Madhara ya joto kisaikolojia! Ni moja ya cha chanzo cha migogoro na ukatili usiotarajiwa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Joto ni moja ya kichocheo kikubwa sana kinachoweza kuharibu mfumo wa kufikiri.
Wataalam wa saikolojia wanathibitisha kupokea migogoro mingi sana ya ndoa kipindi cha joto Kali la hali ya hewa!

Ukiachilia mbali wanasaikolojia!
Taarifa za kipolisi zinaeleza matukio mengi ya kikatili huongezeka hasa katika kipindi cha joto!

Dawa ya kupoza maumivu ya joto ni angalau mfukoni uwe na pesa! Lakini Inje ya hapo, Joto linapompiga mtu asiye na pesa mfukoni huwa ni kama petrol iliyokaribu na moto! Kulipuka ni mda wowote!

Tuwe makini sana na joto
 
Uliandika pumba. Ndio maana hakuna wachangiaji
 
Back
Top Bottom