Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Tanganyika ni nani hasa ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,638
218,073
Instagram media - B6SrJklAKhS ( 640 X 640 ).jpg

Subpost 2 - Mrithi wa John Mnyika Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara anaitwa Mh Si ( 634 X 640 ).jpg


Huyu ni kiongozi wa Chadema anayetokea Mkoani Dodoma , inasemekana kitaaluma ni Mwalimu , sijui alifundisha wapi na alifundisha nini , lakini amehudumu Makao Makuu ya Chama katika Ukurugenzi kwa kipindi kirefu , ni kiongozi Shupavu asiye muoga na wala hajawahi kumung'unya maneno , hapa ndipo nilipoishia kumfahamu

Sasa naomba anayemjua zaidi atueleze ili na sisi tupate faida

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom