changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    KERO Responded Huduma ya Ambulance iboreshwe Hospitali ya Amana, kuna changamoto kubwa

    Nina malalamiko yangu kuhusu Hospitali ya Amana iliyopo Ilala Jijini Dar es Salaam huduma za pale zina huzunisha sana, tulimpeleka ndugu yetu alipata ajali ya Pikipiki, Jumatatu Juni 23, 2025 walikaa nae pale takribani siku nzima akapimwa kipimo cha CT Scan baada ya hapo mida ya Saa 10 Jioni...
  2. Festi mbuya

    Mahusiano yenye changamoto za ushirikina na kulazimishana

    Hello habari, nina changamoto kidogo naomba msaada, mwaka jana mwezi wanane nilikutana na mwanamke na nikaanzisha naye mahisiano na sababu ilo fanya mahusiano yaendelee alipodai kuwa anaujauzito niliendelea kumsapoti nilipoweza mpka ulipofika mwezi wa kumi na mbili ambapo alidai ujauzito...
  3. Just Pray

    PreGE2025 Taratibu zisizoeleweka wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa zitukumbushe uhitaji wa 'reforms' kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba

    Utafiti uliofanyika dhidi ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 unabainisha mila na desturi za kijamii na kijinsia zilivyoathiri ushiriki wa vijana na wanawake katika uchaguzi. Katika kipindi chote cha uchaguzi, vijana na wanawake waliokuwa sehemu ya utafiti walibaini na kutoa...
  4. A

    KERO Responded Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi, HESLB itoe elimu

    Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025. Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau wanaohusika na utoaji wa hizo reference number ambao ni Watendaji wa Vijiji na Mitaa hawajui chochote...
  5. Holota

    KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira. Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
  6. Outsiders

    Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Mfumo wa anwani za makazi umekua changamoto kwenye kufanya application za HESLB, changamoto tunayokutana nayo nikama ifuatavyoo; 1. Mfumo unataka taarifa za mmiliki wa eneo(Nyumba) husika,, hii imekua kikwanza kwa wazazi wanaoishi kwenye nyumba za kupanga. 2. Watendaji wa Kata hawapo oriented...
  7. Lugano Edom

    TUJADILI CHANGAMOTO ZETU

    Una changamoto gani? Tukusaidie.. Popote pale nyumbani, kazini, n. K ANDIKA wapo wAtatuzi usiogope.
  8. Jumanne Mwita

    Panya wamenishinda, kuna dawa kiboko ya kumaliza changamoto hii ya panya?

    Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani. Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado...
  9. B

    Hii staili katika mapenzi huwa inakupa changamoto gani?

    Ni staili moja tamu sana haswa mtoto mkali anapokuwa msafi, na pia uwe wewe peke ako ndio unamchumisha Ebu tuambie wewe inakupaga shida gani hii staili? Ruksa wote wanaume wa kwa wanawake kucoment Staili inaitwa "mbu kauma taqo" 😅
  10. L

    NBAA Ina changamoto ya customer care - badilikeni

    Habarini ya Muda huu, Hii Bodi yetu Pendwa ya wahasibu na wakaguzi wa ndani ya TANZANIA (NBAA) Wana changamoto ya Customer Care. Ukiwapigia simu yao ya Landline hawapokei na hata ukiwatumia E-Mail kwa email address yao ya info@nbaa.go.tz hawazijibu. Kwa sasa nipo Mpanda - Katavi nimeshatuma...
  11. Just Pray

    Luhaga mpina amvaa Bashe, Tuna changamoto ya mnunuzi mmoja katika zao la pamba, hii kesi haijaisha

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuikosoa vikali Wizara ya Kilimo kwa kuruhusu mfumo wa mnunuzi mmoja katika ununuzi wa zao la pamba, akidai kuwa mfumo huo unaua ushindani na kushusha bei ya mazao ya wakulima. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Mwandoya, Wilayani...
  12. W

    Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !! Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
  13. DolphinT

    Misimamo ya Ndani ya Vyama vya Siasa: Changamoto kwa Demokrasia, Uwajibikaji na Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
  14. L

    Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  15. R

    Boti la uokoaji limefika Morogoro, Dereva aelezea changamoto anazokumbana nazo barabarani

    Dereva wa gari linalosafirisha boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza), Hamidu Mshamu ameeleza changamoto anazokumbana nazo akiwa katika safari ya siku 14 kutoka Mtwara hadi Mwanza. Akizungumza akiwa mkoani Morogoro leo Alhamisi Juni 19, 2025, Mshamu amesema tayari...
  16. N

    Changamoto ya kubadili password ajira portal

    Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
  17. Smile Digital Stationery

    Changamoto na mitihani unayopitia haipo kwa bahati mbaya

    Hello wana JF; Leo nimekuja na hii Mada kwaajili ya kujifariji na kuwafariji wengine, Ipo hivi; Dunia ni kama Darasa, na kila mwanafunzi ana uelewa wake katika kumwelewa Mwalimu. Sote katika Binadamu tunapitia changamoto mbalimbali, na kila mmoja ana changamoto yake anayoipitia, wapo...
  18. Alloyce PR

    Tanzania na changamoto ya Ajira

    “Changamoto ya ajira nchini Tanzania haiko kwenye ukosefu wa kazi, bali kwenye mfumo wa unyonyaji unaoendelea, hususan katika sekta binafsi. Watu wanatumia muda wao mwingi, maarifa yao ya hali ya juu, na nguvu zao kuzalisha thamani kubwa kwa waajiri, lakini malipo wanayopata ni duni...
  19. S

    Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako?

    Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako? Nikusaidie Napatikana: mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Piga: 0756704145
  20. Y

    KERO Kina mama waliojifungua Hospitali ya Jitimai Zanzibar kitanda kimoja wanalala watatu, tatizo ni nini wakati kila wilaya ina hospitali?

    Jana nilipoenda Hospitali ya Jitimai Zanzibar kumuangalia mjamzito nimekutana na changamoto wanayoikumba wakina Wamama baada ya kujifungua. Kitanda kimoja wanalala Wazazi watatu na watoto wao sasa tatizo sijui ni nini licha ya kuwa kila wilaya sasa hivi Zanzibar wana hospitali yao.
Back
Top Bottom