Gaza Marine; Chanzo cha Gaza kuwa concentration camps

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
362
Reaction score
909
GAZA MARINE; CHANZO CHA GAZA KUWA CONCENTRATION CAMPS.

Uvamizi wa Israel "Gaza" ni mpango wa siku nyingi, sio jambo la Bahati mbaya, Kinachofanyika Gaza kina Sura mbili.... Moja mkakati wa kuimiliki "Gesi asilia inayofikia 35 BCM (35 Billion Cubic Meters), Pili kuvunja harakati ya "Pan-Islamism Movement" ambayo inaweza kuwa hatari zaidi kwa maslahi ya uwepo wa Israel.

Mwaka 1999 kampuni ya BG (British Gas) walivumbua uwepo wa gas nyingi sana pwani ya Gaza kuliko sehemu yoyote ile mashariki ya kati, Nimeeleza vyema kwenye andiko langu juu ya hili la "Gesi ya Gaza na mradi wa Gaza marine" kwenye andiko langu la "ISRAEL VS PALESTINE; NI IMANI DHIDI YA PROPAGANDA, UBABE DHIDI YA UDHARIMU NA MKAKATI MAALUMU KUCHOCHEA MGOGORO MAKUSUDI KWA MASLAHI MAALUMU". Nakushauri Soma huu Uzi 🧵... Ili kuelewa huu mgogoro kwa kina, Hakikisha unalitafuta hilo andiko..

Ni Kwamba...

Israeli yupo nyuma ya Marekani na Uingereza kukamilisha mpango wao wa izo ajenda kuu mbili nilizo zitaja hapo juu, Hili la Gaza sio bahati mbaya ndio maana unaona dunia nzima ipo kimya kwasababu wakubwa wana ajenda yao pale.

Trump alipendekeza kuwaondoa wana Gaza katika Gaza sio kwamba aliropoka bali ni "mpango ambao ulisha ratibiwa huko nyuma", Hamas na Fatah (mshirika tanzu wa PLO) awapatani kwasababu PLO ilishabadilisha muelekeo juu ya Palestine toka mwaka 1992, Msimamo wa Fatah na nchi zote za kiarabu mashariki ya kati ni "Palestine bila Gaza na Gaza bila Hamas".

Marekani, Uingereza na Israel wao msimamo wao Gaza ni utajiri wa gesi, Hamas ilianzishwa na Israel kufifisha PLO mwaka 1985 baada ya vita ya Israel-Lebanon 1983 kumalizika na PLO kukimbilia Tunisia, baadae miaka 1990 Israel kupitia Marekani wakawawin PLO na kuwa wamoja, sasa Hamas ikageuka kuwa jini lisilozibitiwa na Israel na kugeuka kuwa tishio maana walirejea kuwa mahasimu wa Israel na kudai haki ya wapalestina, ntalieleza hili siku za mbeleni.

Ikumbukwe kuwa Hamas wanataka mustakabali wa Gesi ya Gaza waachiwe wapalestina kama ilivyo elezwa na Ismail Muzhail mtu aliye salitiwa na Yaser Arafat kwenye mazungumzo ya "Gaza Marine" mwaka 2000.

Mpango wa kuondolewa wapalestina pale utatimia, umeratibiwa karibu miaka 25, mashambulizi ya Israel sio ya bahati mbaya, Japo ajenda yao ya Pan-Islamism Movement ni muhimu pia kwa Israel kulinda Geopolitical ya Marekani mashariki ya kati.

Ndimi Comred Mbwana Allyamtu-CMCA.
FB_IMG_1751658518148.jpg
 
Maneno meeengi, uongo mtupu. Kusema eti Israel alipanga hili la kuvamia pale muda mrefu ni UONGO ule ule wa siku zote ambao ndugu zangu Waislamu hua nao. Yaani dini bila uongo haiendi, taqqaiya tupu hapa. Chanzo cha vita hi ya maangamizi ni ule uvamizi uliofanywa na Hamas October 07, 2023 kwa msaada ba maelekezo kutoka Iran, period. Kama Hamas wasingeua UA na kuteka mateka siku ile, hi vita isingekuwepo Tujadiri source, tuachane na hisia na chuki. Sijui Uislam au nini, unafiki tu. Nani kasema Israel ina chuki na Uislam? Gaza kuna Wakristo wengi tu, hata aliyekua rais wa PLO bwana Yasser Arafat alioa mwanamke wa Kikristo. Idadi ya Wayahudi ambao ni Waislamu ni kubwa kuliko Wayahudi Wakristo. Ni Waislamu ndio wana chuki na Wayahudi na sio Wayahudi kwa Waislamu.
 
Sababu ya dini kweli ina ukakasi ukizingatia Israel pia ina waislam ndani yake. Dini ni kichaka muhimu.
 
Maneno meeengi, uongo mtupu. Kusema eti Israel alipanga hili la kuvamia pale muda mrefu ni UONGO ule ule wa siku zote ambao ndugu zangu Waislamu hua nao. Yaani dini bila uongo haiendi, taqqaiya tupu hapa. Chanzo cha vita hi ya maangamizi ni ule uvamizi uliofanywa na Hamas October 07, 2023 kwa msaada ba maelekezo kutoka Iran, period. Kama Hamas wasingeua UA na kuteka mateka siku ile, hi vita isingekuwepo Tujadiri source, tuachane na hisia na chuki. Sijui Uislam au nini, unafiki tu. Nani kasema Israel ina chuki na Uislam? Gaza kuna Wakristo wengi tu, hata aliyekua rais wa PLO bwana Yasser Arafat alioa mwanamke wa Kikristo. Idadi ya Wayahudi ambao ni Waislamu ni kubwa kuliko Wayahudi Wakristo. Ni Waislamu ndio wana chuki na Wayahudi na sio Wayahudi kwa Waislamu.
Mwenzio anaandika kwa facts wewe mjinga unapinga kwa mahaba yako ya kuchochea mauwaji ya hao mabwana zenu israel.

Huwa nashangaa kuona muafrika kushabikia mauwaji ya israel kwa wapalestina bila sababu za msingi, na ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa wanaosapoti mauwaji ya wapalestina huwa wafuasi wa kidini ya ukristo ambao wameshaharibiwa akili na wachungaji makanisani kwa kuambiwa lile ni taifa teule hivyo hata likifanya ushenzi wa namna gani mnabidi kuwabariki.

Vile vile kuna waislamu wapumbavu wanaofurahia wapalestina kufanya mauwaji dhidi ya wasio waislamu, wakihisi huu ni mgogoro wa kidini kumbe sivyo

Ukweli uko hivi, iyo ardhi kabla ya uvamizi na ukoloni, ilishakuwa mali ya black people, then baadae waarabu na wazungu ambao waliitawala kwa miaka na baada ya , kundi la wahuni wa kizungu na kiarabu kukubaliana ardhi iyo ipokee wakimbizi kutoka ulaya ambao walikuwa wakifanyiwa ukatili wa kupangwa ili kuteka attention ya dunia na kubariki matendo ya kundi hili.

Wakimbizi hao wa kupangwa ilitakiwa waletwe East Afrika lakini mazingira hayakuruhusu, kuanzia culture mpaka historical comparison baina ya hao wakimbizi wa kizungu kuja kuishi ktk ardhi isiyowasapoti kutoka kwa watu weusi.

Na ndipo lilipokuja suala la kuwahamisha wakimbizi hao kwenda hapo middle east, baada ya wahuni wa ulaya+marekani kuona opportunites mahala hapo ambazo zinawasapoti kiuchumi mpaka kisiasa kuwekeza nguvu za kijeshi mahala hapo.

likafuata zoezi la kuwahamishia wakimbizi hao kwenda palestina, ardhi ambayo kabla haikuwa mali ya hao wakimbizi bali ilikuwa mali ya waarabu ambao nao walikuwa koloni la mzungu, na hili kulibariki suala hilo la uhamishaji wa hao wavamizi ktk ardhi isiyowahusu walitumia imani na dini kuyabariki matendo yao ya kishenzi, kuwa hapo ni ardhi ya ahadi waliyopewa na ibrahimu, ibrahimu ambaye kihistoria hajawai kuwepo wala hana uhusiano wowote na hawa wanaojiita wayahudi.

Na mpaka leo zoezi hili linaonekana gumu kutatulika maana halina misingi ya uhalali wa umiliki wardhi hiyo zaidi ya maslahi ya kiuchumi na kisiasa.

Israeli sio nchi ni jumuia ya wazungu, waarabu mpaka wahindi ambao malengo yao ni kumiliki na kucontrol pande zote za dunia, huku wakiweka Center yao hapo palestina kama zuga, lkn ukweli ni kuwa, mipango yao ni kuangusha nguvu zote zinazopingana na wao, kuanzia nchi zisizokubali utawala wao, na mila zao,

Mfano kwa sasa wapinzani wao wote wameshaanguka Kabaki mmoja ambaye nina uhakika lazima watamuangusha ,iwe kwa kuwatoa kafara raia wao ama kwa njia yoyote kama kawaida yao wakitaka jambo lazima litimie.

Suala la israel hii ya kisiasa halijaanza leo wala jana, na bahati mbaya hawa jamaa walishayapanga haya kwa zaidi ya maelfu ya miaka, hivyo haya tuyaonayo leo ni muendelezo wa mipango yao, ambayo mingi hufeli.

Uislamu+ukristo ni matawi ya hao hao wazungu ili kuitawala dunia, nyie mnapigana kisa dini wao wanakwapua mali zenu.

Someni vitabu vya kihistoria visivyoegemea upande wowote muujue ukweli uko vipi na sio kupelekwapelekwa na stories za kupangwa.
 
Bro, sehemu gani kwenye hayo maandishi nimeshabikia mauaji? Narudia, chanzo cha vita hi ni mashambulizi ya Hamas kwa Israel, hakuna sijui facts au nini? Vita vilianzaje? Hebu tujibu hilo. Tunabishania nini? Tuweke mahaba na chuki pembeni, twende kwa facts. Before October 07, 2023 wale watu walikua wanaishi kwa amani, hata wizara ya kilimo ya kwetu hapa ilipeleka Watanzania wenzetu kule kwa ajili ya mafunzo cause kulikua na amani, hakukua hata na harufu ya vita; Watanzania wenzetu wale, mmoja confirmed, he was killed, mwingine hatuna uhakika to-date.
Fact nyingine (unataka fact) Wayahudi hawana sehemu yeyote kwenye maandiko yao yanayo waongoza kuwaua watu wa dini nyingine, this is why wanaweza kuishi na watu wa dini yeyote, Waislamu wanayo maandiko yanayo elekeza kuua Myahudi popote pale, hili nalo tunabishana mkuu? Elimu na mafundisho ya Uislam popote pale ni chuki against other religions especially Christians and Jews.
 
Back
Top Bottom