chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. J

    JamiiForums Tanzania 2019 umekuwa mwaka mgumu kwa CHADEMA lakini wenye mafanikio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Kiukweli mwaka 2019 unaoelekea ukingoni umekuwa mgumu sana kwa Chadema ambayo ilikimbiwa na wabunge wake wengi. Kadhalika ni mwaka ambao Chadema ilimpoteza mwanachama wake maarufu kuliko wote mzee Lowassa aliyehamia CCM. Pia mzee Sumaye na mzee Mgeja na kundi kubwa la madiwani waliamua kuachana...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chadema, Mheshimiwa John Mnyika aongea na Wanahabari

    ===== Dar es Salaam. Katibu Mkuu mpya wa Chadema, John Mnyika ameanisha vipaumbele vitano vya chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Mnyika aliyeteuliwa na mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa katibu mkuu Desemba 20, 2019 kuchukua nafasi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA na CCM haziwaamini wanawake kwenye nafasi za juu za uongozi kama Mwenyekiti, Makamo, Katibu mkuu na manaibu wake?

    Kama wanawake wameshafikia viwango vya kuwa makamu wa Rais wa JMT na Spika wa bunge iweje kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama hatuwaoni? Nakumbuka ACT wazalendo imewahi kuwa na mwenyekiti ambaye ni mwanamama kadhalika NCCR ilikuwa na makamu mwenyekiti mwanamama. Cuf ina Katibu mkuu...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Tito Magoti , RPC Mambosasa asiaminiwe , Aliwahi kukiri Polisi kumuua Akwilina lakini baadaye alikana na kuwasingizia Chadema

    Huyu ni miongoni mwa Ma RPC wa nchi hii wasioaminika , Kwa mfano , Mapema baada ya Polisi kufyatua risasi za moto kwenye mkusanyiko wa Chadema maeneo ya Kinondoni Mkwajuni , Mambosasa alijitokeza hadharani na kukiri polisi kuhusika ( hapa jf zipo clip zake kuhusu jambo hili ) , baadhi ya...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanganyika ni nani hasa ?

    Huyu ni kiongozi wa Chadema anayetokea Mkoani Dodoma , inasemekana kitaaluma ni Mwalimu , sijui alifundisha wapi na alifundisha nini , lakini amehudumu Makao Makuu ya Chama katika Ukurugenzi kwa kipindi kirefu , ni kiongozi Shupavu asiye muoga na wala hajawahi kumung'unya maneno , hapa ndipo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haina chuki na CCM, lakini CCM ina chuki na CHADEMA hivi ni kwanini?

    Haya yote mabaya wanayofanyiwa CHADEMA na serikali ya CCM hivi kwanini CCM mnaichukia CHADEMA? =====
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nakuuliza CHADEMA

    Kweli Chadema mmefanikiwa kufanya mkutano mkuu pamoja na uchaguzi kwa mafanikio, kwa hilo nakupa hongera je chadema mmejua au mmefanya utafiti nakujua ni watu wangapi walifatilia mkutano wenu? Je mnajua nguvu ya vyombo vya habari katika kupeleka habari, kuhamasisha na kuhabarisha? Kama kweli...
  8. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

    1. MWENYEKITI - Freeman Mbowe 2. MAKAMU MWENYEKITI ZANZ - Said Issa Mohamed 3. MAKAMU MWENYEKITI BARA - Tundu A.Lissu 4. KATIBU MKUU - John John Mnyika 5. NAIBU KATIBU MKUU BARA - Benson S. Kigaila 6. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - Salum Mwalim WAJUMBE WA KAMATI KUU - TAIFA 1. John W. Heche 2...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mdhamini: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Lissu amepona ila anaogopa kurudi nchini kwa kuhofia maisha yake

    Mahakama ya Kisutu imesisitiza kuwa inamtaka Mahakamani aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi. Hata hivyo, Lissu ameieleza Mahakama kupitia Mdhamini wake Ibrahim Ahmed kuwa anahitaji kurejea ila bado anahofia usalama wake, kesi imeahirishwa hadi...
  10. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

    Habari wakuu, Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ampongeza Mbowe kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Chama cha CHADEMA kimeelemewa kwa salaam za Pongezi kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi kutokana na uchaguzi mkuu wa kihistoria uliyomrejesha madarakani Freeman Mbowe. Salaam za Karibuni ni kutoka kwa Chama cha ACT Wazalendo mshirika wa Chadema katika upinzani. Kiongozi wa ACT...
  12. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

    WanaJF Salaam Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA. Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho...
  13. Mapambano Yetu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA anzisheni vyombo vya habari. Huu sio wakati wa kulalamika

    Kati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa na vyombo vyao vya habari. Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama. 2020...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hoja yangu CHADEMA Jana walihujumiwa

    Nilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema. Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato. Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuipongeza CHADEMA ni wakati wa kuuonya Upinzani

    Nichukuwe nafasi hii kuipongeza Chadema kwa mambo kadhaa . Kwanza kwa kujuwa nafasi yake ya kuwa chama kikuu cha upinzani na kuwa chama kiongozi miongoni mwa vyama vya upinzani Tanzania. Nawapongeza kwa kuonesha siasa mbadala. Nawapongeza kwa kuanza kukomaa na kutoendeshwa kwa matakwa ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Chadema badala ya kupigania Tume huru ya uchaguzi wao wanataka NEC isimamie uchaguzi wa Serikali za Mitaa badala ya TAMISEMI

    Kuna wakati ukivifikiria hivi vyama vya upinzani unaelewa ni kwanini CCM inaweza kuongoza hii nchi kwa namna inavyotaka. KUB anaomba eti NEC ndio isimamie uchaguzi wa serikali za mitaa badala ya waziri wa Tamisemi.......yaani anaamini hapo ndio haki itatendeka. Binafsi sioni tofauti kati ya...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dar: Tundu Lissu ahutubia mkutano mkuu wa CHADEMA, ataka asaidiwe arudi nyumbani, kashapona

    Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameuhutubia mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam akisema, mpango wa kukiua chama hicho iliyopangwa imeshindikana na zaidi imekiimarisha zaidi chama hicho. Lissu amesema...
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC wameona kitu cha maana cha kutuonyesha mubashara ni ufunguzi wa mahakama Chato na wala sio mkutano mkuu wa Chadema!

    Tunavyofahamu ni kuwa chombo cha habari cha TBC ni cha Watanzania wote na kinagharamiwa uendeshaji wake na kodi za wananchi wote, wana CCM na wana Chadema. Kwa hiyo ni wajibu wa Mkurugenzi wa TBC, Ayoub Rioba, kuangalia ni kitu gani kina umuhimu mkubwa kwa Taifa na kukionyesha mubashara bila...
  19. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde. Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
  20. Planett

    JamiiForums Tanzania Hii sio haki kabisa, CHADEMA wana-fake viewers

Back
Top Bottom