Chad yatangaza hali ya dharura kutokana na uhaba wa chakula

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Serikali Nchini humo imesema imetangaza Dharura kutokana na Mwenendo wa Hali na Chakula na Lishe kuzorota, hivyo kuweka hatarini Maisha ya Watu ikiwa watakosa misaada ya kibinadamu.

Umoja wa Mataifa (UN) umeonya kuwa watu Milioni 5.5 katika Taifa hilo watahitaji msaada wa kibinadamu mwaka 2022. Hali ya Chakula Nchini humo imetajwa kuathiriwa zaidi na Vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine.

===

Chad's interim President Mahamat Idriss Deby has signed a decree declaring a food and nutrition emergency.

"This decision follows the constant deterioration of the food and nutritional situation this year and taking into account the growing risk to populations if no humanitarian aid...is provided," read the decree.

The plea for aid comes before a meeting between African Union chairman Macky Sall and Vladmir Putin to discuss Russian grain supplies.

The United Nations has warned that 5.5 million people in Chad - more than a third of the population - will need humanitarian assistance this year.

The World Food Programme said in March that some 2.1 million Chadians would be "severely food insecure" during the dry weather season that starts this month.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom