chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stanboy

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

    Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ghafla chuki na dhihaka dhidi ya waalimu zimeongezeka mitandaoni na mitaani, chanzo ni nini?

    Huenda labda mambo ni mengi au yako kasi kupita maelezo mpaka yamenipita au nimeshindwa kuyaelewa. Hili la kuibuka ghafla mitandaoni na mitaani, chuki na dhihaka dhidi ya waalimu bado sijalielewa kabisa. Nimehisi huenda labda limeletwa na mojawapo kati ya haya mambo mawili lakini bado sioni...
  3. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kasi ndogo ukuaji wa uchumi wa nchi, chanzo Utawala mbovu: Je, kuna suluhisho?

    Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
  4. MulegiJr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uduni wa taarifa(Data), ni chanzo cha huduma mbovu za afya

    Ubora Wa Taarifa (Data Quality), Ni mnyororo wa Taarifa sahihi za mtu, kitu au huduma Fulani katokana na mahitaji au Mazingira ya Umuhimu wa taarifa hiyo. Huduma Bora ya Afya, Ni Mnyororo sahihi wa upatikanaji wa taarifa za kiafya kutoka kwa Watoa huduma, Kituo Cha Afya au kitengo maalumu kwa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mila, desturi chanzo cha mimba na ndoa za utotoni

    Halmashari ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi inadaiwa kukithiri kwa tatizo la mimba na ndoa za utotoni huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni uwepo wa mila na desturi za baadhi ya makabila wanaoishi katika eneo hilo. Tatizo hilo limebainika wakati shirika lisilo la kiserikali la Marie Stopes...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

    Jeshi la polisi mkoani Kigoma linamshikilia mtuhumiwa wa mauaji ya watu sita (baadaye alifariki Mtoto hivyo idadi ya vifo kufika7) bwana Peter Morris (33) wakati upepelezi ukiendelea. Taarifa za awali zinadai Peter Morris alikuwa akimtuhumu January Mussa (marehemu) kutembea na mke wake...
  7. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu chanzo cha ufaulu bora

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye orodha hii. Wote sisi ni mashahidi wa namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoipa sekta ya elimu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wingi wa nyuzi(Threads) za malalamiko kutoka CCM chanzo ni nini?

    Ndugu zangu wakati tukiianza jumatatu njema kabisa kwa kuchapa kazi mahala popote tulipo napnenda kudokeza hili swala. Kumezuka mlipuko, naweza kusema mlipuko wa habari na vichwa vya habari za hapa JFs zenye mwelekeo wa malalamiko kila kukicha hivi karibuni. Wanaccm hasa wale wa ccm mpya (CCM...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mgogoro wa Loliondo

    Kwa zaidi ya miaka 30 sasa eneo la pori tengefu la Loliondo limekuwa na mgogoro ambao awali uliwahusisha wananchi na kampuni ya uwindaji ya Ortello Business Cooperation (OBC) na mwingine kati ya kampuni ya utalii ya Thomson Safaris na wananchi wa eneo la Sukenya. Kutokana na migogoro hiyo...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Polisi yachunguza chanzo cha mauaji Padre Mbeya

    Polisi yachunguza chanzo cha mauaji Padre Mbeya Padre huyo aliaga kanisani kwake kwenda kufanya mazoezi Juni 10, ambapo Juni 11 mwili wake ulikutwa kwenye mto Meta jijini Mbeya akiwa amechinjwa na viungo vyake kutengenishwa na kuwekwa kwenye blanketi. By Saddam Sadick IN SUMMARY Padre huyo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ngorongoro Kati ya Serikali na Wamasai. Nini chanzo na hatma ya mzozo

    Habari ndugu Watanzania, kuna sintofahamu kubwa inayoendelea huko Ngorongoro katika jamii ya Wamasai kuwa na mgogoro na Serikali. Tuelimishane hapa kwenye huu Uzi kwa wale wenye uelewa wa huu mzozo na tuondoe sintofahamu iliyopo kwa Watanzania kuhusiana na huu mgogoro. JE, nini chanzo Cha...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Uhaba, utaratibu mbovu na umbali wa miundombinu ya kumwaga taka chanzo cha uchafuzi wa mazingira jijini Dar es Salaam

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na kampeni mbalimbali za kuhimiza ufanyaji usafi katika Jiji la Dar es Salaam. Viongozi hasa Wakuu wa Mikoa akiwamo Makalla na Mstaafu Makonda wamejaribu kuanzisha kampeni kwa kuwatumia watu maarufu na kushirikisha Media mbalimbali kuhimiza watu na kuweka siku maalum za...
  13. GwaB

    JamiiForums Tanzania Kilalangona chanzo cha mapato Jimbo la Muhambwe ilichokosa usanifu.

  14. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini pale alipo mtu mweusi hali ya uchumi huwa ni tete? Nini chanzo cha umasikini?

    Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla. Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kodi kubwa kwenye mafuta ndio chanzo kikuu cha bei ya mafuta kuwa juu nchi hii

    Waulizeni watawala wanatoza kodi kiasi gani kwa kill lita moja ya mafuta yanayoingia nchini ndio mtajua nini hasa chanzo cha hizi bei kuwa juu. Sasa kwakuwa kodi ziko juu, issue ya vita inafanya bei ambazo teyari ziko juu, ziwe juu zaid na hiki ndio kinatutesa leo hii. Suluhisho ni kwa...
  16. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Bangi Dawa na mirungi iruhusiwe kama chanzo cha Mapato

    Kutokana na Ugumu wa Maisha ni muda sasa serikali iangalie namna mbadala ya kuwasaidia wananchi wake kujikwamu kimaisha! Soko la bangi dawa lonakadiriwa kufikia USD Billion 344 kwa mwaka ( Zaidi ya Mara Tano ya uchumi mzima wa Tanzania )...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa mitaa kutolipwa mishahara ndio chanzo cha Rushwa katika kutoa Huduma, na pia kukosa ofisi ya kufanyia kazi

    Wenyeviti wa serikali za mitaa, wamekuwa wakiweka mazingira ya Rushwa katika utendaji wao kwa madai kuwa wanafanya kazi ya bure na hakuna malipo yoyote wanayopata kutoka serikalini. Hali hii ni tofauti kutokana na kuwa kuna baadhi ya halmashauri wenyeviti wa mitaa wanalipwa na Halmashauri...
  18. Fedora

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha kutoka vidonda vidogo kwenye ulimu

    Habari, Mara kwa mara nimekuwa nikitokwa na kipele kimoja au viwili kwenye ulimi ambavyo vinadumu kwa siku 3-7 kisha kutoweka vyenyewe, vinanipa maumivu sana kiasi hata cha kusindwa kuongea vizuri au kula Sijawahi kutumia dawa yoyote na hutokea wakati wowote, msaada kwa anayejua tatizo hili.
  19. Shark

    JamiiForums Tanzania Masada, Tatizo la Yellow Light of Death (YLOD) kwenye PS3, Chanzo na Jinsi ya Kuliondoa

    Wakuu Kwema? Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death". Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan hivi pale Machinga Complex wakachukua 50k kuliondoa. Sasa imetokea tena. Kuna mwenye kujua hii...
  20. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya Israel na Palestina na ni nani mmiliki halali wa eneo hilo

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
Back
Top Bottom