chaumma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

    https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ Ameambatana na James Mbowe Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA kuteua mgombea urais Agosti 7

    Kulingana na taarifa iliyotolewa leo Agosti 5, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Taarifa kwa Umma, John Mrema, Agosti 7 kutakuwa na mkutano mkuu utakaokuwa na ajenda ya kupitisha Ilani ya uchaguzi na ajenda ya kutelua wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano na Zanzibar.
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yaanza kuwalisha ubwabwa wakazi wa Dodoma Mjini

    Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa UMMA(CHAUMMA)zamani CHADEMA Mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Madoga amechukua fomu hiyo Leo Agost 4,2025 Jijini Dodoma ambapo pia aliandaa chakula Cha mchana(UBWABWA)Kwa wanachama wa CHAUMMA na Wananchi wa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aisha Madoga kuwania ubunge Dodoma Mjini kupitia CHAUMMA

    Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Aisha Madoga, amepokea fomu ya kutia nia ya kuwania ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya chama hicho. Madoga amekabidhiwa fomu hiyo na wanachama wa CHAUMMA nyumbani kwake jijini Dodoma Agosti 04, 2025 Akizungumza mara...
  5. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania GE2025 ChAUMMA wanasaka viongozi wa CHADEMA kila kona nchi mzima, wiki yote hii. Wamekwama kwa 98%.. Kulikoni? Mbona hawaendi CCM?

    Mwanzoni nilipewa taarifa na Diwani Mstaafu wa Chadema wiki iliyopita. Baadaye akaniambia waliokuwa madiwani wenzake wa Dsm karibu wote Dar na kwao Mbeya wameombwa kujiunga Chauma. Leo nimepata taarifa ya Viongozi wa kata Fulani na wilaya Mojawapo nao wameombwa kujiunga na CHAUMMA. Taarifa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Devotha Minja ajitosa ubunge Morogoro mjini kupitia CHAUMMA

    Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja, Agosti 1, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini kupitia chama hicho. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu katika Ofisi za CHAUMMA mkoani Morogoro...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kupokelewa CHAUMMA Agosti 06 ukumbi wa Mlimani City

    Habari ndio hiyo. Wajumbe tayari wako njiani wanakuja. Jiandaeni kupata mgombea Urais wa Upinzani wa CCM B.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliekatwa jina lake CCM Jimbo la Meatu aibukia ofisi za CHAUMMA

    Aliyekuwa mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Meatu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Joseph Mwanambuke, ambaye jina lake halikufanikiwa kupenya katika orodha ya awali ya walioteuliwa kuwania nafasi hiyo ameonekana katika viunga vya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yatangaza rasmi ukomo kuchukua na kurejesha fomu Kugombea Ubunge, Viti Maalum na Udiwani

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Salum Mwalimu ametangaza rasmi mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi za Ubunge, Viti Maaalum na Udiwani kupitia chama hicho ni Agosti 15, 2025 Saa kumi alasiri
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Viongozi CHADEMA kutoka chama A kwenda chama B si dhambi. Karibuni CHAUMMA!

    Zipo tetesi kutoka kwenye chanzo makini zinazosema viongozi wengi CHADEMA wapo njia panda, na wengi wanamuogopa mwenyekiti wao, kwa kuonekana wamemsaliti Chanzo chetu kinaendelea kudodosa viongozi wengi mpaka wa ngazi za juu wanania thabiti ya kuingia CHAUMMA, lakini kauli na morali zao zao...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenezi BAWACHA, Sigrada Mligo ajiondoa CHADEMA, ahamia CHAUMMA

    Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile alichokiita kauli za kubeza mchango wake na mazingira ya “unyanyasaji wa ndani ya chama.” Akizungumza na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moza Ally kuwania Ubunge Kinondoni kupitia CHAUMMA

    Mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza leo Julai 28, 2025, Moza amesema ana uhakika wa kushinda nafasi hiyo iwapo Chama chake kitampatia ridhaa ya kugombea. "CHAUMMA kikinipa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yapokea wanachama wapya 250

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimepokea wanachama wapya 250 kutoka Jimbo la Kinondoni leo Jumapili, Julai 27, 2025 wakati chama hicho kilipofanya mkutano mkuu wa jimbo hilo. Sera za chama, kushiriki uchaguzi, mabadiliko ni miongoni mwa sababu zilizofanya chama hicho kupokea wanachama...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yapokea mapendekezo ya Wanawake wa Viti Maalum kwa Uchaguzi Ujao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepokea rasmi mapendekezo ya sifa na vigezo vya wanawake wa chama hicho wanaotarajiwa kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi kupitia viti maalum katika uchaguzi ujao. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam siku...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katavi: Wananchi waibana CHAUMMA kwa maswali magumu. Mtalindaje kura?

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Katavi kimewatoa wasiwasi wananchi wa Kata ya Kakese, Manispaa ya Mpanda, kuhusu usalama wa kura zao kwenye uchaguzi mkuu ujao, kikiahidi kuwa na mikakati madhubuti ya kuzilinda ingawa hakijaweka wazi mbinu hizo kwa sasa. Kauli hiyo imetolewa siku ya...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Susan Kiwanga kugombea tena Ubunge kupitia CHAUMMA

    Aliyekuwa Mbunge wa Mlimba 2015-2020 kupitia Chadema, Susan Kiwanga ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amechukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kipya kuwania ubunge wa Mlimba katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kiwanga amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumatano, Julai...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi wa Kimataifa waje kushuhudia CHAUMMA akishindwa kihalali

    Tunaawalika Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa toka popote Duniani waje kushuhudia Chama Chenye Sera ya Kula Misosi (CHAUMMA) wakishindwa kihalali. Karne ya 21 unapiga kampeni ya Kula ubwabwa. cCM wakishinda unalia lia. Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable Pascal Mayalla
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamishna wa CHAUMMA Mussa Katambi: Refoms haziwezekani bila kuwa na wabunge

    Kamishna wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA kwenye mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora Masanja Mussa katambi Amesema taarifa za kuwa wamenunuliwa kwenda CHAUMMA Ni uongo na walichokifanha ni maamuzi sahihi ya Kutafuta jukwaa la kuendelea kuwasemea Wananchi baada ya kuona hawatapata nafasi ya...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA wazindua ofisi mpya Kilimanjaro kwa kula ubwabwa

    Chama cha Ukombozi wa Umma kimefanya Uzinduzi wa ofisi ya chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro leo Julai 19,2025 na kuhudhuriwa na wafuasa mbalimbali wa chama hicho. Sambamba na uzinduzi huo pia Chama hicho rasmi kimezinduzi wa zoezi la uchukuaji fomu kwa wagombea wa ubunge na udiwani ndani ya Mkoa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigogo wa ACT Wazalendo atua CHAUMMA

    Aliyekuwa Katibu wa Mkoa wa Kagera wa Chama cha ACT-Wazalendo, Linus Maeje (Meja) amejiondoa kwenye chama hicho na kujiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) leo Jumamosi Julai 19 2025 Mjini Karagwe mkoani Kagera. Meja mepokelewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari kwa Umma wa...
Back
Top Bottom