Tundu Lissu afichua sababu ya Magufuli kukutana na Wapinzani Ikulu bila CHADEMA

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,245
24,108
March 24, 2020
Radio Deutsche Welle Bonn
Ujerumani

Kipindi kinagaubaga Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA katika mahojiano maalum na Idhaa ya Kiswahili DW afichua kilichojiri katika mkutano wa hivi karibuni baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Pombe Joseph Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM taifa na baadhi ya viongozi wa upinzani Ikulu na sababu za chama kikuu cha upinzani kutoalikwa.

Tutamponda Lissu kwa kila aina ya maneno lakini ukweli utabaki yalikuwa ni makosa makubwa kujaribu kumuua Lissu na ikashindikana atasumbua mpaka anaenda kaburini hana cha kupoteza ameshaonja mauti hakika walioplan ule mchezo watakuja kupata tabu kubwa sana tuendelee kuwepo
 
Si unaona sasa hivi walivyokosa mwelekeo wamebaki kuropoka ropoka tu kama vichaa, albadr iliyosomwa kule Muheza imeshaanza kuwatesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mzee wa tutashitakiwa MIGA ,Mara nikiwa rais ushoga ruksa Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ushoga ukiruhusiwa si ndiyo furaha kwako
1572191509422.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadata na juice ya ikulu anaililia kwa fujo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa utamchukia tu kwa sababu umechagua hivyo. Lakini ukweli ni kwamba ni Mwanasiasa Bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania.

Ni Mazingira tu ya sasa lakini jamaa ni Mzarendo wa kuigwa. Magufuli angeweza kufanya Combination na watu kama Lissu tungepiga hatua zaidi ya sasa. Kiukweli Magufuli angeendana vizuri sana na Lissu katika Utawala wake kama akimuulewa Lissu vizuri.
 
Mwanasheria uchwara wa Acacia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom