sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 802
- 1,322
Mh Rais aliahidi kuwa uchaguzi utakuwwa huru na haki. Kauli ya Rais aliiitoa mbele ya mabalozi walio marafiki wetu na wadau wetu wa maendeeo, nenda hata kwa "wenzao" wa Africa. Kwa kauli ya Bashiru, msitegeee lolote la uchaguzi huru haki. Huyu angelikuwa kauli hiyo ni ya kwake, angelikemewa. Kwangu mimi, Ni kauli ya bosi wake in all spheres!
Akili yenu ikae hivyo maana ukwelini huo.
La kufanya: Kwa ustadi mkubwa nendeni kwa mabalozi, physically na siyo kutuma vibarua, mkiwa na nukuu ya Bashiru mkiwafahamisha kuwa hakuna kitu kinaitwa uchaguzi huu na hiki maana CCM itatmia dola kupora ushindi kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Let the world take note.
Hawa wengine akina Mrema, Mbatia and Co. Ltd acha nao,ni CCM damu damu, muda ukiwadia wataitiwa vyeo.
Ni shaur!