Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo.
Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla.
Tukubaliane waanga wengi ni wao
Muhimbili...
5000 Tu watu wanakazwa balaa mixer michezo ya yas.mikopo vikoba imekuwa mingi sasa kwa kuwa kazi hawana wanaishia kuambukizwa ukimwi kwa Kasi ya ajabu.USAID toka asitishe hela hata kampeni za tacaids zimepungua na kuisha hii NI hatari Sana cheza salama ndugu zangu.
EMMANUEL SHONDE WA CLOUDS AMEFIKA MAKTABA KUTAFITI CHANZO CHA HARAKATI ZA UHURU WA TANGANYIKA
Kijana Emmanuel wa Clouds leo asubuhi kaniweka kitako akinipiga maswali na kunihoji kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Emmanuel kasukumwa kuja kunihoji baada ya kusoma kitabu cha Abdul...
wakuuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza...tusitafute mchawi wa kwanini tunashindwa na timu kama Madagscar au Sudan nchi ambazo hazipo kwenye top 20 ya ligi bora za Africa kwa wachezaji wa nyumbani..
kilichotugharimu
1. Benchi la ufundi buree hamna kitu pale...watu wamewekwa pale kisiasa ...
Mimi miaka yote wala si mchapa kazi. Wala sina bidii. Sijawahi kukesha hata wakati nasoma. Nlifaulu. Na sikuwa na bidii... Ntakudanganya nikisema hivyo.
Nliajiriwa Serikalini miaka ya 90s. Nikawa napanda panda vyeo nahama wizara na sasa nazunguka zunguka nchi kadhaa. Nina bidii? Ninajituma...
Habari wana JF.
Umasiki ni chanzo Cha Mabaya kero, Uchawi, ulozi, kunuka jasho, wivu, ukatili n.k.
Masikini ndiyo mtu wa kwanza kuingia Motoni hata kama ulikuwa unasali sana kama umekufa masikini ni Motoni moja Kwa moja.
Kwasababu.
Umasikini unakufanya muda wote unawaza mabaya Mabaya...
Huu mjadala nitahitaji ukae hivi mapema kabisa ili niweze kueleweka kabla sijagusia kitu chochote!.
Maswali mengi tunayojiuliza na hatujapata majibu mpaka sasa juu ya chanzo cha ulimwengu na chanzo chetu!, ni kwasababu kuna kitu ama vitu hatujavijua bado!.
Sina hakika sana kama tutakuja...
Makala hii nimeikuta mahali na nimeileta hapa ili sote tufaidike In Shaa Allah:
"On 3 October 1930, a bus carrying fifteen members of one family, a driver’s assistant, and a nanny plunged into the Indian Ocean at Mombasa’s Likoni Ferry crossing point.
The family was returning from the wedding...
Surat Al-Baqarah (2:34):
"Na tulipowaambia Malaika: Mumsujudieni Adam, wakasujudu isipokuwa Iblis. Alikataa na akajivuna, na alikuwa miongoni mwa makafiri."
Pia inatajwa katika:
Surat Al-A'raf (7:11–12)
Surat Sad (38:71–74)
Surat Al-Hijr (15: 28- 31)
Surat Sad (38:71–72):
"Mwenyezi...
Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla.
Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini.
Lakini...
Hivi nini chanzo cha makabila na nini chanzo cha hizo lugha za makabila nimekaa chini nimetafakari ila nimeshindwa kupata jibu wajuzi wa mambo naomba mnisaidie aisee
Wakuu!
Kumekuwa na matukio ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kushangilia pale wasanii na viongozi wa Kisiasa wanapopata misiba. Hivi nini chanzo cha kufurahia?
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA
Mheshimiwa Kamanda Mulilo,
Soka et al nao walikuwa wanadaiana?
Mdude naye alikuwa anadaiwa,
Mawazo naye alikuwa anadaiwa,
Kangoye naye alikuwa anadaiwa?
Na wengine wa kundi hilo la chadema
Pili Mbona wote ni wa Chadema...
Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi.
Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa kiongozi mbaya kutokana na mazingira anayo yaongoza, mfano samia amevunja katiba wazi wazi ya chama...
Wakati utawala wa Trump unatafakari kuhusu kutuma silaha zaidi kwa Ukraine, mmoja wa washirika muhimu zaidi wa Urusi anaongeza kiwango cha ushiriki wake.
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un, ametoa "msaada wake usio na masharti" kwa Moscow, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya...
Genuine question, matusi sio uungwana.
Watu wanatumia akili zao, kipaji kuingiza hela.
Je kama unamuonekano mzuri, na unatake attention ya watu, unaeezaje kugeuza hiyo attention ya watu kua chanzo cha kipato, kihalali?
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana...
WATOTO WA KISASA
Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu
Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni
Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza.
Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
GAZA MARINE; CHANZO CHA GAZA KUWA CONCENTRATION CAMPS.
Uvamizi wa Israel "Gaza" ni mpango wa siku nyingi, sio jambo la Bahati mbaya, Kinachofanyika Gaza kina Sura mbili.... Moja mkakati wa kuimiliki "Gesi asilia inayofikia 35 BCM (35 Billion Cubic Meters), Pili kuvunja harakati ya "Pan-Islamism...
UKOSEFU WA MAARIFA NI CHANZO CHA UPOTEVU WA PESA WAKATI WA UJENZI.
Faida za kununua full package ya Ramani Kabla ya Kuanza Ujenzi.
1. Unakuwa na uhakika na Nyumba ya Ndoto Yako itakavyokuwa.
2. Fundi hatoikosea Nyumba ikiwa anajua kuitafsiri Ramani na Kama hajui Iwapo ukiwa umenunua Kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.