chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA mjitafakari kwa hili

    Haingii akili ninyi kama Chama Kikuu cha Upinzani kwa zaidi ya miaka kumi kukosa TV ya kurusha mikutano yenu mubashara! Nashindwa kuelewa idara yenu ya uenezi inafanya kazi gani? Kama imekufa pia mtuambie tujue moja! Leo mtu akitaka kujua Tundu Lissu aliongea nini baada ya kuchukua fomu ya...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT Wazalendo msiingiwe na tamaa fanyeni makubaliano ya Hekima, nafasi ya kushinda Urais Ubunge na Udiwani mnayo

    Nataka kuwashauri viongozi wakuu wa vyama hivi vya upinzani ambavyo vinaonekana kukikosesha usingizi chama chetu cha CCM upande wa bara na Visiwani.Msikosee hapa kwa tamaa za muda mfupi, kuweni na long term plans. URAIS Urais kwa Upande wa bara mwachieni Tundu Lisu wa CHADEMA agombee na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais wa CHADEMA anaposhindwa kutafsiri maana ya fedha za ndani, atatuvusha kweli?

    Ni lazima watu wakaelewa mkopo unapatikanaje? Mkopo siyo msaada au zawadi bali ni fedha unayopewa na mkopeshaji kulingana na uwezo wako kilasirimali. Hivyo uwezo wako wa ndani ndio factor kuu ya maamuzi kama unakopesheka ama la. Kule India kwa mfano kuna utaratibu wa mkopo kulipwa kwa mkopo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

    This is very interesting, kwa kweli... Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020.... Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA Media nawaona kama mnapwaya mno

    CHADEMA Media mmezubaa mno, hivi inakuwaje mnashindwa kufanya Livestreaming ya matukio ya Mgombea wetu hadi tunaanza kubambiabambia platforms zingine ambazo zinafanya censorship kubwa sana katika kureport matukio ya Kipenzi chetu, Mteule aliyeyashinda mauti Tundu Antiphas Lissu? Yaani mnazubaa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo & Chadema undeni A Joint Electoral Intelligence Team (JEIT)

    Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya intelligence za uchaguzi wakati wa kampeni. Lisha ichambue na kuwashauri namna ya kupanga na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mlishakose kwenye hili...

    Chadema hii nguvu mnayoitumia sasa baada ya Lissu kutangaza nia,mngeitumia katika kuhamasisha wafuasi wenu kipindi kile daftari la wapiga kura linaboreshwa na uandikishaji wa wapiga kura sahizi mngekuwa mnaongea mengine. CCM ilihakikisha wanachama wake wanahakiki taarifa zao na wapya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

    Hivi tukiacha mirengo ya kisiasa unadhani CHADEMA wapo serious katika kuteua mgombea mwenza wa nafasi ya Urais? Yaani makamu wa Rais awe bwana Mwalimu? Kweli CHADEMA ipo serious na nafasi ya Urais? Soma Uchaguzi 2020 - Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

    Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Better late than never, CHADEMA anzisheni YouTube Online TV haraka iwezekanavyo

    Kusema ukweli tokea Lissu arudi, anzia mkutano wa kamati kuu na mkutano mkuu. Nilifuatilia matangazo Mwananchi digital kila Lissu akiongea wakiona anaelekea kumsema Magufuli wanaanza kupunguza sauti na mwisho wanafinyia sauti ndani kabisa. Leo sasa kituko nilikuwa naangalia Millard Ayo yaani...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

    Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Wanaodhani ACT-Wazalendo na CHADEMA kushindwa kusimamisha mgombea mmoja ni uchu wa madaraka mnakosea, ni mbinu sahihi kuwabana NEC na CCM

    Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu Hakuna ugumu kuna mbinu NEC lazima tuwapime wanajifanya wajanja wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande...
  14. JamiiForums Tanzania Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

    Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni. Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi. Hii imekaaje?
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

    Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika. Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Taifa mna uhakika kesho ofisi za Tume ya Uchaguzi zitafunguliwa?

    Kwakuwa kesho ni sikuku ya Nanenane (Public holiday), ofisi za serikali/ umma huwa hazifunguliwa isipokuwa kwa baadhi tu ya ofisi au Taasisi ambazo kulingana na nature ya kazi zao,ofisi zao huwa hazifungwi. Kwa msingi huo, NEC kesho watafungua ofisi zao? Au katika ratiba waliyotoa ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: Wabunge wa CHADEMA waliohamia NCCR Mageuzi watoa "viinua mgongo" vyao kati ya Tsh. 40m na 50m kila mmoja kufadhili Mkutano Mkuu!

    Hii kama siyo rushwa basi ni uzalendo na Utu uliotukuka. Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe. Mbatia amewashukuru waliokuwa wabunge kupitia Chadema na sasa wamehamia chama hicho kwa mchango wao mkubwa wa fedha uliofanikisha Mkutano Mkuu ufanyike. Mbatia amewataja Mhe. Selasini. Mhe. Komu, Mhe...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Hivi Profesa Baregu bado yupo CHADEMA?

    Miaka hiyo kipindi nasoma ingawa sikusoma "ungwini" lakini nilisikia mangwini enzi hizo wakisema kuna Profesa Baregu anajua kujenga hoja. Nilijua Profesa Baregu alikuwa CHADEMA lakini hoja yangu ni kuona CHADEMA inaonyesha wazi umuhimu wa kuwatumia watu kama Profesa Baregu. Kwa uelewa wangu...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

    Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA jitahidini muwe na "JOPO" la kumshauri mgombea wenu wa Urais ili atakachonena iwe sauti ya Chama

    Nimemsikiliza Mgombea Urais kupitia Chadema. Kiujumla anapaswa kuongea zaidi kuliko wagombea wa vyama vingine. Kwa kuwa hakuweponchini kwa muda mrefu tofauti na wale wengine, inaweza kuwa sababu ili afahamike. Lakini pia siyo mgeni kwa mambo ya nchi yetu. Watu wana shauku ya kujua "SERA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…