chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Kuna chanzo kizuri cha mapato, kwanini Serikali imelala? Manispaa na Majiji mifumo ya majitaka inawahusu hii

    Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana. Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
  2. salim710

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ndoa ni chanzo cha umaskini Afrika

    NDOA NI CHANZO CHA UMASKINI AFRICA Wa hali gani wapenzi wasomaji wa jukwaa hili la Hadithi za mabadiliko. Bila shaka ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya. Karibuni katika makala hii ambayo inaangazia ni kwa kiasi gani ndoa huchangia umaskini Afrika. Najua wengi mmeshaangaa lakini baada ya...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Walinda amani wasiwe chanzo cha wavunja amani

    Tanzania ni nchi ya Amani na Utulivu na hii ni tunu tuliorithi tangu vizazi na vizazi na sisi hatuna budi tuwalithishe vizazi vijavyo. Amani ndio Chanzo na mafanikio ya kila kitu katika maisha ya kila siku kwa mwanadamu na anavyovimiliki mwanadamu huyo kuthibitisha hilo viongozi mbalimbali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pombe imekuwa chanzo kikubwa cha kupunguza uwezo wa kupafomu kitandani

    Pombe ukinywa kwa wingi huwa inafifisha kusambaa kwa kwa damu mwilini matokeo yake huwa inakuwa ngumu kwa dushe kusiamama vizuri. Watu wengi hawatambui hili matokeo yake hudhania kuwa wamerogwa na kujikuta wakihangaika hovyo huku wenzi wao wakitafuta njia mbadala. Pombe sio nzuri kwa afya...
  5. Miki123

    JamiiForums Tanzania Idara za ujasusi Marekani zatofautiana kuhusu chanzo cha kirusi cha korona

    Idara za ujasusi USA zimeshindwa kuja na hitimisho kuhusiana na asili ya kirusi kinachosababisha ugonjwa WA covid(uviko). Baada ya kufanya ushushu, wachunguzi wameafikiana kuwa Corona sio BIOLOGICAL WEAPON Kwa ajili ya kuangamiza watu. Kuna nadharia mbili ambazo zina mgongano. 1. MATUKIO YA...
  6. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Maslahi, mishahara duni kwa Polisi chanzo cha rushwa na dhuluma

    Wasalaam. Nimefanya utafiti mdogo kujua kwanini police wanakula rushwa na kudhulumu raia nikagundua ni mishahara duni wanayolipwa na serikali sikivu ya ccm. Police walishaua wafanyabiasha wa madini kutoka mahenge na kuwadhulumu pesa na madini kisha kutangaza wameua majambazi. Dhuluma na uonevu...
  7. Matope

    JamiiForums Tanzania Bolt, Uber na Taxfly hawa madereva ndo chanzo cha foleni Dar

    Wakubwa tafiti ndogo hawa majamaa, wanaendesha magari kama mabovu vile pole poleeee hata kama barabara nyeupe mnarundika foleni ndefuuuu, kumbe mbele kuna IST sijui raumu upuuzi mtupu. Rekebisheni driving zenu bana mnaboa sana
  8. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020. Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa waume wengi wa Dar es Salaam

    Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume, wanadai kuwa tatizo hili linawapata ni kwasababu wanapenda sana Chipsi. hii sio kweri kabisa...
  10. Frank Lyova

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu nini chanzo cha majipu na tiba zake sehemu za siri

    Habari zenu wana JF, Kuna magonjwa mengine kama yanadharirisha hivi jinsi ya kuyatamka kwa watu.. lakin ndo hvyo waswahli walishatwambia mficha malazi kifo umuumbua.. Mimi ndugu zangu nina tatizo la jipu limenitokea kwenye makalio pemben kidogo mwa njia ya haja kubwa.. Ni kama uvimbe ulio...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri maabara zote zinazoshukiwa kuwa chanzo cha COVID-19 zichunguzwe

    Katika wiki za hivi karibuni suala la kutafuta asili ya virusi vya Corona limekuwa likizungumzwa sana katika nchi mbalimbali duniani. Kwa bahati mbaya baadhi ya wanaolizungumzia suala hilo, kuna wale wanaoelekeza hoja zao kwenye mambo ya siasa, na wengine, hasa wanasayansi wameweka mkazo kwenye...
  12. Area 56

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo cha vurugu za mwaka 2001 kule Zanzibar?

    Wakuu wa jukwaa hili, sisi vijana wenu tunaomba mtujuze ni nini hasa kilijiri mpaka kukatokea vurugu kubwa hasa kule visiwani mwaka 2001 na kupelekea wengine kupoteza maisha! Natanguliza shukrani...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Koki za kujisafishia chooni huenda zikawa chanzo kimojawapo cha kuongezeka kwa ushoga

    Hizi koki za kisasa za kujisafishia chooni baada ya kujisaidia wengine tumeziona ukubwani. Naamini si za kisasa, mimi naziita za kisasa kwakuwa nimeanza kuziona ukubwani. Nimewaza tu hapa kwa mtoto mdogo anayependa kuchezea maji pindi anapokuwa chooni akijipiga maji kupita kiasi sehemu ya haja...
  14. Iam me empire

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni chanzo cha mafanikio

    Mfalme alipoona umri umeenda aliamua kutafuta mtu wa kumrithisha Ufalme wake. Mfalme alikusanya vijana 10 na akawaambia atawapa mtihani yule atakae faulu ndiyo atakuwa mrithi wake. Mfalme aliwapa vijana hao mbegu za mahindi na akawaambia kila mmoja aende nazo nyumbani akazioteshe, akawapa muda...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

    Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso. Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Idadi ya Wabunge ipungue ili kupunguza gharama za mishahara na kuwahudumia

    Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge. Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni. Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu. Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Haonga aombe radhi kwa upotoshaji kodi za Mbolea; Rais amesema Corona ndo chanzo cha kupanda bei ya Mbolea

    Leo wakati wa hotuba yake baada ya kuapisha mabalozi Mh Rais alijaribu kuhusiana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini , jambo ambalo linaonekana wazi kuwa litaleta athari sana katika suala letu la chakula hapo mwakani. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kupanda kwa bei ya mbolea nchini kumetokana...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini kinaitwa Chama cha Mapinduzi? Ni mapinduzi gani kimeyafanya?

    Hili swali najua wengi tumekuwa tukijiuliza bila kupata majibu sahihi. Chama Cha Mapinduzi kiliundwa tarehe 05 February 1977 kutokana na kuunganishwa kwa vyama vikuu vya Tanu kwa Tanganyika na ASP kwa Zanzibar. Mpaka hapo hatujaona mapinduzi yoyote kufanyika. Kama kuna anayeweza kuelewesha...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ndio chanzo cha uozo katika Serikali hii

    Habari! Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya spika Ndugai ndilo lililopitisha sheria kandamizi nyingi zaidi kuliko kipindi cha maspika wengine wote. Serikali (Rais) kazi yake ni kutawala, na katika kutawala kuna mahali panahitajika mkono wa chuma(maumivu) na kuna mahali hapahitaji...
  20. P

    JamiiForums Tanzania WAANDISHI WA HABARI;Hojianeni na Spika Ndugai.Malalamiko ya wananchi chanzo bungeni.

    M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi. Vipo vyanzo vingi vya tuhuma zenye ukakasi kupitia kiti chake, Mfano kuwatisha wabunge kupitisha bajeti. Kuapa...
Back
Top Bottom