Sera ya ufugaji holela kwa wamasai na wasukuma ndio chanzo cha mapigano ya kikabila

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21.
Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders.

Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa.
Sera hii haiwezi kuwa husu wanaoenda kuharibu miundombinu, na hata social impact kwa kule wanakoenda.

Imani kuwa wamasai na wasukuma wafugaji, uoto wowote kwenye uso wa dunia ni mali yao na mifugo yao, ina madhara makubwa sana.

Naandika hii mada ili hata wanasiasa walipatie jibu hili tatizo la mapigano na mauaji ya mara kwa mara kati ya wafugaji na wakulima, sehemu mbali mbali nchini.

Wakoloni walitenganisha makundi haya physically, na kuweka mipaka kuwa wafugaji wenye mifugo mingi hawawezi kuchunga popote tu ili kulinda ardhi na uoto wake pamoja na kuwatenganisha na wakulima.

Sera za sasa hivi ziangaliwe kwa makini ili tupate ufugaji bora katika mipaka au mikoa husika.
Ama sivyo kuliacha suala la ufugaji na ukulima kuwa ni la kusimamiwa na polisi, kitu ambacho siyo endelevu.
 
Hayo mang'ombe yao wala hayana faida kwa nchi, yaani Tanzania nchi ya 2 kwa kuwa na mifugo mingi Afrika ila bei ya nyama ni ghali, wananchi wengi wanakula sikukuu
 
Hayo mang'ombe yao wala hayana faida kwa nchi, yaani Tanzania nchi ya 2 kwa kuwa na mifugo mingi Afrika ila bei ya nyama ni ghali, wananchi wengi wanakula sikukuu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mkuu eneo hili watu wengi hawalipitii sana kwa vile ni swala la mashambani huko.
Lakini bado lina umuhimu mkubwa kwa Taifa, na halijapewa kupaumbele.
Sekta ya ufugaji ni kama iko dormant, ikimtegemea tu mmasai na msukuma anayeruka ruka mkoa hadi mkoa.

Nanukuu ripoti ya wizara ya kilimo yenyewe:

The Livestock Sector Livestock farming is one of the major agricultural activities in the country that is contributing towards achieving development goals of the National Growth and Reduction of Poverty (NSGRP). The livestock industry contribution to the Agricultural Gross Domestic product is about 13%, and contributed 3.8 % of the National Gross Domestic product in 2010 compared to 4.0% in 2009. This is mainly due to low growth rates, high mortality rates, low reproductive rates and poor quality of the final products from the industry. Modest improvement of these production coefficients coupled with adding value through processing could significantly increase output and income from the livestock industry. The livestock sector grew by 3.4% in 2010, compared to 2.3% in 2009. This level of growth is much lower than the 9.0% growth envisaged under NSGRP by 2010. One of the key objectives of the national livestock policy is to “contribute towards national food security through increased production, processing and marketing of livestock products to meet national nutritional requirements”.

Ref: MINISTRY OF LIVESTOCK AND FISHERIES DEVELOPMENT report, 2010
 
Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21.
Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders.

Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa.
Sera hii haiwezi kuwa husu wanaoenda kuharibu miundombinu, na hata social impact kwa kule wanakoenda.

Imani kuwa wamasai na wasukuma wafugaji, uoto wowote kwenye uso wa dunia ni mali yao na mifugo yao, ina madhara makubwa sana.

Naandika hii mada ili hata wanasiasa walipatie jibu hili tatizo la mapigano na mauaji ya mara kwa mara kati ya wafugaji na wakulima, sehemu mbali mbali nchini.

Wakoloni walitenganisha makundi haya physically, na kuweka mipaka kuwa wafugaji wenye mifugo mingi hawawezi kuchunga popote tu ili kulinda ardhi na uoto wake pamoja na kuwatenganisha na wakulima.

Sera za sasa hivi ziangaliwe kwa makini ili tupate ufugaji bora katika mipaka au mikoa husika.
Ama sivyo kuliacha suala la ufugaji na ukulima kuwa ni la kusimamiwa na polisi, kitu ambacho siyo endelevu.
wafugaji walishalaaniwa toka Cain amue mdogo wake Abel na wakapewa uwezo wa kutanga tanga huku wakivunja sheria kila wanakokwenda
 
Serikali inaogopa ikiwashughulikia wafugaji bei ya nyama itakuwa haishikiki.
kwa hiyo inapiga danadana ilimradi siku ziende

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom