changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya vyeti vya basic driving VETA-Mpanda

    Kuna Hali ambayo hatuelewi. Tumesoma veta-mpanda basic short course intake ya 14/8/2025 hadi 14/09/2025 lakin kutokana na changamoto tulimaliza karibu mwezi wa 10. Lakin Hadi Leo hatujapata vyeti kila tukiwatafuta wanasema tusubirie kidogo lakini hakuna dalili yoyote Ile. Pia tulilipia...
  2. jey n

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata AVN ,nataka kukushtaki chuo

    Habari za muda jukwaa la sheriff,nimemaliza chuo tangu 2020 lakini mpaka leo sina AVN ili niweze kujiunga na masomo ya chuo kikuuu. Sasa basi baada ya kuona napigwa danadana kwa kutopeleka matokeao yangu Nacte,sasa nafikiria kwenda mahakamani. Naombea ushauri wanasheria kwenye hili.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Barabara ya Chelesi – Kisiwani (Kibedange), Makambako

    Wakuu, naomba nitoe kilio cha wananchi kuhusu hali ya barabara ya kuanzia Chelesi hadi Kisiwani (Kibedange). Barabara hii imeharibika sana kwa sasa kiasi kwamba magari na bajaji yanapita kwa shida kubwa. Hali hii inasababisha wananchi kushindwa kuwa huru katika shughuli zao za kila siku...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Uhamiaji Tangazo La 29 Desemba 2025

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA UHAMIAJI TANGAZO LA AJIRA Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tunawashauri wateja wetu kununua umeme kupitia vituo vya mawakala wetu wa LUKU nchi nzima

    TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453. DODOMA, TANZANIA, SIMU 180 TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA MANUNUZI YA UMEME Jumamosi 27 Disemba, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea changamoto ya manunuzi ya umeme (LUKU) hali inayosababisha wateja kushindwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Ujenzi iliyopo Madale Midizini ina changamoto ya kutotoa mikataba kwa baadhi ya wafanyakazi wake

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam. Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba, nakosa haki zangu muhimu, bado najulikana ni kibarua tu wa hii kampuni. Tabia hiyo imekuwa ikitokea...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyemteua Mwigulu alichunguza changamoto,Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa

    Huwa simuelewi mwigulu. Nikimuelewa huwa sijui kama anajielewa au kuelewa asemacho. Sijui kama wenzangu huwa mnamuelewa. Anaongea kana kwamba mdomo na ubongo havina mawasiliano. Wakati mwingine inakuwa vigumu kumtofautisha na hamnazoo aongeapo. Anaongea sana kuliko bosi wake. Anaongea kama...
  8. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwel ndoa ina changamoto lakini usikubali mtoto wako apewe malezi na baba mwingine! Unless hazipo

    KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda mtoto wako kwel na unataka apitie katika mema ya maisha basi hakikisha uyo mtoto unamlea wewe na mama...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bucha: Faida na changamoto zake

    Naomba kujua nini changamoto ya biashara ya bucha la nyama,samaki na dagaa kwa dar es salaam.faida inayopatikana na kama kuna chochote cha kujifunza
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji

    Hv inawezekanaje miaka 50+ tunategemea maji ya mvua, je tuko serious kweli watu million 60+ serikali yetu haina moango wala haikuwahi kujioanga kuwa na cyanzo vya maji vya uhakika nje ya mvua. Nachojua mimi ardhini kuna mikondo ya maji inayotembea kwa pressure ya hali ya juu mno. (Nmechimba...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Njia mojawapo ya kupunguza foleni na changamoto ya usafiri

    Habari zenu! Kutoka mbagala rangi tatu mpaka mbezi mwisho ni wastani wa kilomita 36.5km, let's say serikali inatoa tenda na kibali cha usafirishaji wa raia kutoka mbagala hadi mbezi mwisho kwa kampuni Moja binafsi kama ilivokuwa kwa barabara za mwendokasi ili kupunguza foleni itokanayo na idadi...
  12. Pakome

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  13. Miguel255

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya maji imenikumbusha mbali. Soma ujifunze

    Sasahivi wanaotamba mjini ni wale wenye nyumba zenye visima. Yaani wakati watu wanahangaika na foleni ya madumu wao wanaoga kutwa mara mbili mpaka tatu, wanafua kila siku na wengine hadi maua wanamwagilizia. Hii hali imenikumbusha kipindi fulani nafanya kazi kwa wahindi upanga dar es salaam...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto za ujenzi wa Interlocking Bricks

    Habari wana jamvi Nimejaribu kufatilia kwa nakala mbalimbali kuhusu faida na hasara za ujenzi wa kutumia interlocking bricks. Sehemu nyingi naona zinaorodheshwa faida zake tu kama Urembo asilia Kupunguza mda wa ujenzi Kupunguza gharama za ujenzi kwani hakuna haja ya plaster wala skimming...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tushauriane vya kudownload kabla ya changamoto za Internet Desemba 9

    Changamoto kama hii ina uwezekano mkubwa sana kutokea na ikawa ya siku nzima hadi wiki kama ilivyokuwa Mo29. Tushauriana vitu vya kudownload na machimbo yake.
  16. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Majukumu ya Msingi ya JWTZ: Tathmini za Shughuli Wanazozifanya Sasa Mitaani

    Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja: 1. Kulinda...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya maombi ajira zimamoto

    Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  18. Pakome

    JamiiForums Tanzania Changamoto zilizoikumba Tanzania zitatuliwe kwa kutumia Busara na Utamaduni wa Watanzania. Njia ya lawama itateketeza Taifa

    Nawapa pole Wananchi wote wa Tanzania, pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia mshtuko, simanzi na sintofahamu iliyotokana na matukio ya Oktoba 29, 2025. Tukio lile lilileta majeraha kwa nyoyo za Watanzania, likaibua hofu, maumivu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa...
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kila nchi Duniani inapigana na Changamoto zake

    Ni ukweli usiopingika, Kila nchi kwa sasa inapigana na shida na Changamoto zake kuanzia za kisiasa na zile za kijamii. Kwa mfano , sasahivi kuanzia Mexico hadi kule Nepal au Indonesia Changamoto za kisiasa na za kijamii viongozi wanahaha kuzikabili. Mbaya zaidi kinachonyima Watawala na...
  20. Kunguru wa Unguja

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Simu na kuwaka yenyewe

    Habari ya kuamka wakuu natumai mmeamka salama kwenda kupambana kutafuta riziki na Harakati za kuikomboa nchi zikiendekea. Inshort ni kwamba Nina Simu yangu Samsung A42 5G ina changamoto ya kuzima na kuwaka yenyewe na hata ikiwaka kuna baadhi ya vitu havifanyi kazi kama Bluetooth...
Back
Top Bottom