chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwasisi CHAUMMA, Eugene Kabendera ajiunga CHADEMA

    Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hatimaye CHAUMMA wabadilisha account ya YouTube ya CHADEMA kuwa CHAUMMA Media TV, Heche hakumsingizia Mrema

    Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha. Nilijua Heche alimsingizia Mrema ila kwa hili analolifanya asee Pia soma Madai ya Heche Pre GE2025 - John Heche...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Hivi ndivyo Helikopta ya CHAUMMA ilivyotua Serengeti

    Wakuu, Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeanza kufanya ziara zake kwa kutumia ndege ya Helicopter (chopa). Na hivi leo chopa hiyo imetoka kiwanja cha ndege Mwanza kisha kushuka uwanja wa Urafiki kuwabeba viongozi wa chama kisha kupaa kwenda na kutua jimboni la Serengeti ambapo mwenyeji wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA siyo kwa ubaya ila mnapaswa ku-Move on sasa siyo kila siku kuwatajataja CHADEMA

    Hawa lastborn wa siasa kila siku kuwataja chadema kwenye mikutano yao wanashindwa kuweka sera zao. Wanatumia muda mwingi kuwakosoa chadema kutoshiriki uchaguzi. Kama wao wameamua kushiriki si washiriki tu kuna haja gani ya kuwafuata fuata chadema kila siku. Katibu mkuu wao huko Mwanza leo asema...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano mkubwa wa CHAUMMA Kijiji cha Kamgise, Jimbo la Serengeti

    https://www.youtube.com/live/bPHc0mwP6Rk?si=2CnOWwUZW5KwaumZ
  6. redpill evengalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ikitokea Mchungaji Gwajima akajiunga CHAUMMA, upepo wa siasa utabadilika nchini

    Nawaza tu, kwa akili mnato za wabongo ikatokea askofu wa makanisa ya ufufuo na uzima akajiunga chauma na kugombea uraisi moja kwa moja na hapo ndio mtagundua jinsi elites wanavyo chezea system ya nchi hii.. Na hapo ndio upepo wa kisiasa utahamia chauma na akili za watanzania zitachezeshwa na...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Haya hapa Maamdalizi ya Mkutano wa CHAUMMA Mkoani Mara

    GT Watu wa Mkoa wa Mara na viunga vyake Mjiandae kwa ubwabwa, sato na sangara.
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Vitus Nkuna aikimbia CHAUMMA. Mkutano wao uliokuwa uanze saa saba kamili Mugumu Mara washindwa baada ya kukosa mahudhurio

    Kada mpya wa CHAUMMA ndugu Vitus Nkuna ameamua kutelekeza chama chake huko Mara leo baada ya kuona hali halisi. Hali kadhalika huko Mugumu Mara mkutano umeshindwa kuanza saa saba mchana baada ya kuwa hapakuwa na watu kwenye uwanja. Hii inajiri leo baada ya jana kada wao mwingine Aisha Madoga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania John Mrema wa CHAUMMA amefeli mapema

    Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza. Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama...
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema ajisahau kubadili Akaunti ya X, atumia ya CHAUMMA kumtolea povu Zitto Kabwe. Asema ACT ipo kata 2 tu Tanzania Bara

    John Mrema amejisahau kubadili Akaunti ya X, ametumia ya CHAUMMA kumtolea povu Zitto Kabwe. Amesema Zitto Kabwe ameshindwa kukuza chama cha ACT, kwa Tanzania bara kipo kata 2 tu za Tunduru na mojawapo ipo Kigoma. Haya yanajiri baada ya Zitto Kabwe kuwakaribisha wanachama wa vyama vingine...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA brand yao kubwa ni "Ubwabwa" ndo imetambulisha sokoni wao wanapigania tumbo

    Hiki chama kinaitwa CHAUMMA ndio nimekisia Ila nadhani ni chama cha mfukoni. Haiwezekani Sera yako iwe ubwabwa huu ni utoto mkubwa.
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA: Suala Siyo wingi wa watu bali wana hoja gani?

    Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo. Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria...
  13. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Usiendeshwe na hisia. Siasa ni Psychological Manipulation

    Katika ulimwengu wa kisasa wa siasa, wengi wetu tunajikuta tukitumbukia kwenye mtego wa hisia. Tunachagua viongozi, tunapigania vyama, tunajitokeza mitandaoni au mitaani kutetea misimamo ya kisiasa kwa hasira, chuki, au upofu wa kimapenzi. Lakini kuna ukweli mmoja mkubwa ambao wengi hawataki...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yawajibu wanaohoji kwa nini chopa halikufika mkutanoni, wataja changamoto ya vibali na marubani kuchikichia

    Wakuu wale mliosubiri kwa hamu kuona chopa za CHAUMMA na mkatoka kapa katibu mkuu Salim Mwalimu amewajibu kwa kutumia dakika 9 kuelezea mchakato mzima uliopelekea cjopa hzio kutowasili mkutanoni hapo. Awali alieleza kuwa mamlaka zilizuia helicopter zenye usajili wa ndani, wakatafuta wakapata...
  15. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Kukodisha Helikopta Kenya Yakataa Kuwahudumia Chama cha Chaumma

    Kampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Hata sisi tutapata vya kwetu,l😍😍😍
  16. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kituko: wenzako wana sera nzuri"No reforms no Election"wewe unakuja na kwanini Hamjaiona Chopper yetu

    What is Chopper? Ni kweli watu wa Mwanza watoke majumbani kwenda kuona chopper? Mmewaona ni wajinga kiasi Gani Hadi mrundikane kuwaringishia chopper? Watu wanataka sera na siyo taarabu na mipasho. Mmepewa uwanja na halafu mnaishia kuongea mipasho tu. Wengine wazee wanaongea macho yamewatoka...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukweli mchungu: Waliokataliwa sio CHAUMMA, bali ni CCM

    Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA. Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki. Somo...
  18. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Mzee Rungwe Wafukuze Hao Wakuja Mrema na Wenzake Wataua CHAUMMA

    Kilichotokea Mwanza kila mmoja amekiona. Hawa wahamiaji walisema wao watahama na CHADEMA yote lakini tumeshuhudia wakihutubia ng'ombe uwanjani. Baada ya uchaguzi hawa watu watakuwa kero kubwa kwa CHAUMMA ambacho mdogo mdogo kilishaanza kijitafuta na sisi wapenda ubwabwa tulikuwa tunamwelewa...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania "Sisi tunaichukua CHADEMA na ukubwa wake kisha tunaenda kuihamishia CHAUMMA" Alisikika mjinga mmoja hivi

    Yupo mjinga mmoja sitamtaja jina alisikika akitoa hiyo kauli kwa mbwembwe wakati anahama. Aliongea mengi mengine siyakumbuki na kama kawaida akapambwa na wale waandishi mradi. Leo kipo wapi? Muachieni mzee Rungwe chama chake alikuwa anaenda mdogo mdogo na ubwabwa wake na walianza kumuelewa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimewasikiliza CHAUMMA kwenye mkutano wao niseme nimesikitika

    Nilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la kupambana na CCM hawa? Na Kigaila anadanganya kwakusema2019 Chadema ilisusia uchaguzi wakati huo...
Back
Top Bottom