Kaimu Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Masoud Mambo, amewataka vijana kote nchini kujiandaa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, akisema kuwa uchaguzi huo ni "kura ya ukombozi" dhidi ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Waliokuwa wanachama wa Chadema, miezi miwili imepita kila siku walikuwa wanashindana kufanya press conference kuinanga na kuihama Chadema.
Walijiona wao ni wakubwa wanaweza nenda chama chochote na kushinda ubunge. Sasa toka CHAUMMA watangaze kutoa fomu watu hao wanachukua fomu Kwa kujificha ...
Wakuu!
Mzee Rungwe anaendelea kukisuka Chama huko!
==
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa ameongoza kikao cha viongozi wakuu wa chama hicho, kilichofanyika ofisi za makao makuu ya chama hicho Kinondoni, Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 7...
Nawashauri wale ambao wanapata shida kusoma zaidi ya paragraph moja waishie hapa. Nilichoandika ni kijigazeti hivyo yatawatia hasira bure.
Hivi karibuni kumetokea vijimaneno vikiashiria kuwa wameishiwa pumzi na kuwa wafadhili wao wamewatema.
Kwa mtazamo wangu ni mapema mno kutangaza kifo cha...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema ratiba ya Mwenge wa Uhuru mkoani Tanga ndio ilikuwa sababu ya kuzitisha ziara yao ya Operesheni C4C iliyopangwa kufanyika katika mikoa yote nchini kwa siku 16.
Itakumbukwa Mei 21, katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa...
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Davidi Tajiri Mhanga (kulia), amechukua fomu ya kutia nia kuwania Ubunge Jimbo la Mkuranga na kukabidhiwa na ofisa usimamizi wa shughuli hiyo makao makuu ya chama hicho, Shadya Abubakar
Fomu hiyo amechukua leo, Julai 3, 2025 ofisi za makao makuu ya...
Wakuu
Kwa wale mliokuwa mnahoji wapi walipo CHAUMMA mbona kimya sana?. Wamejitokeza na kueleza sababu za kuwa kimya ilikuwa ni kuandaa mazingira ya mchakato wa uchaguzi wa ubunge na udiwani, hii inahusisha mchakato wa kutoa fomu.
"Hiki ndiyo kile kimya hata waandishi mlikuwa mkiuliza, CHAUMMA...
Wakuu
Sasa mshindwe nyinyi tu. CHAUMMA imetangaza rasmi kufungua dirisha la uchukuaji wa fomu za ubunge na udiwani kuanza hapo kesho Julai 1, 2025 huku gharama ikiwa ni Sh. 50,000 kwa ubunge.
Ubunge viti maalum - Sh. 50,000
udiwani viti maalum - Sh. 10,000
Ujumbe wa baraza la wawikilishi -...
Wakuu
Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia?
Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Juni 27, 2025 alihimiza Vyama vyote vya Siasa nchini kutoa fursa...
Ubunge wa kupewa, kama ambavyo iliotwa na NCCR Mageuzi mwaka 2020, ni kitu kisichotekelezeka; japokuwa ahadi yake huwa ni tamu sana masikioni mwa vyama vya upinzani visivyotaka kuchutama ili kuokota vya chini.
Sababu kubwa ya ni kwanini hichi kitu ni kigumu kutekelezeka ni kwamba, ndani ya...
Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo)
Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana...
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Arusha CHADEMA ali maarufu baba bonny awaasa wale wote walio kimbilia CHAUMMA waondoke wakiache chama cha mzee Hashim Rungwe
Hali iliyopo kuelekea uchaguzi wa 2025 si nzuri huo ndio ukweli tunaenda kwrnye uchaguzi tukiwa tumegawanyika kama TAIFA.
Hii ni kutokana na hofu ya wananchi haki kutendeka katika uchaguzi huu. Nadhani uchaguzi wa serikali za Mitaa 2024 ndio umechagiza hofu hii tukubali tusikubali huo ndiyo...
Wakuu,
Tukiangalia viongozi wetu wengi walioshika dola kwa sasa hawaongelei suala la hali mbaya ya umaskini nchini,
Rais Samia amekua akifanaya ziara ya kuzindua miradi maeneo mbalimbali nchini akisema namna miradi hiyo imetumia fedha nyingi kuikamilisha, na zaidi kusema kwa sasa nchi yetu...
Hakuna chama kinachoiweza CCM isipokuwa CHADEMA leo Kafulila na Happi wanajipakulia tu minyama mbele ya CHAUMMA na ACT WAZALENDO,
https://www.youtube.com/live/UP89m78r-Uk?si=NhbWNO83GsYHj3xL
Inaonekana sababu CHAUMMA wamekuwa “kimya” ni kwamba hawajakuwa na shughuli za kampeni au matukio makubwa ya vyombo vya habari hivi karibuni. Katika miezi ya hivi karibuni:
Chamsha taarifa tu kuhusu uteuzi wa safu ya uongozi wao (wakati huu kumekuwa na uteuzi wa kaimu Mwenyekiti) .
Pia...
Wana chadema tuliamini CCM B ni ACT Wazalendo Sasa Leo baada ya CHAUMA ya Hashim Rungwe Mzee wa Ubwabwa kupokwa waasi wa chadema na kuwapa madaraka, hii inatuchanganya
Awali upinzani wa ACT Wazalendo ulitiliwa shaka yaani ulikuwa upinzani wa zuga tu, binafsi naona hii kasi ya CHAUMA Kuna nguvu...
Dhoruba iliyotokea sisi wengine tukasema hapana. Tukasema hapana kwasababu tunazizuia akili zetu zisitawaliwe na mihemko, tunazizuia akili zetu zijawe na sifa za kuja mbele za watu na kupigiwa makofi huku tukijua hatuna namna yoyote ya kuwasaidia watanzania, tukakataa, ndio sababu tukasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.