chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Waliondoka CHADEMA wameambiwa waende CHAUMMA na hii yote ni kutaka kuwapotezea

    CHADEMA imekwishavuka sio tena chama cha viongozi na wanachama wa CHADEMA bali ni chama tumaini na imani la matumaini kwa Watanzania, ni chama cha Watanzania sasa katika kutekeleza hayo wameanza kuchukua baadhi ya watu wachache ndani ya CHADEMA wakiwa wamewaahidi kwamba waende kwenye chama...
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA Imefungua Milango kwa kina Kigaila

    kujiunga na chama chetu,” alisema Kabutali katika mazungumzo maalum na Nipashe Digital. Aliongeza kuwa wanaendelea na maandalizi kuelekea Juni 27, 2025, ambapo tutatangaza majina ya wagombea wetu wa Urais, Ubunge na Udiwani. CHAUMMA ambaye hakutaka jina lake litajwe, alikanusha taarifa...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

    Wakuu, Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
  4. C

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA mbadala wa CHADEMA

    Ikiwa CHADEMA wamesusia uchaguzi Wana CHADEMA twendeni na CHAUMMA
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yashauri marekebisho Tume ya Uchaguzi (INEC)

    Pamoja na kuthibitisha kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimependekeza na kuishauri Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) baadhi ya mambo ya kufanyiwa marekebisho kabla ya shughuli hiyo. Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu Oktoba 25, 2025 kuwapata...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA kugawa ubwabwa kwa wananchi wa Jiji la Mbeya bure

    Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashimu Rungwe anatarajia kufanya ziara ya siku mbili mkoani Mbeya ambapo atafanya mkutano wa hadhara kesho wa kuwashukuru wananchi wa Mtaa wa Soko. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chaumma inaweza kupata kura nyingi zaidi za urais kuliko chama kingine chochote cha upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

    Kasumba ya kushughulikiana na kukomoana hususan ndani ya vyama vya upinzani nchini itaendelea hadi kwenye sanduku la kura za jumla uchaguzi mkuu wa October 2025. Kuna wagombea watakomolewa na wafuasi wa vyama vyao, hawatapigiwa kura kwasasababu tu ya midomo yao, makelele yao, hila zao...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT, CHADEMA, CHAUMMA, CUF na NCCR- Mageuzi kufanya mazungumzo ya kuungana ili kuikabili CCM

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao. Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe wa CHAUMMA: Sifanyi mkutano wa hadhara chama changu hakina fedha

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo. Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani...
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CHAUMMA apandisha sukari baada ya kuulizwa kuhusu ukomo wa madaraka, amtaka Charles William agombee Uenyekiti

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka mtangazaji kuchukua fomu na kugombea katika uchaguzi ujao wa chama hicho kama anaona kwamba mwenyekiti wa sasa amekaa muda mrefu madarakani Soma pia: CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao "Chama tumekiasisi...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Iwe CHADEMA, iwe CHAUMMA, iwe Chama kipya au kingine , Alipo tupo, 2025 ni mwaka wa ukombozi

    2025 ni Mwaka wa ukombozi ,Tundu lissu ndiye tumaini jema . Iwe mvua , iwe jua , iwe CHADEMA, iwe CHAUMMA au popote pale alipo Tupo Viva Tundu Lissu , Mungu ibariki Tanzania.
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado hawajakata tamaa ya ushiriki na kushinda katika uchaguzi mkuu ambao unatarajia kufanyika mwaka huu...
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ijue katiba ya CHAUMMA

  14. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Why CHAUMMA!? Lissu, Lema, Heche et al kutimkia CHAUMMA

    Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: CHAUMMA wafanya pati ya Ubwabwa baada ya Ushindi wa kiti 1 cha Uenyekiti wa Serikali za Mitaa

    Wakuu, CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya kumpongeza mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma Brian Mwakalukwa akiwa ni...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHAUMMA yapata ushindi wa kiti 1 kati ya viti 181 Mbeya na kuwa chama pekee cha upinzani kilichopata ushindi mkoani humo

    Wakuu, CHADEMA, ACT hola? Wagombea walienguliwa wote au nini kimetokea? CHAUMA upinzani anashinda anamshukuru Rais Samia kwa kushinda? CCM safari hii mmetisher!:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimefanikiwa kupata ushindi katika nafasi ya...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Rungwe ashinda uenyekiti CHAUMMA kwa mara ya tatu, aahidi kushikilia sera yake ya ubwabwa mashuleni kwenye uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashimu Rungwe, kwa mara nyingine ameibuka kidedea baada ya kutetea kiti chake kwa ushindi wa kura 118 kati ya 120 katika uchaguzi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Akitangaza matokeo hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Mohamed Masoud...
Back
Top Bottom