Suluhisho la kupikiwa(kupata) chakula safi, kitamu na kwa wakati kwenye shuhuri yako ni hili

Zikwe

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
239
131
Kwa Shuhuri yoyote iwe Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation na Chochote kile kitakachoitaji uwepo wa chakula kupikwa na mpishi.
Mpishi lazima azingatie Usafi, Ubora na Ladha Nzuri Ya Chakula kwa Mteja wake Na Kubwa Zaidi Kwenda Na muda kweny Kupika Chakula, Hivyo chakula inabidi Kifike au kiwe Tayari Nusu Saa Kabla ya Muhusika Kukiitaji..

Na Yote Hayo Yanawezekana Kupitia Mpishi KIKOTI, Atakupikia chakula safi bora, kitamu na kitakufikia kwa Wakati Unaoitaji tena Kikiwa bado cha Motoooo
=Kwa Wateja Wapya Tunazingatia Uaminifu wao kwanza Kwetu hivyo Bei huwa Ni punguzo hadi pale atakapolidhishwa Na huduma Zetu.
Piga Namba 0657 33 2814
Email: mpishimashuhurini@gmail.com
Dar Es Salaam, Tanzania.

IMG_20220521_151344_489.jpg


mpishiii.jpg


Mpishii 0657 33 2814 .jpg


mpishiii.jpg
 
Shaba Mnapika kiasi gani?
Samahani Sana kwa Kuchelewa Kukujibu, Kuhusu Bei Ya Shaba Inatofautiana Na aina Ya chakula Unachotaka Kupikiwa Na Kilo Zake Mfano
Kilo 30 ya BIRIANI itakuwa tofauti Na
Kilo 30 ya PILAU Nikiwa na maana Bei ya BIRIANI itaongezeka Kidogo kulingana Na Maandalizi Na Upishi Wake..

NB: Ila kubwa Zaidi ni kwamba Ukiwa mteja Wetu Mpya Bei ni ya punguzo zaidi ya 50% kwani Tunachoitaji Sana Kwako Ni Imani Yako Kwetu.
 
Back
Top Bottom