Heee!!
Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa
===
Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema...
Wakuu
Ni muendelezo wa C4C ya CHAUMMA na muitikio umekua mkubwa Pengine sera zao za ubwabwa zinavuta wananchi uchaguzi wa October 2025
====
Mapokezi ya Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa Mh. Wakili Msomi Hashim Rungwe kwenye eneo la Sunuka, Jimbo la Kigoma Kusini ambapo ameambatana na Makamu Bara...
Wale wote waliojiunga CHAUMMA nafikiri sasa wanajilaumu sana kwa uamuzi wao wa kukurupuka.
Mbowe umetumia akili nzuri sana kutest zari kwanza nafikiri umeona jinsi ambavyo ungeaibika kama ungejitokeza CHAUMMA.
NO REFORMS NO ELECTION!!!
Wakuu
CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.
Minja ametoa kauli hiyo Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche hivi karibuni...
Daima HIARI YASHINDA UTUMWA...
Chaumma kiliwezeshwa ili kukiuwa CHADEMA kimeangukia pua na sasa kiko njiani kuelekea ICU then mortuary!
Vipi kuhusu 'Oktoba tunatiki (October tuna tick) imeanzishwa baada ya moto wa NO REFORMS NO ELECTION fukuto lake kugusa mfupa.. Muda huu sijui imefia wapi...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa wito kwa watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kutenda haki katika kusimamia uchaguzi Mkuu wa Oktoba baadaye mwaka huu.
Ametoa wito huo leo Juni 7, 2025, baada ya kuungana na waumini wengine wa dini ya...
CHAUMMA walitangaza kuanza operation C4C wakiruka na Chopa.
Hatimaye wakaizindua pale Mwanza na mara ya mwisho nimewasikia wakiwa Mara.
Je hizo operation zinaendelea au wamerudi kwenye drawing board?
Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania.
Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo.
Lakini hata kama...
Taarifa ya Chadema hii hapa
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, amesema chama hicho hakina ofisi (iliyotajwa kwamba ilikuwa yao na kisha kuchukuliwa na CHAUMMA) bali kwa sasa wanamiliki majengo yao na wapo kwenye ofisi zao, na kwamba wanaosema kwamba jengo hilo lilikuwa la...
Kwa miaka yote ya maisha yako sijawahi kukusikia au kukuona unajiunga na chama cha siasa. Nilikuona ukitumia jukwaa la CHADEMA lkn hukujitambulisha kama mwanaCHADEMA wala kuvaa gwanda la CHADEMA, ulitumia jukwaa la CHADEMA lkn sijawahi kukuona ukishiriki vikao vya CHADEMA.
Lakini hivi sasa ni...
Nimewasikiliza hawa jamaa naona kama kuna kuchanganyikiwa flani hivi au wana hasira za kutoka CHADEMA kiasi cha kupoteza Dira na kutumia Mikutano yao waliyoiandaa kwa Gharama kubwa kuisakama CHADEMA badala ya CCM, siyo kwamba wanarudia kosa walilofanya ACT?
Lengo la Chama chochote cha Siasa ni...
Ofisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).
Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa inasomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina...
Ng'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma.
Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe.
"Tukikubaliana na haya yanayoendelea yanayopelekea kwenda kuharibu amani ya nchi yetu tutakuja kujuta watanzania, kwasababu tangu wazee wetu wametengeneza amani kwenye nchi hii na kuruhusu uwepo wa vyama vya siasa tulikuwa vizuri na amani tele ila hizi chaguzi tatu za 2015, 2020, 2025 kumekua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.