MZEE wa miaka 85, Masanja Mahubi, anadaiwa kufungiwa kwa siku tatu katika ofisi ya serikali ya mtaa bila kupewa chakula na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Msoba Mligo.
Akizungumza kwa shida baada ya Jeshi la Polisi likiongozwa na Mkuu wa Jeshi hilo wilayani Igunga, Ally Mkalipa, kuuvunja mlango...