Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,484
- 3,400
Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya intelligence za uchaguzi wakati wa kampeni.
Lisha ichambue na kuwashauri namna ya kupanga na kutekeleza mipango/mikakati ya kampeini zenu, kufuatilia na kusimamia mwenendo wa uchaguzi siku ya kupiga kura, kuhesabu kura, kujumlisha kura na kutangaza matokeo. Ni muhimu sana.
Mwaka 2015 nilishuhudia namna kura za mgombea urais pale ofisi ya DED zilivyokuwa zikibadilishwa pasipokuwa na intervention yoyote.
Kila la kheri kwa utekelezaji