CHADEMA haina chuki na CCM, lakini CCM ina chuki na CHADEMA hivi ni kwanini?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,978
Haya yote mabaya wanayofanyiwa CHADEMA na serikali ya CCM hivi kwanini CCM mnaichukia CHADEMA?

=====
Tokea kuanzishwa siasa za Vyama vingi CCM haijawahi kupata upinzani wa kweli kama kipindi hiki

Tukiondoa Upinzani wa Visiwani hapa Bara lilikuwa ni Shamba la bibi kwa CCM hata wakati wa Mrema na Nccr-Mageuzi ilikuwa ni rahisi kupenyeza Mamluki na Mapandikizi

Ila Chadema kimetumwa kuichukua Ikulu hakuna uchaguzi CCM ilikuwa na hofu kama 2015 haijawahi kutokea mimi mwenyewe nilikuwa CCM kabla sijakihama

Hali ilikuwa mbaya sana ndani ya CCM na makada walikuwa wakisema waziwazi kuwa bila kuiba kura CCM kijiandae kisaikolojia

Na wizi mkubwa wa kura wa kutisha ulifanyika trust me

Bila wizi CCM ingepigwa chini hilo halina mjadala

Baada ya ushindi haramu wa 2015 CCM ikapanga mikakati ya kukimaliza Chama cha Demokrasia na Maendeleo huku wakijipa moyo kuwa watakimaliza kama walivyokiua chama cha Nccr-Mageuzi
Lakini ilikuwa ni kujidanganya na kushindwa kusoma alama za nyakati

Chadema ni Chama pekee cha Upinzani ambacho kiko Well organized na CCM imetumia mbinu zote zimegonga mwamba

Ukweli ni kwamba tokea CCM iasisiwe hakijawahi kupata mpinzani serious kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

Chadema nacho kinatakiwa kishikilie hapo hapo
 
Ukute sasa kwenye hio familia kuna wana CCM halafu mko kwenye kundi LA WhatsApp LA Familia hahahah ukipost tofauti na matakwa yao utawaona from nowhere oogh group ni LA familia sio LA Siasa......ujue ana stress huyu! Unacheka halafu hu-delete unazima data!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tokea kuanzishwa siasa za Vyama vingi CCM haijawahi kupata upinzani wa kweli kama kipindi hiki

Tukiondoa Upinzani wa Visiwani hapa Bara lilikuwa ni Shamba la bibi kwa CCM hata wakati wa Mrema na Nccr-Mageuzi ilikuwa ni rahisi kupenyeza Mamluki na Mapandikizi

Ila Chadema kimetumwa kuichukua Ikulu hakuna uchaguzi CCM ilikuwa na hofu kama 2015 haijawahi kutokea mimi mwenyewe nilikuwa CCM kabla sijakihama

Hali ilikuwa mbaya sana ndani ya CCM na makada walikuwa wakisema waziwazi kuwa bila kuiba kura CCM kijiandae kisaikolojia

Na wizi mkubwa wa kura wa kutisha ulifanyika trust me

Bila wizi CCM ingepigwa chini hilo halina mjadala

Baada ya ushindi haramu wa 2015 CCM ikapanga mikakati ya kukimaliza Chama cha Demokrasia na Maendeleo huku wakijipa moyo kuwa watakimaliza kama walivyokiua chama cha Nccr-Mageuzi
Lakini ilikuwa ni kujidanganya na kushindwa kusoma alama za nyakati

Chadema ni Chama pekee cha Upinzani ambacho kiko Well organized na CCM imetumia mbinu zote zimegonga mwamba

Ukweli ni kwamba tokea CCM iasisiwe hakijawahi kupata mpinzani serious kama Chama Cha Demokrasia na Maendeleo

Chadema nacho kinatakiwa kishikilie hapo hapo
 
Sisi tusio na vyama tunaishi maisha ya raha sana. tuna washangaa makada wa ccm,

walipita mtaani kwangu kuomba mchango nikawapa walitaka kunilamba viatu nikawaambia acheni ujinga.
Hahahah hawa jamaa wana njaa balaa ila ukiwakuta wanaupepeta utadhani account zao zinasoma billions. Yaani watu hawajui watakula nini jioni lakini wana kelele hao. Halafu wao muda wote wanawaza siasa tu na kwao siasa ni kuichafua CHADEMA! Na kuichafua Chadema ni kusema Mbowe ameshindwa kuendesha chama au Chadema ni ya Kikanda......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom