chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini hatogombea ubunge wa Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CHADEMA

    Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza. Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wabunge wa Chadema waliohamia CCM ni wale " laini laini" ambao hawajawahi kukaa jela au kulala polisi?

    Niko na bwashee Kavishe hapa ananiambia wabunge wote wa Chadema waliohamia CCM ni wale soft soft ambao hawajawahi kuwekwa mahabusu wala kulala polisi kwa sababu za kisiasa. Bado natafakari lakini kwa haraka nakumbuka Mwita Waitara amewahi kulala mahabusu kwa siku kadhaa. Wengine ......Ole...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema waliokamatwa kwa kufanya mkutano ofisini kwao wakati huu wa janga la Corona wamwomba radhi DC na kuachiwa huru

    Viongozi watatu wa CHADEMA wilayani Magu walikamatwa na polisi na kushikiliwa kwa zaidi ya saa 6 kwa kosa la kujifungia ofisini na kufanya kikao cha siri wakati huu wa Corona wameachiwa huru baada ya kuomba radhi. Viongozi hao wakiongozwa na Katibu wa kanda wamesema ni kweli wamefanya kosa kwa...
  4. muhubiri mpya

    JamiiForums Tanzania Polisi wana ugomvi binafsi na chadema au wanatumika kisiasa?

    Habari za wakati huu wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuangalia na kutazama mtifuano ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara baina ya polisi na mahali wanapokuwapo viongozi wa chadema. Tukilejea matukio machache kuanzia maandamano ya wanachadema mwaka 2012 jijini Arusha, uvamizi wa...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kesi ya wabunge wa CHADEMA ya kuvunja mageti ya gereza la Segerea ili kumtorosha Mbowe yaahirishwa

    Kesi hiyo kabambe ambayo baadhi ya wabunge wake walitenguliwa viuno na kuvunjwa vunjwa viungo ili kudhibitiwa imeahirishwa hadi tarehe 23/06/2020 itakapotajwa tena # Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kujifukiza ili kujikinga na Corona
  6. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

    Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu... Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu. Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mna mpango wa kumsimamisha nani kama mgombea urais?

    Wahenga wanasema siku hazigandi na kama ilivyokawaida October 2020 inakaribia. Na kila chama kitaweka mgombea kuanzia ngazi ya udiwani,ubunge na urais. Kwa walioshika dola tayari inajulikama nani atapeperusha bendera ya Chama chake yaani CCM Mwenyekiti wa Tlp yeye pamoja na kuwa sio mwana CCM...
  8. mhuri25

    JamiiForums Tanzania Kwa wafuasi wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wao

    Umofia wanajamii humu ndani kabla ya yote naomba kusisitiza KUNAWA MIKONO KWA SABUNI NA MAJI SAFI YANAYOTIRIRIKA, ZAIDI KUKAA MAJUMBANI MWETU PIA KUFUATA MIONGOZO NA KANUNI ZA AFYA. Turejee sasa katika mada tajwa hapo juu, maalumu kwa wanachama, wafuasi, wakereketwa na baadhi ya viongozi wa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Je, Chadema wameachana na ile kaulimbiu " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu"?

    Tangu mzee Lowassa ajitenge na Chadema baada ya kurejea CCM, kauli maarufu ya chama hicho ya " Tumeanza na Mungu Tutamaliza na Mungu " haisikiki tena. Ningependa tu kujua haya mabadiliko au ukimya umetokana na nini? Je, Chadema haimwamini tena Mungu? Maendeleo hayana vyama!
  10. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wamekengeuka, wanajifanya hawaoni kazi nzuri ya uletaji maendeleo ndani ya miaka minne

    Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo. Muda wote wamekuwa...
  11. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa CHADEMA ni CCM wala sio NCCR

    Sasa hivi watu wanapiga ramli za kuwa NCCR inaweza kuwa mbadala wa Chadema. Hila ukweli uliopo hapa Tz mbadala wa Chadema ni CCM na mbadala wa CCM ni chadema. Siasa ni mbinu ...chadema wamewekeza kwa vijana wasomi 70% ccm 25% Act 4.7% Nccr 0.3% chauma 0.00% Tlp 0.00% , Undp 0.00% Namba...
  12. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chadema imekosa ajenda za msingi ya kupambana na chama tawala!

    Inashangaza sana na inatia huruma, dunia nzima ipo katika wimbi zito la kupambana na ugonjwa wa Covid-19. Ugonjwa ambao umeua watu zaidi ya laki moja dunia nzima. Wanasiasa na wafuasi wa Chadema wanakesha mitandaoni kuiombea vibaya nchi yao ipate maambukizi ili chama tawala kionekane...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Chadema yataka jiji la Dar es Saaam liwekwe katika Karantini

    Chama kikuu cha upinzani Chadema kimeitaka serikali kuliweka katika karantini jiji la Dar es salaam ili kukabiliana na maambukizi ya Covid 19. Chadema wameshauri kwa kuwa Dar es Salaam ndiyo yenye wagonjwa wengi basi wakazi wake wasitoke nje ya Jiji wala wageni kutoka mikoani na duniani...
  14. Papa D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA onyesheni njia kwenye janga la COVID-19

    Kipindi hiki cha covid-19 ndicho halisi kupima mvuto na ushawishi wa chadema. Tuonyesheni ushawishi wenu kwa kuwatangazia wapenzi wenu wajifanyie lockdown ili tushuhudie nchi inasimama kwa kuwa watanzania wote watakuwa lockdown. Kama mtashindwa kuthibitisha hilo basi hapa tutaamini Nyinyi ni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

    Nadhani Chadema hawaelewi maana ya lockdown ndio maana wanaishabikia bila kutafakari kwa mapana. Tanzania haina uwezo wa kuwafungia watu ndani na kuwafanya waendelee kula ugali na maharage huku wakikosa uhuru wa kutoka nje pekee. Huko Ulaya kwenye lockdown raia wanahakikishiwa kupata mkate wa...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Umati wajitokeza kutia nia kwenye Ubunge na Udiwani kupitia CHADEMA, nafasi zimejaa kabisa

    Hii ni Taarifa kutoka kwa John Mrema ambaye ni mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, Ikumbukwe kwamba Chadema iliweka utaratibu kwa wanachama wake wote wanaotaka kugombea nafasi hizi kujitokeza mapema kutia nia kwenye chama chao ili usaili ( Vetting ) juu yao uanze mapema, lengo likiwa ni kutoa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Tanzania lapendekeza makato ya mishahara kupambana na corona virus

    Baadhi ya Wabunge wameitaka serikali kusitisha utekelezaji wa miradi mikubwa ili fedha hizo kwa sasa zielekezwe katika mapamabano ya ugonjwa wa Corona. Sambamba na hilo, wameitaka serikali kupunguza mishahara ya viongozi waandamizi serikalini pamoja na wabunge ili fedha hizo zielekezwe katika...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Yanayoonekana kuwa Makosa ya Kiufundi wanayoyafanya CHADEMA na ACT - Wazalendo

    Inaeleweka kwa waTanzania wengi kwamba mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, ambapo waTanzania wanatakiwa wawachague viongozi wao wanaotaka wawaongoze ngwe nyingine ya miaka mitano. Vyama vya siasa vilivyo makini, wakati huu ni wakati mhimu sana wa kuweka mikakati na mipango ya kupata ushindi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Corona: CHADEMA yaamua watendaji wake kufanyia kazi nyumbani isipokuwa wakuu wa idara, yasimamisha vikao visivyo na ulazima

    Naibu katibu mkuu wa Chadema Benson Kigaila amesema chama chake kimepunguza sana vikao na kuagiza watendaji wa HQ pale Ufipa st kufanyia kazi kutokea nyumbani ili kupunguza msongamano. Wakuu wa idara na viongozi wa juu wa chama ndio wataendelea kufanyia kazi ofisini kwa sasa. Pia Kigaila...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Magufuli kukimbizana na Chadema na kuacha hoja yake kuu iliyokuwa ni UFISADI

    Nimesikitika sana baada ya kusoma report ya CAG kichere hakika ni majonzi makubwa kwa walipa kodi wa taifa hili, kuanzia Halimashauri wizarani, NEC, Police, Jeshini pesa zimepigwa sio utani hakika zimepigwa. Je wizara zilizo chini yake hali ipoje? je ununuzi wa ndege je matumizi yake hali...
Back
Top Bottom