Au zoezi la uhamasishaji uchangiaji limesitishwa kwa muda mitandaoni na linaendelea kimkakati kimya kimya kule field ground, moja kwa moja, nyumba kwa nyumba kwa wananchi?
Maana ghafla tu, updates za trend ya uchangiaji na kilichochangwa zimekoma bila taarifa yoyote.
Nini kinaendelea kwa sasa...
Kwasababu sote ni mashahidi,
kwamba mikakati hii ya CHAUMMA inaweza kuwaduwaza na kushangaza wengi kwenye kiwango cha makusanyo yao kwenye mikakati yake ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Mpango huu unaweza kua wa uwazi zaidi na wakuaminika kwa wachangiaji ukilinganisha na taratibu za...
Huu ni ukweli kabisa...ukitaka uamini ona issue ya Maridhiano inavyozungumziwa, ni CCM na CHADEMA.
Issue ya Siasa Bongo ni Kama Issue ya Soka ilivyo..Kila Msimu kila agenda hua ni Simba na Yanga.
Ikitokea Azam kajitutumua kafanya usajili mzuri ndio unaona anazungumziwa na kupewa jicho na...
Salum Mwalimu aliyekua Katibu Mkuu wa CHAUMMA na Mgombea Urais wa chama hicho 2025, akizungumza kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV amesema badala ya kuendelea kulalamika ni bora tuangalie mbele na kujipanga zaidi
Soma Pia:
Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na...
Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi.
Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito .
Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
Kwasababu ni wazi,
kwamba sababu wanazotuhumiwa nazo zina fanana, ni zile zile tu za matumizi mabaya ya fedha za chama, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa matanuzi, maslahi na manufaa binafsi na familia zao.
Je,
tutegemee wimbi...
Asiee🤔
Nimecheka sana aisee🤣🤣🤣🤣
Hashimu Rungwe hajui kabisa kuwa alikaribisha mbwamwitu hatari kwenye chama chake..
Kwa taarifa yako Mzee Hashimu Rungwe hata huyo uliyemkaimisha ukaribu mkuu, Benson Kigaila akishirikiana na John Mrema watakunyoa hizo ndevu si kwa panga tena bali kwa shoka...
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ametangaza kujiondoa kwa muda katika majukumu yake ya ofisi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zilizowasilishwa dhidi yake mbele ya Kamati Kuu ya chama hicho.
Soma pia: Sekretarieti ya CHAUMMA Yawasilisha Waraka wa Kutokuwa na...
Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Salum Mwalimu.
Kwa mujibu wa taarifa ambazo tumezipata kwenye...
Sekretarieti ya Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA imewasilisha waraka Maalumu kwa Kamati kuu ya Chama hicho ya kutokuwa na imani na Katibu Mkuu wa CHAUMMA na mgombea Urais wa Chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Salum Mwalimu.
Kwa mujibu wa taarifa ambazo tumezipata kwenye...
Sio kwa nia mbaya au kuwapangia mambo; CHAUMMA kwa hadhi yenu nyie sio wa kushindwa kutengeneza website hata ya bei kidogo ili kuenda na wakati wa sasa wa Teknolojia ya mawasiliano na kuleta udhibiti wa mawasiliano yenu ndani ya chama chenu.
Ofisi ya Katibu Mkuu wa CHAUMMA, Kurugenzi ya Uenezi...
Kamati Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) iliyokutana leo Jumanne, Mei 5, 2026 Kinondoni jijini Dar es Salaam imemteua Daudi Masasi kuwa mgombea ubunge wa Isimani mkoani Iringa.
Uchaguzi mdogo wa Isimani utafanyika Juni 1, 2026 kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge wake kwa...
Yeriko Nyerere aliwaingiza chaka wakina John Mrema. Eti Mbowe kamwambia anajiunga nao.. Sasa wanamsumbua John Heche wakitaka kurudi.
Waliahidiwa Vyeo... Ila havijapatoka.. Wamekata tamaa..
Salum Mwalimu anafanya biashara gani hadi ajenge Ghorofa Dodoma?
Wengine hata hamu ya kuandika vitabu...
Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
"Watu waliotoka kwa wingi ambao wamewahi kuwa viongozi kwenye chama hiki ni watu walioenda chama...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara Benson Kigaila amedai kuwa chama hicho kinaweza kushika nafasi ya pili kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama na wafuasi baada ya chama tawala (CCM), ingawa katika matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliopita wamepata Viti vichache vya...
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha mshikamano na majadiliano ya kisiasa nchini...
Kabla ya Uchaguzi Mkuu wote ni mashuhuda wa mitifuano ya kisiasa iliyotokea kwenye Vyama vya Siasa hasa Vyama hivi
Chadema
CCM
ACT Wazalendo
Chaumma
Uchaguzi umeisha na kila mmoja amevuna alichopanda ata ambaye hakupanda kitu yawezekana kipo alichokivuna
Lengo la Uzi huu ni maajabu ya kundi...
Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ndugu Salum Mwalim ataongoza ujumbe wa viongozi na wanachama wa Chama hicho kwenda katika maziko ya Hayati Edwin Mtei yatakayofanyika Tengeru,Mkoani Arusha siku ya Jumamosi tarehe 24 Januari,2026.
Soma Pia: Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.