Chimbo gani naweza kupata bodi za gari ndogo kama Runx na IST?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,485
3,133
Wakulungwa, gari yangu bodi yake imechoka sana. Ni chimbo gani naweza pata bodi iliyokatika hali nzuri, na bei gani?

Gari ni RUNX.

IMG20240103113447.jpg
IMG20240103113403.jpg
IMG20240103113344.jpg
IMG20240103113334.jpg
 
Nami nimepewa ushauri huu.hofu yangu kuu ni mafundi wa kuhamishia waya na mifumo ya umeme ikafanya kazi kama gari ilivyokuwa mwanzo,je inawezekana?
cha kujua kwanza ni je body zipo,na bei gani,,mambo ya ufundi,kuna gereji nyingi siku hizi za wachina,hata wabongo hawashindwi kuhamisha engine na gear box,gari nyingi unazoona barabarani engine na body sio vile vilivyokuja pamoja.
 
Back
Top Bottom