makobazi, utakubali wewe mzee

    Na kalaga baho Aseee nina furaha kubwa ya kujadili na wafanyabiashara wenzangu. Poleni sana watanzania kwa kumpoteza Mzee Ndugulile kigamboni. Aseee nilkuwa nimelala hapa nimepigiwa simu na kijana wangu Ahkmed wa Reflexes anadai mzigo ushafika pale Msimbazi. Jengo la Simba ndipo anapopatikana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada chimbo la vitambaa vya sofa

    Habarini wakuu, Naomba kujuzwa sehemu wanapouza vitambaa vya sofa kwa bei ya jumla,
  12. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la sendols za kiume, kwa wafanyabiashara tu

    Nawasalim kwa jina la jmt Kuna watu wanafanya biashara ya hivi viatu, mikoani, daresalaam, visiwani. Hivi viatu unavipata kwa mchina flani hivi anapatikana Narun'gombe na na Msimbazi pale hoteli ya Hong Kong. Bei zake ni za Katoni (24 pieces) na mizigo yake haikai sana. Kalaga baho.
  13. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la vifaa vya seremala kariakoo

    Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya . Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli. Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Chimbo la bidhaa kama pipi na chocolate

    Habari wakuu! Kwa anaefahamu wapi bidhaa kama pipi chocolate nk zinapatikana maeneo ya dar kwa bei ya jumla... Kama ni kkoo ni mtaa gani? Asanteni
  15. Brojust

    JamiiForums Tanzania Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

    Amani iwe nanyi, watu wa Mungu. Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli. kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
  16. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Wauza pochi, nakupa chimbo hili ukajimalize mwenyewe

    Wazee wikend imepoa sana Sijui shida nn ila nataka kuwapa kuwpa code, asee jf nikifa mtanikumbuka sana. Sitaki mia yako mzee, wewe nenda kwa mchina kafanye biashara watoto waende chooni. Dua tu zinanitosha kabisa Kuna mtaa unaitwa swahili, sehemu iliyokutana na mtaa wa Mchikichi. Hapo kuna...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nijuze Chimbo la saruji na nondo

    Naomba kujua machimbo ya nondo na saruji. Iwe kiwandani au approved agents. Ninahitaji kujua bei ya mfuko wa saruji 42.5 kwa mifuko zaidi ya 300 Nondo 10mm kwa tani Nondo 12mm kwa tani Nondo 16mm kwa tani
  18. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Chimbo zuri la nguo Mbeya....

    Habari zenu ndugu zangu.... Anayefahamu mahali pazuri pa kupata nguo nzuri za kiume Mbeya anijulishe kwenye comments. Simaanishi sehemu yenye bei rahisi, namaanisha sehemu unayohisi umewahi kupata nguo nzuri bila kuhangaika sana, yaweza kuwa ghali au bei che. Tafadhali wakazi wa Mbeya nisaidieni.
  19. E

    JamiiForums Tanzania Chimbo la miwa kwa bei rafiki

    Wakuu Nafanya hii mishe, wenye kufahamu machimbo yawekeni hapa Karibuni kwa uzoefu
  20. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Chimbo la chupi aina zote

    "Copy and paste from Facebook" Ni kama wiki na ushee nilimpa connection hii dada fln anauza mitumba hapa kitaa na amefanikiwa kupata mzigo wake aliagiza chupi 100 zikaja kama alivyo agiza. Siishi Dar lolote likikupata sio Mimi nimeshare nanyi humu Kwa atakae penda afanye hii biashara. Ahsantee...
Back
Top Bottom