chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito ACT na CHAUMMA Huwa nao wanapoteana CCM ikipoa nao wanapata nguvu Kuna Nini hapo?

    Katika huu mwaka wa uchaguzi Kila kipindi CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito vyama kama ACT na CHAUMMA navyo Huwa vinaingiza mkia nyuma lakini huko CCM kukipoa ACT na CHAUMMA utawasikia wanapata makali. Saiv usikii chaka to chaka usikii watu wakinadi sera zao lakini kipindi CCM wakipata afadhali...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania WanaCCM watakaoenguliwa kwa mizengwe ya huu utaratibu mpya walitarajia kujiunga CHADEMA Bahati mbaya CHADEMA haishiriki uchaguzi na CHAUMMA hawaitaki

    Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenezi wa BAWACHA Taifa ahutubia kwenye mkutano wa CHAUMMA

    Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) Taifa, Bi. Sigrada Mligo, amehutubia kwenye mkutano wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), uliofanyika Makambako mkoani Njombe leo Julai 17, 2025. Mligo katika hotuba yake amesema wananchi wanahitaji Wawakilishi...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA

    Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita. Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Peter Buhime amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), na kukabidhiwa kadi na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma wa Chaumma, John Mrema katika Mji wa Biharamulo Peter, aliyewahi kuwa mtia nia wa Ubunge Jimbo la Biharamilo kupitia CCM...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Tunduru wagombea kadi za CHAUMMA kama 'njugu'

    Wananchi wa Tunduru, mkoani Ruvuma leo wamejikuta wakigombania kadi za kuomba uanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA). Tukio hilo limetokea leo baada ya viongozi wa chama hicho kuzungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Tunduru. Baada ya kumaliza kuzungumza, viongozi wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Tutashinda Majimbo yote 272

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Tanzania Bara (CHAUMMA) Bw. Benson Kigaila, amesema wako tayari kusimamisha wagombea katika majimbo 272 na wana uhakika wa kushinda viti vyote sababu wana sera za kuiletea maendeleo nchi Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chopa ya CHAUMMA yaishiwa mafuta, na kusababisha mwenyekiti wa chama hicho kushindwa kuhudhuria mkutano

    Chopa inayotumiwa na Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe na viongozi wengine wa chama hicho, imeishiwa mafuta na kusababisha kiongozi huyo ashindwe kuhudhuria mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike Lindi Mjini. Akizungumza leo, Julai 15, 2025, katika Viwanja vya Mpilipili, Lindi Mjini...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yapata watia nia Majimbo yote Mkoa wa Mara

    Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia wa ubunge katika majimbo yote 10 ya mkoa wa Mara akieleza kuwa hamasa imekuwa kubwa kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kuchukua fomu za kugombea udiwani...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigaila: Chaumma itasimamisha wagombea katika majimbo yote nchini ili kwenda 'ulaloulalo' na CCM hadi kieleweke

    Akizungumza leo Julai 14, 2025 na wanachama wa chama hicho, Kaimu Katibu Mkuu wa Bara, Benson Kigaila amesema mabadiliko yanayohitajika yatapiganiwa wakiwa bungeni badala ya kukwepa uchaguzi na kuiacha CCM kuendelea kuongoza. Amesema bila kuingia katika uchaguzi Bunge litabaki kuwa la CCM...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu apinga madai CHAUMMA kutoshiriki uchaguzi, ashangaa CHADEMA kususa ikiwa wananchi wanahitaji mabadiliko

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepinga vikali madai kuwa CHADEMA, wanachama na viongozi wake waliafikiana kususia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, akisema hakuna kikao rasmi kilichopitisha uamuzi huo, na kuitaka CHADEMA kuweka wazi nyaraka za maamuzi hayo...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema ni imekaushwa na CHAUMMA au imejikausha yenyewe kwenye medani za siasa za Tanzania kuelekea Uchaguzi mkuu wa October 2025?

    Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA walivyoshuka na chopa Tanga

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kitasimamisha wagombea wa ubunge na udiwani Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa Salum Mwalimu mkoani Tanga kwenye mkutano wa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigaila: Hakuna mkono wa serikali CHAUMMA

    "Siku hizi wanaruka na helkopta, inaonekana ile Helkopta wamepewa na serikali. Sisi tunaoruka na helkopta CHAUMMA leo ndiyo tulikuwa tunaruka na Helkopta Chadema mwaka jana, mwaka juzi mpaka mwaka 2005. Leo wao wanaruka na Helkopta? sasa wakubali kama hii Helkopta tumepewa na serikali waseme ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yosepha Komba: Hakuna namna unaweza kuzuia uchaguzi ikiwa si sehemu ya uchaguzi

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini Yosepha Komba ambae kwa sasa ni mtia nia wa Ubunge Jimbo la Muheza kupitia CHAUMMA amedai kuwa ni vyema kuwakabili CCM kwenye maboksi ya kupigia kura kuliko kuwasusia wabaki wenyewe, kwakuwa hakuna namna uchaguzi unaweza kuzuiliwa ikiwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Chopa ya CHAUMMA yaanza kufanya ziara Tanga

    Leo Jumamosi Julai12, 2025 Chama Cha ukombozi wa umma CHAUMMA kimeanza ziara zake mkoani Tanga kwa kutumia usafiri wa Helkopta maarufu kama 'Chopa', wakianzia Wilayani Korogwe na Jioni hii wakitarajiwa kuwa na Mikutano yake Tanga Mjini. Katika ziara hiyo Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wanashiriki.
  17. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania GE2025 G-55 waliohamia CHAUMMA waanza kumomonyoka mmoja mmoja. Julias Mwita ajiweka pembeni

    Julias Mwita ajiweka pembeni na siasa Ninamshukuru tena Mwenyezi Mungu kwa kunipa fursa ya kuendelea na hatua nyingine ya kitaaluma.Sasa nitajielekeza zaidi kwenye kukuza taaluma yangu na mambo mengine. Hivyo kuanzia sasa 𝗦𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜𝗦𝗛𝗨𝗚𝗛𝗨𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗔𝗦𝗔 𝗭𝗔 𝗔𝗜𝗡𝗔 𝗬𝗢𝗬𝗢𝗧𝗘Tukutane kwenye TAALUMA na...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boni Yai amehamia CHAUMMA na kutangaza nia ya kugombea ubunge

    JamiiCheck ni kweli kuwa BoniYai kahamia CHADEMA?
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yaitaka INEC kuwachukulia hatua wasimamizi wanaowaengua wagombea wa upinzani

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeitaka Tume huru ya Taifa nchini (INEC) kuwachukulia hatua kali za kuwafikisha mahakamani kwa mujibu wa sheria ya tume hiyo, wasimamizi wa uchaguzi mkuu wa madiwani ,wabunge na urais watakaojihusisha na vitendo haramu vya kuwaengua wagombea wa upinzani...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, amejiunga rasmi CHAUMMA

    Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, ambaye hapo awali alitangaza kujiondoa CHADEMA kutokana na kutokubaliana na msimamo wa chama hicho kuchukua mrengo wa kususia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai ya kutaka mageuzi kwanza, ameweka wazi kuwa tayari amepata jukwaa...
Back
Top Bottom