KERO
Mimi kama mzazi na mdau wa elimu shule ya sekondari mchungaji mwema iliyoko chini ya dayosisi ya Kagera nakelwa na mambo kama haya
1. Walimu KUNYIMWA MKATABA ambao ni silaha ya kulinda ajira yao Kwa mujibu wa SHERIA.
2. Mishahara ya kusuasua Kwa WAFANYAKAZI na kulipwa kinyume na SHERIA...
Anonymous
Thread
changamoto
mchungaji
mishahara
mwema
sekondari
utawala
walimu
Ndugu zangu, biashara ni mchakato mrefu sana, nina shuhuda za baadhi ya ndugu jamaa na marafiki kuanza biashara kwa pupa kisha kuangukia pua.
Mtu ana m10 yote anaitia kwenye biashara, matarajio yanakuwa makubwa sana kwa kipindi kifupi, kwenye hiyo biashara ambayo bado ni changa sana, ndio...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema changamoto ya bomba kupasuka iliyokuwa katika eneo la Ukonga Banana mkabala na Aviation limeshughulikiwa baada ya kusababisha changamoto ya maji kwa wakati wa maeneo hayo.
Juni 13, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Meja Edward Gowele amefanya ziara ya kushtukiza katika Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Nyamongo Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo ambapo amezungumza na Wagonja na uongozi wa kituo hicho.
Ziara hiyo imefanyika baada ya Mdau kuelezea...
Mimi ni moja ya watumishi wapya (Kada ya Elimu) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tangu January 2026 hatujapewa pesa ya kujikimu mpaka muda huu.
Hata ajira za mwaka jana (2025), February hawajamaliziwa pesa zao, wamepewa kwa mafungu mafungu na bado wanadai.
Soma Pia: Ajira mpya Halmashauri ya...
Anonymous
Thread
changamoto
pesa ya kujikimu
watumishi
watumishi wapya
Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja.
Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu tunapowasiliana na ofisi zao kwa ajili ya kupata msaada au ufafanuzi wa masuala mbalimbali. Mara nyingi...
Anonymous
Thread
baraza
changamoto
elimu
elimu ya
elimu ya ufundi
huduma
huduma kwa wateja
kero
malalamiko
nactevet
nactvet
simu
taasisi
tcu
ufundi
wahusika
wateja
Mimi ni mwanafunzi wa Arusha Technical College (ATC), na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayolikabili chuo chetu kwa sasa, hususan katika suala la upatikanaji wa wakufunzi na rasilimali za kujifunzia.
Kwa muda sasa, chuo kinakabiliwa na upungufu mkubwa wa wakufunzi, hali ambayo imeathiri...
Anonymous
Thread
arusha
changamoto
chuo
chuo cha ufundi arusha
duni
katika
miundombinu
ufundi
upungufu
Wakuu kwemeni na hamjamboni aisee nimekumbana na changamoto ya namna nzuri ya kutumia JF
1. Nashindwa kuwatag watu niwapendao mf.Seran
2. Nashindwa kudouble reply
3. Nashindwa kuquote uzi kama afanyavyo Mshana Jr na miamba wengine
Msaada
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi;
1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa...
Anonymous
Thread
afya
changamoto
chuo
health
katika
kozi
kozi za afya
science
wanafunzi
Wana Jukwaa Habari!
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuanzisha na wengine kujiunga kwenye VICOBA. Na ki-uhalisia imekuwa msaada mkubwa sana kwa watu ambao wamekosa sifa za kukopesheka kutoka kwenye mifumo rasmi ya kukopa, mfano bank.
Nakumbuka miaka mitatu (3)...
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ametoa maelekezo kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA kuhakikisha changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo la Segerea inapatiwa ufumbuzi wa haraka na wa kudumu. Akijibu swali la Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, bungeni Juni 3, 2026, Mhandisi...
Huduma mbovu sana upande wa opd(wagonjwa wa nje) wameunganisha jengo wagonjwa wa dharua na OPD ya wagojwa wa kawaida na kuacha vyumba vikiwa waziwa sisi wagonjwa wa magonjwa ya kawaida tungeendelea kutibiwa kule pa zamani na kuepusha kupata magonjwa ya mlipuko yakitokea, lakini pia hakuna...
Anonymous (e13e)
Thread
changamoto
hawana
hospitali
hospitali ya wilaya
kizungumkuti
mbovu
mpimbwe
stahiki
uongozi
upande
vigezo
wilaya
Kumekuwa na ucheleweshaji wa huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja wapya wilaya ya Mkuranga ambapo mteja anakuwa ashafata taratibu zote kwaajili ya kupata huduma ila mteja anasubirishwa Hadi miezi sita bila kupata huduma.
Na ukijaribu kufatilia wanakuambia Kuna uhaba wa vitendea kazi kama...
Unapo jisaidia haja kubwa hakikisha unafanya haya ili kuepusha bawasiri ya kujitakia.
1. Hakikisha ukifika chooni unachuchumaa na kutulia subiri haja itoke yenyewe.
.yaan epuka kuisukuma haja yako kwa kujikamua kwa njia yeyote ile. Lakufanya una chuchumaa tu tulia ukikaa sana huja yenyewe...
Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi kadhaa ambayo michango yake haionekani.
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba ukienda PSSF unaelekezwa...
Nipo Morogoro.
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ina maeneo ya biashara ambayo wafanyabiashara wadogo hupanga kwa gharama ya shilingi elfu hamsini. Hata hivyo, maeneo hayo yamechukuliwa na baadhi ya wafanyakazi pamoja na watu wenye fedha, ambao huwapa vijana wapangaji kwa shilingi laki tatu...
Mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu imeanzishwa kwa lengo jema, hasa katika kipindi hiki ambacho changamoto ya ajira imekuwa kubwa nchini. Mfumo huu umekuwa msaada muhimu kwa wengi katika kujiajiri, kukuza biashara ndogo ndogo na kuinua uchumi wa wananchi. Hata hivyo, bado kuna...
Ki ukwel watumishi wengi tunapata changamoto kubwa sana hasa wakati wa kutaka kuhama kupitia mfumo wa e-uhamisho kwani unakuta mtu una vigezo vyote vya kuama taasisi moja kwenda nyingine lakini ukiomba kwenye mfumo unakataa na kuandika "your designation has staff deficit in your organisation"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.