chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Giza ndio asili ndio chanzo....kwenye uumbaji

    Nayatafakari sana maneno yale kwenye Bible takatifu kwamba hapo mwanzo dunia ilikuwa kiza totoro na uso wake ukifunikwa na maji. Kutoka hapo ndio uumbaji ukaanza, kwa kutenga kiza na nuru...kwahiyo ikawa usiku(kiza)siku ya Kwanza. Ukiacha kiza kinachofuata ni maji lakini leo hatujadili maji...
  2. Rutunga M

    JamiiForums Tanzania MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Naomba kujua mtoto mchanga inabidi aanze kuongea akiwa na umri gani,kwa kuzingia wale wanaowahji na wanaochelewa.Na je kuna namna unavyoweza kutambua uwezekano wa mtoto kuwa bubu na inaweza kuzulika kwa umri wake mdogo. nitashukuu --- --- --- ===...
Back
Top Bottom