chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa mitaa kutolipwa mishahara ndio chanzo cha Rushwa katika kutoa Huduma, na pia kukosa ofisi ya kufanyia kazi

    Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini. Hali hii ni tofauti kutokana na kuwa kuna baadhi ya halmashauri wenyeviti wa mitaa wanalipwa na Halmashauri...
  2. Fedora

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha kutoka vidonda vidogo kwenye ulimu

    Habari, Mara kwa mara nimekuwa nikitokwa na kipele kimoja au viwili kwenye ulimi ambavyo vinadumu kwa siku 3-7 kisha kutoweka vyenyewe, vinanipa maumivu sana kiasi hata cha kusindwa kuongea vizuri au kula Sijawahi kutumia dawa yoyote na hutokea wakati wowote, msaada kwa anayejua tatizo hili.
  3. Shark

    JamiiForums Tanzania Masada, Tatizo la Yellow Light of Death (YLOD) kwenye PS3, Chanzo na Jinsi ya Kuliondoa

    Wakuu Kwema? Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death". Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan hivi pale Machinga Complex wakachukua 50k kuliondoa. Sasa imetokea tena. Kuna mwenye kujua hii...
  4. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya Israel na Palestina na ni nani mmiliki halali wa eneo hilo

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  5. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa matukio ya wizi mtaani tofauti na awamu iliyopita. Je, chanzo ni nini?

    Kwa maeneo niliyopo, kusemaukweli awamu iliyopita kulikuwa na utulivu kwa kiasi kikubwa. Vijana wengi walihofia kuwekwa ndani na hivyo kujiepusha na matukio ya uhalifu. Wengi wao walijishughulisha kwa bidii kwa kufanya shughuli mbalimbali kama vile biashara ndogondogo (machinga) ufundi na kazi...
  6. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Hitilafu ya umeme chanzo cha moto Soko la Karume

    Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya Ilala, Ng'wilabuzu Ludigija amesema chanzo cha moto katika Soko la Karume inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na mtu aliyekuwa akiwaunganishia wafanyabiashara umeme bila idhini ya mamlaka ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Moto huo...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

    Yesu alikuwa na Pesa nyingi sana kuliko watu wa dini wanavyotueleza. Ushahidi. 1: Alikuwa na Muhasibu. MTU binafsi bila kampuni wala biashara kufikia hatua ya kushindwa kutunza kipato chako hadi Uwe na Muhasibu basi utakuwa na Pesa nyingi sana. 2: Aliwazuia mitume wasifanye biashara zao...
  8. n00b

    JamiiForums Tanzania Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana. Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu. === Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Kutunza uke na...
  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

    Mungu wa Israel, Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai. Ukweli mchungu ni huu,pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Askari waonywa kutotumia lugha za kifedhuli, waambiwa rushwa ni chanzo cha ajali

    Kamishna wa Polisi Zanzibar, CP Awadhi Juma Haji ametoa maelekezo kwa Jeshi la Polisi kufanya oparesheni za kukamata madereva wote ambao wataendesha abiria bila kuvaa kofia ngumu katika pikipiki, kuendesha kwa mwendo kasi, kuendesha gari bila leseni na makosa ya kuegesha magari hovyo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Abnormal menstrual bleeding: Je nini chanzo na ni kwa namna gani tunaweza kutibu tatizo la kutokwa damu ukeni (kipindi cha hedhi) bila kukata?

    Habari za wakati huu wana JF! Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi? Mwenye kufahamu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza kuzalisha chanjo zake za COVID-19

    Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine. Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Uchezaji wa kamari chanzo kikubwa cha shinikizo na mashambulizi ya moyo

    Ahlan wa sahlan Nikiwa kama Ex-mkamaria kuanzia sasa, ninelifanyia uchunguzi suala hili na kugundua kuwa Kamari ni jambo linaloweza kumpelekea mchezaji kupata shambulizi la moyo la ghafla. Kwa mchezaji kamari yoyote naomba ajiangalie hali yake ya mapigo ya moyo pindi anapobeti mpaka pale...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rwanda yapata chanzo kipya cha umeme kutokana na gesi ya sumu

    Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya cha umeme kitaweza kuchangia hadi 30% ya matumizi ya umeme wa nchi nzima
  15. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Sera ya ufugaji holela kwa wamasai na wasukuma ndio chanzo cha mapigano ya kikabila

    Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21. Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders. Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa. Sera hii haiwezi...
  16. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Michango makanisani chanzo umaskini

    Hivi ushawahi kujiuliza kwanini siku hizi michango makanisani imekuwa mingi kuliko miaka ya zamani ?? Siku hizi kumekuwa na michango mingi sana makanisani kiasi kwamba hupelekea baadhi ya waumini kuacha kuhudhuria makanisani kwaajiri ya ibada Halafu Kuna tabia moja imezuka kwamba inapotokea...
  17. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha Nyerere kugombana na Tuntemeke Sanga?

    Kwanini wawili hawa walipashana kiasi cha Tuntemeke kuwekwa kizuizini kijijini kwao? Nini hasa ilikuwa sababu ya ugomvi wao?
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Trafic wageuza JKT Mlalakuwa chanzo binafsi cha mapato kutoka kwa daladala

    Habari wakuu, Wakati sakata la rushwa kwa matrafik likiendelea nimewakumbuka Trafic 'wanaotega' kabla kidogo ya daraja la JKT Mlalakuwa (Wana kibanda chao pia pembeni). Ndugu zetu hawa asubuhi huzisimamisha daladala zote zinazoelekea Kawe kupitia Old Bagamoyo na kawaida huchukua 2,000 kwa kila...
  20. Trick mirik

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

    Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu, unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua"...
Back
Top Bottom