Kwa kauli hii ya Dr Bashiru ni uhakika wahamiaji kutoka Upinzani akiwemo Mwita Waitara aliyekuwa Chadema hawatarudi bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,938
141,911
Dr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM.

Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi.

Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la Ukonga baada ya kushindwa kutimiza ahadi na kwenda Tarime vijijini.

Dr Bashiru amesema watu wa aina hii wanajidanganya kwa kudhani ukishinda kura za maoni basi unateuliwa, mwaka huu mambo ni tofauti kabisa amesisitiza.

Maendeleo hayana vyama!
 
Dr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM.

Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi.

Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la ukonga baada ya kushindwa kutimiza ahadi na kwenda Tarime vijijini. Dr Bashiru amesema watu wa aina hii wanajidanganya kwa kudhani ukishinda kura za maoni basi unateuliwa, mwaka huu mambo ni tofauti kabisa amesisitiza.

Maendeleo hayana vyama!
Mtajua wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge wanajulikana na spika anajuliksna Ndugai labda abadili jinsia. ..
 
Back
Top Bottom