CAFE TALK: CCM, CHAUMMA na ACT Wazalendo wanachuana vikali muda huu

CAFE TALK: CCM, CHAUMMA na ACT Wazalendo wanachuana vikali muda huu

Hata NBC Premier League ikikosekana Simba au Yanga inakosa mvuto.
 
Hakuna chama kinachoiweza CCM isipokuwa CHADEMA leo Kafulila na Happi wanajipakulia tu minyama mbele ya CHAUMMA na ACT WAZALENDO,


View: https://www.youtube.com/live/UP89m78r-Uk?si=NhbWNO83GsYHj3xL

Mhhhhh hizi, sasa ni bongo muvi au futuhi,
Yaani, kama hawa ndio tunategemea waongoze nchi, na ni vilaza kiasi hiki,sasa huko vijijini kwa, ambao hata la Saba Hawaiian, wana hali gani,?
Chairman na ccm Lao moja, tu ccm A and B, chaumma, act ni Malaya wanaotumiwa na, ccm tu,
 

Attachments

  • videoplayback-1.mp4
    3.8 MB
Back
Top Bottom