pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 691
- 878
Habari wakuu,
Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda Ofisini kwake kuomba amsaidie kudai deni la Nyumba. Alimwambia nikiwadai wataingiza mambo ya Siasa.
Hivyo nimeamua kuwajengea Ofisi mpya CCM Knondoni yenye gorofa moja ili ile ya zamani wawaachie chaadema Makao makuu. amesema atatumia Sh2.5 bilioni kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika wilaya tano za Dar Kama asante yake kwa Wanaccm.
Watu Watahoji natoa wapi hela wengine eti naingia bajeti, Nataka wajiulize
Nmejenga Chumba cha mama na mtoto Amana. Nmejenga Chumba cha Upasuaji Mwananyamala nikiwa Mkuu wa Wilaya na siku ya Uzindunzi ndo nikaambiwa nimepata Ukuu wa Mkoa “wanaohoji kwamba fedha za Serikali zinatumika kujenga ofisi ya chama, wahoji kuhusu ofisi 73 za walimu zilizojengwa katika shule hapa Dar es Salaam, wahoji kuhusu watoto wanaopewa matibabu ya moyo na hospitali ya Chanika wahoji fedha zake zinatoka wapi.”
"Wapo wenye fikra potofu ambao wakiona ofisi hizi watadhani ubunge, nafasi hizi zipo kwa ratiba ya Mungu. Mkoa huu una majimbo mangapi?” Kaongeza nafasi nliyonayo ni zaidi ya Ubunge. Wabunge wote wa Dar wapo chini yangu na wakitaka kuzungumza lazima waniombe ruhusa.
Mwisho wa siku kaweka jiwe la msingi na akasema ujenzi ukiisha Ofisi ya Zamani wapewe CHADEMA Makao makuu wahamie hapo.Unajua hawa CHADEMA, Mimi nlimuombea kura Mbowe ili ashinde uchaguzi huu sababu Uwezo wake naujua, hana madhara kwa chama chetu.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni amesema baadhi waliposikia Makonda ameahidi na ameamua kujenga ofisi hizo alihusianisha na uchaguzi wa mwaka 2020.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Zakaria Mwaisasu amewataka wanachama walioamua kukifanyia kazi chama chao wasiogope kelele ili mradi hawavunji kanuni na katiba ya chama hicho.