chakula

  1. JamiiForums Tanzania Udaga: Chakula kinachopendwa na jamii ya Wasukuma Tanzania

    Ugali wa udaga ni moja kati ya vyakula vinavyopewa heshima ya namna yake kwenye jamii ya Wasukuma nchini Tanzania ukitaka kuamini hayo muulize hata SHIMBA YA BUYENZE au ngosha wa mwanza Udaga ni mchanganyiko wa unga wa mahindi na muhogo ambao huwa na ladha ya aina yake ukiliwa na mboga za asili...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana, inakuaje vijana wa sasa wanakubali kulelewa kama watoto wa kike

    Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa. Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mke kwenda kushinda kwao hadi jioni na kurudi na chakula kilichopikwa ukweni, nisawa mume kula hicho chakula?

    Wakuu Kama kichwa cha habari kilivyo eleza hapo juu..... Mke wangu kwao nimitaa kama 20 toka tunapoishi sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivyo huwenda kuwaona nakushinda kwao hadi jioni saa kumina moja sasa anavorudi huja nachakula walichopika kwao yaani hapiki tena huja nacho...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naona kama Wanawake wengi hawapiki chakula cha waume zao

    Nikienda migahawani huwa naona wanaohudhuria kula kila siku migahawani ni wababa na vijana tena wenye ndoa zao, ni mara chache sana kukuta mdada anakula kila siku migahawani. Mimi ni bachela, sasa sijajua faida ya ndoa ni nini, kama wanaume waliooa nao wanakula migahawani kila mara kama mimi...
  5. JamiiForums Tanzania UN: Watu milioni 16 kukabiliwa na njaa Yemen

    Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani, WFP, ametahadharisha kwamba watu milioni 16 nchini Yemen wanaelekea kukabiliwa na ukosefu wa chakula. Mkuu huyo David Beasley ameongeza kuwa, mgao wa chakula kwa mamilioni ya watu katika nchi hiyo inayokabiliwa na vita utasitishwa mwezi ujao wa Oktoba...
  6. JamiiForums Tanzania UNICEF: Idadi kubwa ya Watoto katika Nchi zinazoendelea hukosa chakula bora

    Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF) imesema theluthi moja ya Watoto chini ya miaka 2 katika Nchi zinazoendelea hupata Chakula wanachohitaji kwa ukuaji bora Ripoti ya UNICEF imesema majanga mbalimbali ikiwemo ghasia, mlipuko wa COVID-19 na mabadiliko ya Tabia Nchi yamekwamisha Maendeleo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Dawa na Chakula Tanzania mnaliona hili?

    Nimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mgahawa wenye chakula kizuri na michezo ya watoto

    Wakuu, Naomba kujuzwa mgahawa/ sehemu ya kula wenye chakula kizuri na michezo ya watoto kuanzia eneo la. Kawe , mbezi beach na Goba. Asante sana
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Meza ya chakula viti sita inauzwa

    Imebaki hii meza ya chakula ni nzuri sana, ina viti sita, meza bado ni mpya kabisa, katikati ina kioo. Bei ni laki sita. Ipo Nyakato Mecco Mawasiliano 0622723082.
  10. JamiiForums Tanzania Tigray: Chakula cha Misaada kuisha wiki hii

    Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limeonya hatari ya kuisha kwa chakula cha misaada kuanzia wiki hii katika eneo la mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Zaidi ya watu 900,000 wapo katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa ikiwa ni kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini niuze simu?

    Kumekuwa na mawazo mengi yanayotolewa hapa jukwaani na baadhi ya wadau kwa watu wenye uhitaji wa aina hiyo. Moja ya wazo huwa najiuliza sana ni kwanini linatolewa sana ni hili. Uza simu. Uza simu kanunue karanga tembeza vyuoni na saiti. Uza simu kanunue mitumba na viatu pale sijui wapi saa...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa Ya Muuza Chakula (Shilole) na Mpiga Foto (Tommy D) Inakaribia Kuvunjika

    Wakuu Tazameni Hii Video Kati Ya Muuza Chakula na mpiga 📷 walivyozinguana Hadharani.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo: Tume huru ya Uchaguzi haileti chakula

    Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani. Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata...
  14. JamiiForums Tanzania Biashara ndogo za chakula zinazoweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo kabisa

    1 Chipsi. Mtaji ni mdogo hapa unaeza anza na ndoo moja ya viazi, mafuta lita 2 vyombo vya kupikia na vyombo vya kuuzia bila kisahau genge ama banda la kupikia na kuuzia. 2 Sambusa. Mapishi ya sambusa pia ni biashara nyingine isiyohitaji mtaji mkubwa. 3 Maandazi. Biashara ya kuuza mandazi...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Hanipakulii chakula anataka niende jikoni mwenyewe lakini shemeji yake anamjali

    Mke wangu kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
  16. JamiiForums Tanzania Chakula cha Mama Ntilie ni kwaajili ya masikini

    Sina mengi wakuu nawasalimu. Hii misosi ya mama nitilie ni kwa ajili ya maskini. Mabenchi machafu Viti vimevunjika Meza chafu, inzi wakutosha Msosi sometimes unanuka moshi Wahudumu wachafu Customer care iko chini Kula kwa mama nitilie ni umaskini au labda ukumbwe na dharuura. Mchele...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Unawajua wauza chakula almaarufu "mama ntilie"?

    Hili ni kundi la watu muhim sana katika jamii kwani ukamilisha maitaji ya wafanya kazi wengi wawapo kazini bila kwenda majumbani kwao kwa kuwapatia chakula, maji na maitaji mengine kisha kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa. Swali ni kwamba je unawajua watu hawa muhim sana katika...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba mawasiliano ya Daktari wa magonjwa ya mfumo wa chakula

    Ndugu naomba msaada wa kupata mawasiliano ya daktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa chakula
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watu binafsi wazuiwa kugawa chakula kwa masikini

    Polisi wamezuia watu kugawa chakula kwa wasiojiweza kipindi hiki cha ‘Lockdown’ kwa kuwa wanakiuka miongozo ya Afya ya Kudhibiti maambukizi ya #COVID19 Wanaotaka kugawa chakula wametakiwa kuwasilisha kwa viongozi wa mkoa ambao watagawa kwa wasiojiweza. Hatua hii imekuja baada ya viongozi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Tuwatumie wafungwa/Magereza kuzalisha chakula cha wanafunzi na chakula kiwe bure kwa shule zote

    Nitaandika kwa kifupi sana kwa kuwa hii ni hoja isiyo hitaji maelezo mengi. Hoja yangu ya msingi ni hii Badala ya serikali kuwafungia ndani wafungwa na kuwatumia kufanya usafi mara moja kwa wiki tuwatumie wafungwa hawa kuzalisha chakula cha wanafunzi mashuleni na kitolewe bure pia, kwa wanafunzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…