Mambo ya Nyakati: Mbatia, Prof Lipumba, Maalim Seif na Mrema watarejea CCM kabla ya Uchaguzi Mkuu. CHADEMA itabaki kwa mzee Mtei

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,752
139,557
Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.

Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?

Halafu iangalie vizuri historia ya Prof Lipumba na James Mbatia katika siasa za Tanzania. Kisha jikumbushe namna Nccr mageuzi na Cuf zilivyoasisiwa na namna mzee Mapalala rip alivyokimbizwa chamani na maalimu Seif.

Yuko wapi mzee Marando wa Nccr mageuzi aliyehamia Chadema? Je baada ya bunge kuvunjwa Joseph Selasini atabakia Chadema?...... Prof Baregu je? na Prof Safari?

Kwa kifupi ni kwamba robo karne ya Upinzani mamboleo imefikia tamati, Chadema itabaki na mzee Mtei lakini Lyatonga Mrema, mzee Cheyo, mzee Shibuda wote hawa watarejea CCM where they belong.

Kisha vipimo vitamwelekea Zitto Kabwe wa ACT wazalendo kama ni mpinzani wa kizazi kipya au ndio walewale. Ikumbukwe wakati upinzani unaasisiwa Zitto alikuwa bado ni mtoto kwa mujibu wa sheria za nchi.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa kifupi tuu maalim seif,lipumba, mrema,mbatia hawawezi kurejea ccm wala kujiunga ccm ila ninajua hawa ni wana usalama ,

Maalim seif analinda usalama wa Zanzibar kama mpinzani

Lipumba,mbatia,mrema wanalinda usalama wa bara kama wapinzani

Uwepo wao ndani ya vyama vya upinzani una manufaa makubwa katika kulinda usalama wa nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo zama zimekwisha kupita bwashee!
 
Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.

Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?

Halafu iangalie vizuri historia ya Prof Lipumba na James Mbatia katika siasa za Tanzania. Kisha jikumbushe namna Nccr mageuzi na Cuf zilivyoasisiwa na namna mzee Mapalala rip alivyokimbizwa chamani na maalimu Seif.

Yuko wapi mzee Marando wa Nccr mageuzi aliyehamia Chadema? Je baada ya bunge kuvunjwa Joseph Selasini atabakia Chadema?...... Prof Baregu je? na Prof Safari?

Kwa kifupi ni kwamba robo karne ya Upinzani mamboleo imefikia tamati, Chadema itabaki na mzee Mtei lakini Lyatonga Mrema, mzee Cheyo, mzee Shibuda wote hawa watarejea CCM where they belong.

Kisha vipimo vitamwelekea Zitto Kabwe wa ACT wazalendo kama ni mpinzani wa kizazi kipya au ndio walewale. Ikumbukwe wakati upinzani unaasisiwa Zitto alikuwa bado ni mtoto kwa mujibu wa sheria za nchi.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
Perfect, vibaki vyama viwli, Democrats na Republican! Takataka zote ziwe CCM wenye AKILI wawe CDM, true freedom fighters....
 
Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.

Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?

Halafu iangalie vizuri historia ya Prof Lipumba na James Mbatia katika siasa za Tanzania. Kisha jikumbushe namna Nccr mageuzi na Cuf zilivyoasisiwa na namna mzee Mapalala rip alivyokimbizwa chamani na maalimu Seif.

Yuko wapi mzee Marando wa Nccr mageuzi aliyehamia Chadema? Je baada ya bunge kuvunjwa Joseph Selasini atabakia Chadema?...... Prof Baregu je? na Prof Safari?

Kwa kifupi ni kwamba robo karne ya Upinzani mamboleo imefikia tamati, Chadema itabaki na mzee Mtei lakini Lyatonga Mrema, mzee Cheyo, mzee Shibuda wote hawa watarejea CCM where they belong.

Kisha vipimo vitamwelekea Zitto Kabwe wa ACT wazalendo kama ni mpinzani wa kizazi kipya au ndio walewale. Ikumbukwe wakati upinzani unaasisiwa Zitto alikuwa bado ni mtoto kwa mujibu wa sheria za nchi.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
Chadema itabaki kuwa Chadema, wateule na wavumilivu pekee ndio watakaoingia Kaanani.
 
Vipi CHADEMA bado ina moral authority ya kuongoza upinzani baada ya kununuliwa na Lowassa waliyetumia miaka minne wakimtangaza kuwa ni fisadi, list of shame, hasafishiki?
 
Chadema itabaki kwenye makumbusho ya mzee Mtei!
 
Umesahahu kwamba wapinzani ni sisi wananchi.

Hao unawataja tumewatuma tuu kutuwakilisha japo wao badala ya kufanya yale rumewatuma wao wana piga misosi tu kuganga njaa zao.

Nitafutahi sana wote warudi ccm , vijana bado tunataka hizi nafasi .

Ccm imesha kufa, kazi tuliyo nayo ni kuvunja ndoa kati ya ccm na vyombo vya dola kama police etc.

Ccm bila kukaa kwenye mbeleko ya police na vyombo vingine vya dola inakata roho.
Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.

Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?

Halafu iangalie vizuri historia ya Prof Lipumba na James Mbatia katika siasa za Tanzania. Kisha jikumbushe namna Nccr mageuzi na Cuf zilivyoasisiwa na namna mzee Mapalala rip alivyokimbizwa chamani na maalimu Seif.

Yuko wapi mzee Marando wa Nccr mageuzi aliyehamia Chadema? Je baada ya bunge kuvunjwa Joseph Selasini atabakia Chadema?...... Prof Baregu je? na Prof Safari?

Kwa kifupi ni kwamba robo karne ya Upinzani mamboleo imefikia tamati, Chadema itabaki na mzee Mtei lakini Lyatonga Mrema, mzee Cheyo, mzee Shibuda wote hawa watarejea CCM where they belong.

Kisha vipimo vitamwelekea Zitto Kabwe wa ACT wazalendo kama ni mpinzani wa kizazi kipya au ndio walewale. Ikumbukwe wakati upinzani unaasisiwa Zitto alikuwa bado ni mtoto kwa mujibu wa sheria za nchi.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom