Rais Putin aihakikishia Afrika kuilinda kwa Chakula na Mbolea. Asema Russia na Afrika ni marafiki wa Kufa na Kupona!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Rais Sall wa Senegal ambaye ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Leo amekutana na Rais Putin nchini Urusi.

Rais Putin amesema Afrika ni rafiki wa kweli wa Russia hivyo wasiwe na hofu wataendelea kupata nafaka na mbolea kutoka Russia

Leo ni siku ya 100 tokea vita ya Russia na Ukraine ianze

Source: BBC Dira ya Dunia

Attachments

  • video_2022-06-06_16-07-55.mp4
    13.7 MB
Kwamba Africa miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kujitegemea hata kwa chakula tu!?
Tuna tatizo kubwa kwakweli , tunahitaji mabadiliko makubwa sana
Hapo nadhani wanailump Afrika lakini kama wangekuwa specific wangesema Afrika Kaskazini, Somalia, Ethiopia, Sudani Kusini, na baadhi ya nchi za West Africa ndiko wanahitaji hiyo ngano ya Russia.

Hata hivyo kuna namna fulani hivi ambavyo mwafrika akili yake ni ndogo sana. Udogo wa akili ya mwafrika ni jinsi ambavyo wazungu wanavyoweza kutengeneza tatizo, wakalibrand kuwa ni tatizo kubwa kwa mwafrika, na mwafrika akaibeba mazima mazima hiyo simulizi ya mzungu na kuliona kuwa ni tatizo kwake. Mwisho ni mwafrika kuendelea kuwa tegemezi kwa mzungu milele na milele.

Mfano mdogo ni kuhusu corona. Corona ilivyoanza huko Ulaya na Marekani wakawa wakifa kama kumbikumbi yet simulizi kwenye vyombo vya habari vya wazungu ilikuwa ni jinsi ambavyo Afrika itakuwa "disproportionately hit" na corona. Wakati huo nafikiri Afrika ilikuwa hata haijapata hata mgonjwa mmoja wa corona. Lakini viongozi wa AU save Tanzania walivokuwa busy kujigonga gonga na kulialia kwa mataifa ya Ulaya na Marekani kuhusu chanjo, na jinsi mataifa hayo yanavyokumbatia chanjo utafikiri basi waafrika ndio tunaihitaji chanjo kuzidi wao. Ni akili ndogo tu na utumwa utumwa tu.

Na hata kwenye hii ishu ya Russia na Ukraine na madhara yake kiuchumi. Kama kuna madhara Afrika itayapata kutokana na hii vita hatutakuwa tofauti na watu wa mabara mengine. Huyo Sall kukimbilia Russia kuomba sijui hiki au kile ni utoto utoto tu wa viongozi wa kiafrika.
 
Kweli. Urusi ni hao hao wazungu hakuna kitu tutafaidi.
 
Mimi siiungi hoja.

Simpendi Rais Putin huyu mfalme wa madaraka milele. Wa kuvamia wazungu Ukrain na nchi huru. Wa kutishia kupiga unclear dunia.

Ni hatua ngapi tumetoka na Ulaya wakitusaidia? Yeye Putin kama kiongozi hata Africa hajakanyaga.
 
Mimi siiungi hoja.
Simpendi Rais Putin huyu mfalme wa madaraka milele. Wa kuvamia wazungu Ukrain na nchi huru. Wa kutishia kupiga unclear dunia.
Ni hatua ngapi tumetoka na Ulaya wakitusaidia? Yeye Putin kama kiongozi hata Africa hajakanyaga
Ni Katiba Yao,wala sio yeye
 
Mnaouliza kuhusu kuzalisha mbolea, siyo kwamba tunashindwa kuzalisha mtu ukiwa na heka mbili au tatu na mifugo ya kutosha unapata samadi nzuri tuu, ila hicho ni kilimo cha kujikimu, fikiria una heka 100, unapata wapi mbolea? Ndio maana hizo nchi kama urusi ziliwekeza kwenye scientific research kutengeneza mbolea artificial. Wakiamua kukaza mnakufa njaa.
 
Kwamba Africa miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kujitegemea hata kwa chakula tu!?

Tuna tatizo kubwa kwakweli , tunahitaji mabadiliko makubwa sana
Sie Mbususu kimasihara na kupeana koneksheni ndio tumeweza kujitegemea mkuu. Nyuzi nyingi za kula mbususu zinapata uchangiaji Sana. Yaani ubongo zetu ziko idle for critical and concrete life issues but they become active for kula mbususu kimasihara,vumbi la Kongo naamna ya kung'oa pisi Kali na kuikojolesha.

Ile innovation ya gari la kutumia Sola tunaponda kuwa ni toroli. Huku watu hawajui mfano Toyota gari lao la kwanza lilikuwaje ama la Ford.

Teknolojia inakuwa na watu wanarithishana kufanya research pale ulipoishia nakuja naendeleza kwa idea nyingine.

Hoya nipeni koniksheni halafu umasikini wangu niialaumu serikali kuwa haitoi ajira.
 
Hapo nadhani wanailump Afrika lakini kama wangekuwa specific wangesema Afrika Kaskazini, Somalia, Ethiopia, Sudani Kusini, na baadhi ya nchi za West Africa ndiko wanahitaji hiyo ngano ya Russia.

Hata hivyo kuna namna fulani hivi ambavyo mwafrika akili yake ni ndogo sana. Udogo wa akili ya Mwafrika ni jinsi ambavyo wazungu wanavyoweza kutengeneza tatizo, wakalibrand kuwa ni tatizo kubwa kwa mwafrika, na mwafrika akaibeba mazima mazima hiyo simulizi ya mzungu na kuliona kuwa ni tatizo kwake. Mwisho ni mwafrika kuendelea kuwa tegemezi kwa mzungu milele na milele.

Mfano mdogo ni kuhusu corona. Corona ilivyoanza huko Ulaya na Marekani wakawa wakifa kama kumbikumbi yet simulizi kwenye vyombo vya habari vya wazungu ilikuwa ni jinsi ambavyo Afrika itakuwa "disproportionately hit" na corona. Wakati huo nafikiri Afrika ilikuwa hata haijapata hata mgonjwa mmoja wa corona. Lakini viongozi wa AU save Tanzania walivokuwa busy kujigonga gonga na kulialia kwa mataifa ya Ulaya na Marekani kuhusu chanjo, na jinsi mataifa hayo yanavyokumbatia chanjo utafikiri basi Waafrika ndio tunaihitaji chanjo kuzidi wao. Ni akili ndogo tu na utumwa utumwa tu.

Na hata kwenye hii ishu ya Russia na Ukraine na madhara yake kiuchumi. Kama kuna madhara Afrika itayapata kutokana na hii vita hatutakuwa tofauti na watu wa mabara mengine. Huyo Sall kukimbilia Russia kuomba sijui hiki au kile ni utoto utoto tu wa viongozi wa Kiafrika.
Nikama tulivyo pigiwa makelele kwamba tusijenge bwawa la umeme la nyerere, eti kwasababu tutaharibu mazingira, na urithi wa dunia.

Kumbe ukichunguza utaona kwamba wanataka tuendelee kununua gas yakuzalisha umeme ghali kwenye makampuni yao milele na waendelee kutukodishia mitambo yao ya kuzalisha umeme.

Kwa bahati mbaya sana wazungu wanapata mawakala uchwara ambao ni waafrica wenzetu ambao hawana hata aibu, wanafikiri kuhusu tumbotu na sio maendele ya Taifa.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom