Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mbunge wa CHADEMA na Mhazini wa Bawacha Mhe Catherine Ruge amepata ajali mbaya asubuhi hii akitokea Dar es Salaam kwenye kesi fake za Viongozi wa Chadema Taarifa za awali Mhe. Ruge anamaumivu makali kwenye Mguu pamoja na kifuani.
=======
Mbunge Catherine Ruge (CHADEMA) ambaye pia ni Mhazini wa...
Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu
Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya...
Hili jambo linafikirisha.
Nimefuatilia mwenendo wa kesi ya mauaji ya Akwilina tangu mwanzo mpaka hukumu yake iliyotolewa leo katika Mahakama ya Kisutu, Dar.
Kukubali kulipa faini bila kukata rufaa, ni kwamba viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekubaliana na hukumu kwamba wanayo hatia ya...
Chadema itashinda urais hata bila tume huru 2020 kama itafanya yafuatayo
1: Kama haitapokea makapi na mafisadi kutoka ccm kuja kugombea.
2: kama watamsimamisha Tundu Lissu kupambana na Magufuli.
3: Kama watawaambia wananchi kulinda kula zao kwa Cost yetote kwenye vituo.
Kama chama...
Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji.
Katika kesi hiyo...
Mh Rais aliahidi kuwa uchaguzi utakuwwa huru na haki. Kauli ya Rais aliiitoa mbele ya mabalozi walio marafiki wetu na wadau wetu wa maendeeo, nenda hata kwa "wenzao" wa Africa. Kwa kauli ya Bashiru, msitegeee lolote la uchaguzi huru haki. Huyu angelikuwa kauli hiyo ni ya kwake, angelikemewa...
Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.
Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?
Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata .
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa...
Ni Jumapili tulivu ambayo ni siku ya Wanawake duniani.Katika Taifa letu Wanawake wa Chadema wanafanya Kongamano lao kubwa katika Ukumbi wa Mlimani City DSM.
Idadi kubwa ya wawakilishi wa Wanawake wa Chadema kutoka mikoa yote tayari wako DSM kuhudhuria Kongamano hili.
Mgeni Rasmi katika...
Watakao baki chadema ndio watu wa kuaminiwa na kupewa nchi toka 2015 tayari tumejua wapi wanaipenda Tanzania na wapi ni wasaliti. watu wanaopata misuko suko kipindi cha miaka 5 na bado wakagoma kuhongwa na Magufuli hakika awa watu itabidi tuwaheshimu.
Wale wanaoelewa mambo ya kiusalama watakuwa...
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema mazungumzo yake na Rais wa Tanzania, John Magufuli ya Machi 3, 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam hayakulenga kukiangusha Chadema katika majimbo ya Rungwe, Busokelo na Kyela katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu.
"Nimekuja Mbeya kwenye ziara ya...
Chadema Kanda ya Pwani imeitangaza siku ya Jumanne kuwa siku maalum ya mashujaa wa kutetea haki na demokrasia katika Taifa.
Akizungumza na vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally amewataka Watanzania wapenda demokrasia kote nchini kuungana na kusafiri kokote...
Hawa watu uelewa wao ni mdogo.Wanatisha mahakama isifanye kazi yao?
Kwamba wahalifu hao kama watatiwa hatiani amani ya nchi itatoweka?
What a nonsense?
---
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimewataka wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani Tanzania kuanzia leo...
Kwa mtazamo wangu,mwaliko wa baadhi ya vyama siasa kwenda Ikulu ulikuwa ni mpango mkakati wa kuwagawa wapinzani na hasa CHADEMA na ACT-Wazalendo lengo likiwa ni kuwafanya wasiaminiane na pia ili waje wagawane kura.
ACT wamealikwa sambamba na vyama vingine ambavyo baada ya kikao cha huko Ikulu...
Dr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM.
Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi.
Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la...
Heshima kwenu wakuu,
Jana Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Freeman Mbowe alifanyiwa Vurugu kwenye Mkutano uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya Weruweru. Ulivurugwa baada ya kuibuka kikundi cha vijana zaidi ya 50 wa kike na kiume kwenye mkutano huo na...
Wanabodi,
Unapotoa ushauri fulani ukapuuzwa, katika ushauri huo ukashauri the right thing to do na matokeo ya kutofuatwa kwa ushauri huo, halafu baada ya kupata matokeo, sasa ndio wanaamka, wanakumbuka shuka kumekucha, na sasa ndio kuanza kujipanga, japo ni kwa kuchelewa lakini ile kujitambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.