Mamilioni wakabiliwa na uhaba wa chakula nchini Somalia

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Zaidi ya watu Milioni 2 Nchini Somalia wanakabiliwa na uhaba wa Chakula na Maji kutokana na hali mbaya ya ukame, ikielezwa Vyanzo vya Maji vinakauka.

Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) takriban watu 100,000 wamekimbia makazi yao kutafuta Chakula, Maji na malisho kwa ajili ya mifugo yao.

UN inatarajia watu wapatao Milioni 8 hawatakuwa na Chakula cha kutosha kufikia mwaka 2022.
===

The UN says more than two million people in Somalia are facing severe food and water shortages because of a rapidly worsening drought.

Water sources are drying up in what is the fourth consecutive season of poor rainfall.

About 100,000 people have fled their homes in search of food, water and pasture for their livestock.

The UN said it expected nearly eight million people to be without enough food next year.

There have been more than 30 years of continuous conflict in Somalia, which is also regularly hit by droughts, floods and locust swarms.

Source: BBC
 
Hata hapo Nchini Tanzania,Kama Mvua zitaendelea kutonyesha Mpaka April Mwakani(April 2022),nchi itakumbwa na Njaa kubwa kuliko zilivyo hivi Sasa nchi za Somalia, Djibout na Eriteria.Mark My Words.
 
Back
Top Bottom