chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mr Tyang

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA msitafute huruma ya wananchi kupitia kiki za matukio, mtaumia bure

    Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda. Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma. Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Makundi ya Ugombea Urais CHADEMA yaenda kusambaratisha chama

    Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema. Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu. Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi...
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  4. Ileje

    JamiiForums Tanzania Vijana wa leo mnafahamu maana ya rangi za bendera ya CHADEMA?

    Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu. Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa...
  5. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya CHADEMA kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali namba 3 wa Mwaka 2020

    https://www.jamiiforums.com/attachments/mapendekezo_kuhusu_muswada_wa_sheria_ya_marekebisho_ya_sheria_mbalimbali-pdf.1471889/?hash=8c5c56399efd75722553347ad36a681e
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajali protocol, yeyote aweza hutubia taifa. Duni Haji alikuwa sahihi CHADEMA kila mtu ana sharubu

    Chama makini huwa na protocol mfano kuongea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa. Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa. Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge waliohama CHADEMA "ndugu yangu usisahau unapokwenda vilevile ukumbuke ulipotoka"

    Miaka ya 80 kulikuwa na huu wimbo maarufu Sana " ndugu yangu usisahau unapokweendaa VILEVILE UKUMBUKE ULIPOTOKA*" Sijui muimbaji alimaanisha Nini lakini naomba nitumie maneno ya wimbo huo kuwaasa wabunge waliokuwa chadema na kuhamia CCM eti wanaenda kuunga mkono juhudi. Hameni kwa heshima bila...
  8. Zitto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ado Shaibu: CHADEMA ni chama cha siasa. Kina haki ya kuandaa Wagombea Zanzibar

    MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR. Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa ACT Wazalendo baada ya CHADEMA...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

    Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tayari kampeni nzito imeanza , bali...
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ofisi ya CHADEMA Kanda ya Pwani baada ya Sumaye kuondoka washindwa kununua umeme ofisi iko giza

    Mzee Sumaye aliwajengea chadema ofisi nzuri tu ya chama sasa hivi iko giza wameshindwa kununua umeme wa luku uchaguzi itakuwaje ?
  11. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wampongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona

    Chadema mkoa wa Tabora wamemshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona. Akiongea kwa niaba ya uongozi wa mkoa wa Chadema, mbunge wa viti maalumu mh Mwaisonga amesema wao kama chama wanamshukuru Mungu kwa maono aliyompa Rais Magufuli na hatimaye ametuvusha salama...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yatangaza kusudio la kuweka Mgombea Urais wa Zanzibar

    Taarifa hii imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho upande wa Zanzibar Mh. Salum Mwalimu Mjini Zanzibar alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari. ===== TAMKO LA KUTANGAZA NIA KUWANIA NAFASI YA RAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) Chama Cha Demokrasia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo na CHADEMA, Wekeni Kando Ubinafsi

    ACT-Wazalendo na Chadema, wekeni Kando Ubinafsi. Muungane, ACT isimamishe mgombea rais Zanzibar ambaye tunashauri CHADEMA imuunge mkono, na Bara CHADEMA isimamishe mgombea ambaye ACT wazalendo itamuunga mkono. Hii ndio njia pekee ya kumpa CCM kipigo cha karne. Vinginevyo matokeo yatakuwa ni...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chadema ni mti wenye matunda, kila mja anaurushia mawe

  15. S

    JamiiForums Tanzania Eti hii ndio CHADEMA inayokufaa!!!

    Mchoraji wa hii katuni awe macho na watu wasiojulikana. Kingine namshauri aache uchcochezi.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

    Picha huongea zaidi kuliko maneno matupu , jionee mwenyewe .
  17. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Lwakatare: Viongozi wa CHADEMA ni kama wana maplastiki vichwani

    Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba mjini Mh. Wilfred Lwakatare amewataka wasomi wa CHADEMA kufanya tathmini ili kujua wanaongozwa na watu wa sampuli gani. Lwakatare ambaye alikuwa akihutubia Wananchi katika mkutano mkubwa wa hadhara jimboni kwake amesema viongozi wa CHADEMA ni kama vile wana maplastiki...
  18. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kitabaki kuwa chama cha mitandaoni

    Kiukweli ukiingalia Chadema ya Twitter na hata JF ni tofauti kabisa na hii Chadema tunayoishi nayo huku mtaani. Jimboni Kawe kwa mfano haijulikani ofisi za Chadema ziko wapi na kama una jambo utalazimika kwenda mtaa wa Ufipa kupata ufafanuzi au la ulilete hapa JF ndio utajibiwa kwa haraka na...
  19. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mh Tundu Lissu amewasilisha barua rasmi ya kutia nia ya kuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA.

    Habari wakuu. Hivi hii habari imekaaje maana naona kama Tundu Lisu sasa hiv kutokuwepo kwake kunaweza kusababiswa kushindwa kufanya vzr katika uchaguzi mwaka huu hasa kwa uapnde wake yeye mtia nia ya uraisi na isitoshe tayari chadema kama wameshapotena kwenye kasi za ubingwa wa uchaguzi msimu huu .
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: CHADEMA wamenifanyia fujo kwenye chama changu na jimboni kwangu wakati wote tupo UKAWA, ulisikia nalalamika?

    Salaam Wakuu, Kuna kipande kidogo cha video kinasambaa Mtandaoni, James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akielezea kusikitishwa kwake na wanaomuona kwamba anavunja nguvu upinzania. Hapa chini nmenukuu kile alichokiongea na kukiandika hapa chini. Ameanza kwa kusema: "Mimi ni Mbunge wa...
Back
Top Bottom